Unapenda mwanamke au mwanaume wa aina gani?

Unapenda mwanamke au mwanaume wa aina gani?

hahaha hata mimi#mr mbiti ni mpole yule a kuyoongea kbs! na aliniambia i like u unaongea utanichangamua.. naonana yy sasa hv anaongea ongea! mie wmanaume chiriku weka mbali na mm! najua ataniboaamapema ! na nikimuacha huwa sigeuki mwe!


ila wanaume wapole pasua kichwa wanakuwaga na VIBURI VYA UZIMA!... wahehe wanaita 'kidada' uwiiii utatoka povu yy kimyaaaa anakuangalia tu! huwa nataman kujining'iniza ukutan au kuweka tenti ualike majiran ulie nao!..mxiew!
Duuuuuhhh nimecheka sanaaaaa huuuu uzi umegusaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom