VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 676
inaboa sana mkuu!
mimi mpaka huwa naishiwa pozi la kumjibu!
inaboa sana mkuu!
aise hivyo aina ya vitu hua vinanichefua sana!kuna jumbe zingine zinahitaji sana vimaelezo viwili vitatu katika hali yakawaida kabisa kibinadamu,ila wanawake wamezidi aise uduu mwingi!
Haina shida tulielewa hilo.
aisee hii kitu hua inanikera sana, nahisi mtu amenidharau!
Kuna nyingine nimetumiwa ' pw wng' ikabidi nimpandie hewani. Ulimaansha nini,akanambia eti poa wangu!
Aise kuna watu wa ajabu sana hii karne ya 21!
Lets say ulikua bafuni unaoga, ulivyotoka ukakuta missed call kama 4 hivi kutoka kwa mshkaji wako, ulipotaka kumpigia ukakuta huna salio ikabidi umtext.
"Oya kaka pole nilikua washroom nimekuta missed call zako vp kwema?" kama una airtime pls call me again", sasa maneno yote haya ni KB (Kilobytes) nyingi tu!
Jitu linakujibu "K", sasa maana ya "K" ni kenge, kongosho, kunguru, kinyeba au? acheni ukisasa wa ajabu bwana! hata kama "K" ni kifupi cha "ok", yet, uandishi wa namna hii haufai ukizingatia kwamba msg niliyokutumia inahitaji maelezo ya ziada!
nilisikia kila kitu kizuri kinaanziwa na herufi K.Shukuru mkuu umetajiwa kitu kizuri!
Umemtaja my shosti Kongosho mtake radhi aiseee
Hahaa! Eiyer huu uchonganisha sasa! labda let me explain.
For the purpose of this thread, sijamaanisha kongosho tunayemfahamu humu! mimi namaanisha kongosho ile sehemu ya nanilii, bilashaka umenielewa sasa.
Ni heri niandike msg gazeti nijibiwe k, kuliko mtu aniandikie "xorry, xana, xaxa"
yani nachukia huu usengerema mie aaaggggrrrrr
Kila mtu na lifestyle yake, as long as unajua kua K means OKEY, you dont have to waste your time kwa kuuliza what does K mean...
Nifikiriavyoooo....
Ni heri niandike msg gazeti nijibiwe k, kuliko mtu aniandikie "xorry, xana, xaxa"
yani nachukia huu usengerema mie aaaggggrrrrr