Unamkumbuka nani katika maisha yako ya shule ambae ungependa uonane naye?

Aisee cecilia makafu namfahamu. She is a pharmacist now. Yuko facebook. Hebu mcheki.
Cecilia makafu. Tuliachana 1987 Mihayo s/m, Tabora. Mara baada ya kugeuzwa sekondari, tulikuwa darasa la pili. Mara ya mwisho nilimuona akiwa na sare za Tabora girls. Tafadhali sana kama kuna mtu anamfahamu.
 
Mnh kumbe kuna vibibi na vibabu humu???nilijua nimezeeka kumbe walaaaaaa....😆,shikamooni.
 
Back
Top Bottom