Unapata hisia gani Doctor anapofariki dunia

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,998
8,380
Duniani ni ubatili mtupu ubatili mtupu

Doctor kijana anafariki dunia sio kwa ajali bali kwa maradhi. Kwenye mid 40 he is no more. Doctor ndio anatibu wagonjwa na kutushauri lkn amechukuliwa yeye. Tulipokuwa watoto tulitamani tuwe wakubwa ili tujitegemee tuenjoy life.

Tumekuwa wakubwa tunatamani turudi utotoni. Kumbe hakuna raha yeyote ya kuwa mkubwa zaidi ya dhiki na taabu

Dunia uwanja wa fujo. Poleni sana wazazi wa doctor I can feel your pain.

Ni ubatili mtupu ubatili mtupu
 
Duniani ni ubatili mtupu ubatili mtupu

Doctor kijana anafariki dunia sio kwa ajali bali kwa maradhi

Kwenye mid 40 he is no more

Doctor ndio anatibu wagonjwa na kutushauri lkn amechukuliwa yeye

Tulipokuwa watoto tulitamani tuwe wakubwa ili tujitegemee tuenjoy life

Tumekuwa wakubwa tunatamani turudi utotoni
Kumbe hakuna raha yeyote ya kuwa mkubwa zaidi ya dhiki na taabu

Dunia uwanja wa fujo

Poleni sana wazazi wa doctor I can feel your pain

Ni ubatili mtupu ubatili mtupu
Nadhani watu wengi hawajaelewa mada, kutokana na michango yao.

Kiukweli dokta ni binadamu, kuna baadhi ya magonjwa huwa ni common kwa hiyo hata daktari kuumwa ni kawaida na haishangazi; hasa magonjwa ya kuambukizwa.

Lakini inapokuja dokta anakufa kwa presha, kisukari, moyo, figo, stroke lazima watu tushangae

Hayo magonjwa ni magonjwa ambayo yanasabishwa na mtindo wa maisha na huwa hayaji kwa bahati mbaya bali mtu huyavuta taratibu hadi kuja kutawala mwilini.

KWA NINI MADAKTARI NI WAHANGA KAMA WATU WENGINE WASIO WATAALAMU?

Kwa asilimia kubwa madaktari wanadeal sana na kutibu magonjwa na sio kuzuia magonjwa

Mwisho wa siku baadhi ya magonjwa yakiingia mwilini basi tiba ya madawa haiwezekani hapo ndio kunakuwa hakuna tofauti ya mtaalamu wa afya na asiye mtaalamu.

USHAURI
Kila mtu atakufa kwa wakati wake lakini tujitahidi Kuchukue hatua za mapema za kujikinga kabla ya kupata magonjwa hasa kuacha ulaji wa ovyo, kufanya mazoezi nk

pamoja na kuwa tunakufa ila tusijichaguliwe kifo cha kuteseka na magonjwa ambayo kwa 80% yanaepukika
 
Hauwezi kufuata kanuni za afya 100%, ni ngumu sana

Mitindo ya maisha mibovu ndo tuliyozoea, vyakula tunavyokula kila siku, hatufanyi mazoezi nk

Nakupa mfano rahisi tu mafuta ya alizeti hayafai kutumika mara kwa mara lakini ndo yanapatikana kila mahali, utafanyaje?
 
Duniani ni ubatili mtupu ubatili mtupu

Doctor kijana anafariki dunia sio kwa ajali bali kwa maradhi

Kwenye mid 40 he is no more

Doctor ndio anatibu wagonjwa na kutushauri lkn amechukuliwa yeye

Tulipokuwa watoto tulitamani tuwe wakubwa ili tujitegemee tuenjoy life

Tumekuwa wakubwa tunatamani turudi utotoni
Kumbe hakuna raha yeyote ya kuwa mkubwa zaidi ya dhiki na taabu

Dunia uwanja wa fujo

Poleni sana wazazi wa doctor I can feel your pain

Ni ubatili mtupu ubatili mtupu
Watu hufa
 
Ukiijua tafsiri ya maisha, kunabaadhi ya mambo au vitu hutatumia muda mwingi kujiuliza na kujaji sana. Utaumia kwa muda tu then utaendeleza life lako.

But kufuata kanuni za maisha ni muhimu.
 
Hauwezi kufuata kanuni za afya 100%, ni ngumu sana

Mitindo ya maisha mibovu ndo tuliyozoea, vyakula tunavyokula kila siku, hatufanyi mazoezi nk

Nakupa mfano rahisi tu mafuta ya alizeti hayafai kutumika mara kwa mara lakini ndo yanapatikana kila mahali, utafanyaje?
Kivipi hayo mafuta? So tule animal oil?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom