Duzente Siqwente
JF-Expert Member
- Aug 6, 2012
- 265
- 59
hahaaaa ''uzulungi''
Mi iwe bikini, boxer, g string au hata bukta napenda ziwe white.
Je wewe unapenda rangi ipi?
Jamaa ana ulemavu huyu
naomba nijue tofauti nilizohailait hapo juu
yani ndio umekuja kusema huku jamani Saint Ivuganyeup nyeupe ndio maana CUTE anahangaika sana kuzifua
BADILI TABIA kumbe we ni pacha wangu lolest! me hudhurungi,samawati na chanikiwiti. . . .
mnapendeza jamani
Nyeupe kazi sana kufua