Unamkumbuka nani katika maisha yako ya shule ambae ungependa uonane naye?

Nimemkumbuka Mwalimu Ghati wa Digodigo Sekondari huko Ngorongoro jamani dah!! yeyote mwenye Contact zake pale!

Na Leah Augustino wa Loliondo: Mwenye Contact zao pls!!:glasses-nerdy:
 
Namkumbuka dada Tupokigwe Andendekisye Mwakisyisya nilikuwa nae Sangu mwaka 1999
 
Namkumbuka sara jeremiah tuipotezana kitambo sana naskia ukoa dar hapa tutafutane au mwenye taarifa nae ani pm
 
Rashid Athumani kasoma Bwiru na Tabora boys na mara ya mwisho alikuwa FFU Njuki Singida, Shelda Msangi mara ya mwisho alikuwa Chuo cha Ardhi DSM
 
shamila ibrahimu,stela david,na atuganile tulikuwa wote kenton high school naomba mnitafute
janeth nyamuhanga and jackline nyamuhanga(twins) na fadhila shedewa tulikuwa wote st hellen's academy kama mpo humu naomba mnitafute nawamiss sana
Atuganile nani huyo unaemtafuta hebu niambie jina la pili huenda akawa huyu nnaemfahamu mimi ukapata mawasiliano yake.
 
Namkumbuka Bill Gates huyu tulisona wote shule ya msingi popote ulipo nimekukumbuka na bila kumsahau Jenipher Lopez wa shule ya msingi Turiani miaka ile popote mlipo

Juma Malingunu a.k.a Bill Gates na
Chausiku Mzigua a.k.a Jenipher Lopez jlo
 
Namkumbuka rafiki yangu mmoja, tulikutana hospital mnazi mmoja zanzibar, tukiwa Sote na umri wa miaka 2, halafu ikawa bunge la surprised tukakutana nursery school saateni. Maryam Abdullah Ali 1970 😀😀
 
Cecilia makafu. Tuliachana 1987 Mihayo s/m, Tabora. Mara baada ya kugeuzwa sekondari, tulikuwa darasa la pili. Mara ya mwisho nilimuona akiwa na sare za Tabora girls. Tafadhali sana kama kuna mtu anamfahamu.
 
LITROCIA WILLIAM nlisoma nae Thomas sec school ipo gongo la mboto 2001-2004 popote alipo au mwny taarifa zake ani pm.
 
Brand new,, olivia,, cindy!!! miss so much.... i've loose hope of seeing you in this life may b in after life!
 
Salma Haji Makurumla primary school,mwaka 1996.Kama upo humu ni-PM au anayemjua.Alikuwa anakaa magomeni kondoa.
 
Abogastina na hosiana tuliachana iman secondary, chamwino - dodoma - 2007, nawatafuta sn jmn.
 
Hii thread ishakua ya kutuma salamu sasa,

Haya twende, mi namkumbuka kipenzi changu Mbonile Mbinga, Eve Linza, na Wana-CBE wote tuliomaliza mwaka 2006!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom