Unamtext mtu message ndefu yeye anakujibu "K"

Unamtext mtu message ndefu yeye anakujibu "K"

jamani nachukia vifupi vya letter moja,...dah...ila hii thread imenichekesha sanaaaa
 
niliwah mkataza bibie mmoja hivi kutumia ufupisho,,tulikua tukikwaruzana tu, anakuja na kifupisho.. 'mpz',,
nikaja gundua ananiita mpuuzi na sio mpenzi.
 
niliwah mkataza bibie mmoja hivi kutumia ufupisho,,tulikua tukikwaruzana tu, anakuja na kifupisho.. 'mpz',,
nikaja gundua ananiita mpuuzi na sio mpenzi.

Ahahahahaha pole mkuu!
 
mtu anaejibu hivyo inawezekana akawa amekasirika kutokana na wewe kushindwa kupokea calls zake...
 
Duh!ndo swaga za madadaz wa kileo na hata mwanaume baada aseme Dear utamsikia poa D"so upande wote unamakosa not for girls only!!!!!
 
K maana yake ni ile njia kuu ya kuleta watu uimwenguni
 
hahaa haaaaaaa
nimechekaaaaa mbavu sina.

K for kongosho, kunguru, kambale... hahaaaa daa u made my day mkuu
 
Back
Top Bottom