Unamtext mtu message ndefu yeye anakujibu "K"

Unamtext mtu message ndefu yeye anakujibu "K"

Sasa km kakuelewa ww unatka ajibuje?? Tatzo watanzania mnapenda longolongo... mi con tab.
 
Duh kumbe kifupi noma unaweza kuambiwa mpz ukadhani mpenz kumbe mpuuzi! dah! nimecheka sana mkuu
 
Aise kuna watu wa ajabu sana hii karne ya 21!


Lets say ulikua bafuni unaoga, ulivyotoka ukakuta missed call kama 4 hivi kutoka kwa mshkaji wako, ulipotaka kumpigia ukakuta huna salio ikabidi umtext.


"Oya kaka pole nilikua washroom nimekuta missed call zako vp kwema?" kama una airtime pls call me again", sasa maneno yote haya ni KB (Kilobytes) nyingi tu!


Jitu linakujibu "K", sasa maana ya "K" ni kenge, kongosho, kunguru, kinyeba au? acheni ukisasa wa ajabu bwana! hata kama "K" ni kifupi cha "ok", yet, uandishi wa namna hii haufai ukizingatia kwamba msg niliyokutumia inahitaji maelezo ya ziada!
Pole sana
 
Back
Top Bottom