mi uwa namalizia ile k kubwa..
Kuna mmoja alinijibu hiyo k" nkamuuliza k yangu,yako ama ya nani.
He's ignorant or gay.
More likely to be ignorant, ushoga is another case mkuu...hahahaa
unajua haya maisha ukiyachukulia serious utapata BP bure......
Afadhali amaanishe k kwa maana hizo, mwingine anaweza maanisha k kwa maana ambayo ukiijua unaweza ukaenda kufyeka ukoo wake wote kwa hasira!
Kila mtu na lifestyle yake, as long as unajua kua K means OKEY, you dont have to waste your time kwa kuuliza what does K mean...
Nifikiriavyoooo....
Mkuu hilo neno la kiingereza hapo kwenye kichwa cha habari weka sawa..hilo neno ambalo linamaanisha ujumbe.
Siipendi hiyo!
Sijakubishia mkuu, ushajua ni okey, may be he will give you a call...Rejea uzi wangu vzr, hapa hatubishanii kuhusu kuelewa kwamba 'k' stands for okey, lkn cheki vzr nature ya txt niliyomtumia, it demands further maelezo and not only "k".
That's kind gay attitude brother.
Sijakubishia mkuu, ushajua ni okey, may be he will give you a call...
Typing error tu mkuu, i meant message..hahahaa