uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,047
- 8,531
Duniani ni ubatili mtupu ubatili mtupu
Doctor kijana anafariki dunia sio kwa ajali bali kwa maradhi. Kwenye mid 40 he is no more. Doctor ndio anatibu wagonjwa na kutushauri lkn amechukuliwa yeye. Tulipokuwa watoto tulitamani tuwe wakubwa ili tujitegemee tuenjoy life.
Tumekuwa wakubwa tunatamani turudi utotoni. Kumbe hakuna raha yeyote ya kuwa mkubwa zaidi ya dhiki na taabu
Dunia uwanja wa fujo. Poleni sana wazazi wa doctor I can feel your pain.
Ni ubatili mtupu ubatili mtupu