Unamtext mtu message ndefu yeye anakujibu "K"

Unamtext mtu message ndefu yeye anakujibu "K"

Rejea uzi wangu vzr, hapa hatubishani kuhusu kuelewa kwamba 'k' stands for okey, lkn cheki vzr nature ya txt niliyomtumia, it demands further maelezo and not only "k".

sasa wewe na yeye mmetofautiana nini kwa uandikaji wako?
 
/naweza kuvumilia iyo "k" kutoka kwa mtu yoyote ila mkewangu nishamtaarifu na anajua kabisaaaa....siku atakayo andika "K" hata kama nipo mbeya yeye yupo dar nitampa masaa 24 yakujiandaa kusagika kama mahindi..

Hahahaa kazi ipo mkuu!
 
sasa wewe na yeye mmetofautiana nini kwa uandikaji wako?

Inaelekea wewe ni slow learner, pamoja na comments zote hizi za wanajamvi lkn hujaelewa! hatukatai vifupisho vyote, tunakataa vifupisho visivyo na clear justification, mtu akiandika hlf (halafu) inaeleweka, au g9t (good night) inaeleweka pia, wkt mwngne tunapunguza idadi ya maneno, lkn sio nakutxt "nasikia unaondoka kesho na fastjet, safari itaanza saa ngp?", ww unanijibu "yh" ukimaanisha yah! wkt huo unasahau kwmb umeulizwa sfr inaanza sa ngp! huoni kwmb ukijibu "yh" jibu linakua halijajitosheleza? na hiyo "yh" yenyewe haieleweki! hiki ndio ninachokimaanisha mkuu!

I am sorry if i have offended u!
 
Yaani hata kama ni hivyo ishu ni aina ya sms. Ukiulizwa unaondoka na basi gani utajibu K?

Nimeongelea taarifa ambazo mtu akiambiwa jibu lake ni OKEY. Hapo kwenye swali lako mtu akijibu Okey, atakua na matatizo kichwani.
 
Xamahan x* nlmansha ok,
nikampigia nikamwambia aongee kama alivyoandika,..akapatwa na kigugumizi.

mmm! vifupisho hivi....! watu wa karibu wanajua sipendi vifupisho vya fb. mtu huelewi hiki ni nini yaan taabu tupu
 
mtu wa hivyo simpendi na vishort cati vyake vya uvivu wa kuandika
 
mi sipendi..na huwa nasema kabisa kua sipendi
 
Mie hata wa mbali akiniandikia hivyo namwambia kabisa nashindwa kuelewa maudhui ya ujumbe wake,hataki kurekebisha aache.
mmm! vifupisho hivi....! watu wa karibu wanajua sipendi vifupisho vya fb. mtu huelewi hiki ni nini yaan taabu tupu
 
Mie hata wa mbali akiniandikia hivyo namwambia kabisa nashindwa kuelewa maudhui ya ujumbe wake,hataki kurekebisha aache.

wanakera sana. mi huwa nawatwangia simu. utakuta ananiuliza kama niliielewa message yake.
huwa nawaambia 'ningeelewa ningekujibu kwa message pia. kazi kwelikweli
 
Ni heri niandike msg gazeti nijibiwe k, kuliko mtu aniandikie "xorry, xana, xaxa"
yani nachukia huu usengerema mie aaaggggrrrrr

Yaanicha kabisa evelyn huwa nachukia kuambiwa xoxo!!niliwahi kuuliza mtu mmoja fb tulikuwa tunachart akanishangaa eti miye wa wapi?!!!

Kuna misemo siku hizi toka kwa hawa akina dot. Com ni balaa!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Aisee kumbe sio mpenzi wangu tu anachukia vifupusho kuna wakati nilinwandikia k nikimaanisha ok akaniambia niache siku nyingine nikajisahau nikamjibu tx yaani thanks alimaind ajabu aliniambia neno hajawahi kulitamka
"Hizo ni dharau" hadi kesho sisahau iliniuma na sijui kama nitakaa nimwandikie tena hivyo kuiga kubaya
 
Ni heri niandike msg gazeti nijibiwe k, kuliko mtu aniandikie "xorry, xana, xaxa"
yani nachukia huu usengerema mie aaaggggrrrrr

Mwingine anaandika co/so, xixi/sisi, xijui/sijui had wakati mwingine unajiuliza huyu mtu anaakili kweli 'co' badala ya 'so' hakuna alichofupisha hapo. Walio wengi ni teenagers na walioibukia kutumia simu hiv karibuni.
Ndio walewale wanaokusalimia au wanaeleza jambo very private kwenye facebook badala ya kukutumia msg yeye anaipost kwenye status yako na isitoshe anakueleza jambo ambalo halifai kusomwa na yeyote zaid ya nyie wawili. Ushamba tu. Nakerwa sana huwa simjibu mtu wa namna hiyo
 
Inaelekea wewe ni slow learner, pamoja na comments zote hizi za wanajamvi lkn hujaelewa! hatukatai vifupisho vyote, tunakataa vifupisho visivyo na clear justification, mtu akiandika hlf (halafu) inaeleweka, au g9t (good night) inaeleweka pia, wkt mwngne tunapunguza idadi ya maneno, lkn sio nakutxt "nasikia unaondoka kesho na fastjet, safari itaanza saa ngp?", ww unanijibu "yh" ukimaanisha yah! wkt huo unasahau kwmb umeulizwa sfr inaanza sa ngp! huoni kwmb ukijibu "yh" jibu linakua halijajitosheleza? na hiyo "yh" yenyewe haieleweki! hiki ndio ninachokimaanisha mkuu!

I am sorry if i have offended u!

Hilo nalo ni tatizo la wengi msg ni fupi tu ina maswali mawili bt mtu anajibu la swali la mwisho tu hivyo inabidi uulize tena af anajibu 'yah' wakati yanahitajika maelezo, ni shida sana. I took time to cope wth my love kuhusu hili unauliza hili yye anakujibu moja tu. Na hizo 's' kuweka 'x' sijui nani huwapotosha eti 'xamahan xana' daaah.
 
Tatizo ni kubwa sana unakuta mtu umetuma ujumbe wenye maudhui ya msingi kabisa halafu mtu anakujibu message ki-comedy -comedy tu....na kuna haya maneno yamekua maarufu sana kwenye message (sms)hasa kwa ma-sister du, na watoto wa kiume nao pia wamo sana tu....aagh!
1. YO instead of YOU/YOUR
2. fwend(z) instead of FRIENDS
3. Temmie instead of Tell me.....
4. Na mengine mengi ya mtindo huu....

Aise kuna watu wa ajabu sana hii karne ya 21!

Lets say ulikua bafuni unaoga, ulivyotoka ukakuta missed call kama 4 hivi kutoka kwa mshkaji wako, ulipotaka kumpigia ukakuta huna salio ikabidi umtext.

"Oya kaka pole nilikua washroom nimekuta missed call zako vp kwema?" kama una airtime pls call me again", sasa maneno yote haya ni KB (Kilobytes) nyingi tu!

Jitu linakujibu "K", sasa maana ya "K" ni kenge, kongosho, kunguru, kinyeba au? acheni ukisasa wa ajabu bwana! hata kama "K" ni kifupi cha "ok", yet, uandishi wa namna hii haufai ukizingatia kwamba msg niliyokutumia inahitaji maelezo ya ziada!
 
Back
Top Bottom