Unamtext mtu message ndefu yeye anakujibu "K"

Unamtext mtu message ndefu yeye anakujibu "K"

Aise kuna watu wa ajabu sana hii karne ya 21!

Lets say ulikua bafuni unaoga, ulivyotoka ukakuta missed call kama 4 hivi kutoka kwa mshkaji wako, ulipotaka kumpigia ukakuta huna salio ikabidi umtext.

"Oya kaka pole nilikua washroom nimekuta missed call zako vp kwema?" kama una airtime pls call me again", sasa maneno yote haya ni KB (Kilobytes) nyingi tu!

Jitu linakujibu "K", sasa maana ya "K" ni kenge, kongosho, kunguru, kinyeba au? acheni ukisasa wa ajabu bwana! hata kama "K" ni kifupi cha "ok", yet, uandishi wa namna hii haufai ukizingatia kwamba msg niliyokutumia inahitaji maelezo ya ziada!

"k" yawezekana anamaanisha kiungo katika mwili wa mwanamke, haya ni matumizi mabaya ya ubongo
 
Aisee kumbe sio mpenzi wangu tu anachukia vifupusho kuna wakati nilinwandikia k nikimaanisha ok akaniambia niache siku nyingine nikajisahau nikamjibu tx yaani thanks alimaind ajabu aliniambia neno hajawahi kulitamka
"Hizo ni dharau" hadi kesho sisahau iliniuma na sijui kama nitakaa nimwandikie tena hivyo kuiga kubaya

Pole sana mkuu! ujirekebishe sasa.
 
Hilo nalo ni tatizo la wengi msg ni fupi tu ina maswali mawili bt mtu anajibu la swali la mwisho tu hivyo inabidi uulize tena af anajibu 'yah' wakati yanahitajika maelezo, ni shida sana. I took time to cope wth my love kuhusu hili unauliza hili yye anakujibu moja tu. Na hizo 's' kuweka 'x' sijui nani huwapotosha eti 'xamahan xana' daaah.

Mkuu we acha tu! hii mambo inakera sana! wabadilike sasa.
 
Tatizo ni kubwa sana unakuta mtu umetuma ujumbe wenye maudhui ya msingi kabisa halafu mtu anakujibu message ki-comedy -comedy tu....na kuna haya maneno yamekua maarufu sana kwenye message (sms)hasa kwa ma-sister du, na watoto wa kiume nao pia wamo sana tu....aagh!
1. YO instead of YOU/YOUR
2. fwend(z) instead of FRIENDS
3. Temmie instead of Tell me.....
4. Na mengine mengi ya mtindo huu....

Hahahaa mkuu u have said it all...ni vichekesho vitupu! eti 'fwend(s)' instead of 'friend(s)', hata kibogoyo hazungumzi hivi!!!
 
Hahahaa mkuu u have said it all...ni vichekesho vitupu! eti 'fwend(s)' instead of 'friend(s)', hata kibogoyo hazungumzi hivi!!!

Hii ni utandawazi ambao umekumba sana vijana na sehem zingine ni stail kbs as official language.
Mfano badala ya kuandika give me=gimmie, shut up=shadap, on near offer = ono.

Pamoja na hayo, ni vyema kujua audience wako kabla hujajibu inakera sana
 
Mkuu we acha tu! hii mambo inakera sana! wabadilike sasa.

We unatongoza watoto wa sekondari tena O level, acha hizo mambo tafuta mtu Mama mtu mzima

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Hii ni utandawazi ambao umekumba sana vijana na sehem zingine ni stail kbs as official language.
Mfano badala ya kuandika give me=gimmie, shut up=shadap, on near offer = ono.

Pamoja na hayo, ni vyema kujua audience wako kabla hujajibu inakera sana

Tena inakera sio kidogo mkuu
 
We unatongoza watoto wa sekondari tena O level, acha hizo mambo tafuta mtu Mama mtu mzima

In this world nothing is certain than Tax and Death.

Mkuu mbona umekurupuka namna hiyo halafu unatokwa na povu? anyway, your opinion is not my reality.
 
Mwingine anaandika co/so, xixi/sisi, xijui/sijui had wakati mwingine unajiuliza huyu mtu anaakili kweli 'co' badala ya 'so' hakuna alichofupisha hapo. Walio wengi ni teenagers na walioibukia kutumia simu hiv karibuni.
Ndio walewale wanaokusalimia au wanaeleza jambo very private kwenye facebook badala ya kukutumia msg yeye anaipost kwenye status yako na isitoshe anakueleza jambo ambalo halifai kusomwa na yeyote zaid ya nyie wawili. Ushamba tu. Nakerwa sana huwa simjibu mtu wa namna hiyo

Ulimbukeni huo, yani hasira zako zinapoishia mi ndo zinaanza....nachukia vibaya mno!!
 
Yaanicha kabisa evelyn huwa nachukia kuambiwa xoxo!!niliwahi kuuliza mtu mmoja fb tulikuwa tunachart akanishangaa eti miye wa wapi?!!!

Kuna misemo siku hizi toka kwa hawa akina dot. Com ni balaa!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Mi naona hayo maneno yamekaa kishoga
hivi mtu tena rijali na akili timamu anasemaje xaxa,xana
 
mtu akiniandikia, "K" ananibadili hadi mood ya hiyo siku, na simkwepeshi lazima nimchane, japo wengi ni age mate, na nimefanikiwa katika hilo.
 
mtu akiniandikia, "K" ananibadili hadi mood ya hiyo siku, na simkwepeshi lazima nimchane, japo wengi ni age mate, na nimefanikiwa katika hilo.

Hongera sana mkuu kwa kufanikiwa ktk hilo.
 
Back
Top Bottom