Unamtext mtu message ndefu yeye anakujibu "K"

Unauliza jinsia ya Evelyn?
mi ni shemale...

Nimeliona jina Evelyn ila kuna baadhi ya majina yanahudumu jinsia zote.

On the other hand, niliwahi kuja na uzi humu juu ya uandishi wa namna hyo (xorry, xema n.k), kwa mtazamo wangu niliona ni bora madem ndio muwe mnatutext kwa mtindo huo lkn sio mwanaume mwenzangu anitext ivo;eti bwest~fwend badala ya best friend, hlf anayeniandikia ivo ni mwanaume mwenzangu! What a fu.ck!

Anyway, mzima lkn?
 
Huyo anaeitwa evelyn sio mwanaume ni mtoto wa kiume
mi mzima, huo uandishi ni wa kijinga haijalishi anaandika mwanaume au mwanamke
 
Kuna binti nilimwandikia ujumbe kuwa nisingeenda
sehemu tuliyopanga kukutana kwa sababu fulani( nikamwambia)

Yeye akanijibu K.

Nikawa nafikiria maneno meeengiiii yanayoanza na K...............

Nilimind lkn nikaamua kumpotezea.
 
inawezakana akawa ndo anajifunza kutumia simu
 
Nimeliona jina Evelyn ila kuna baadhi ya majina yanahudumu jinsia zote.

On the other hand, niliwahi kuja na uzi humu juu ya uandishi wa namna hyo (xorry, xema n.k), kwa mtazamo wangu niliona ni bora madem ndio muwe mnatutext kwa mtindo huo lkn sio mwanaume mwenzangu anitext ivo;eti bwest~fwend badala ya best friend, hlf anayeniandikia ivo ni mwanaume mwenzangu! What a fu.ck!

Anyway, mzima lkn?

lkn,hlf dah!uandishi wa wapi huu?
 
Kuna binti nilimwandikia ujumbe kuwa nisingeenda
sehemu tuliyopanga kukutana kwa sababu fulani( nikamwambia)

Yeye akanijibu K.

Nikawa nafikiria maneno meeengiiii yanayoanza na K...............

Nilimind lkn nikaamua kumpotezea.

Hahahaa pole sana mkuu!
 
Mm huwa nakereka zaidi nnapochat na mtoto wa kiume alaf akawa anatumia maneno yafuatayo "tantee" "mekumithi" "wangu" huwa najihic vibaya sana....mtoto wa kiume unamuita mwanaume "wangu" ???...maneno mengne tuwaachie watoto wa kike jaman
 
Hahahaa aisee huyo mwanaume lzm atakua bwa.bwa tu
 
/naweza kuvumilia iyo "k" kutoka kwa mtu yoyote ila mkewangu nishamtaarifu na anajua kabisaaaa....siku atakayo andika "K" hata kama nipo mbeya yeye yupo dar nitampa masaa 24 yakujiandaa kusagika kama mahindi..
 
Back
Top Bottom