kwa kutomkumbuka lazima uwe malaya uliyekubuu otherwise noInawezekana kabisa, na wala si ajabu!
Duuu!kumbe hadith ..........uongo njoo utamu koleaAlikuwa mnene, kifua kikubwa....na zaidi alikuwa mfanyakazi wa ndani aka houcgel,beki3....baada ya promc sikuwa na sehemu ya kwenda bali porini. Nakumbuka ilikuwa mida ya 1 usiku, kiza cha kutosheleza and sunlight was totally failed, nikaaingia nae kichakani....Hii ilikuwa baada ya kumaliza tu form 4..hapa naomba msinicheke!! Dah mwanaume nguvu nguvu nikatoa gwanda, nikaingia king....sasa bahati mbaya nyumba za karibu na hata alipokuwa anakaa huyu dada walikuwa wanafuga sana m-mbwa,tena wakali. Basi zile vurugu pale kichakani, Mmbwa wakazistukia. Hazikupita dakika mara hao...dah,nakumbuka ilikuwa kitimtimu balaa....kizuri ni kwamba wale mbwa walivuta harufu ya yule binti kwa hiyo hawakumletea noma coz walimzoea, kivumbi ilikuwa kwangu sasa.!! Mamamaaaaa weeee...nilipiga makelele, kale kabinti kakawa kanawakemea wale mbwa wasilete noma!! Kikubwa ambacho sipendi kukisema.....huyu binti wakati na-do nae nilipigwa na harufu flani kali sana kutoka maeneo...lol, nilichukizwa sana kale kaharufu, nadhani iilikuwa ni suala zima a usafi ni F/....lakini ndo hivyo tena, kale kaharuhu kalichukua muda kweli kumingle na wadada/mdada mwingine...na ilichukua muda...nadhani baada ya kumaliza Form 6 ndio nikawa na 2nd gf...hadithi inaishia hapo!!
nyoosha mkono utapewa ansa sheet nyingine sawaKama List ndefu je?
wewe muongo mie nakujua mzinzi kinoma!Dah...!nimependa visa vyenu,lkn kwa upande wangu mpaka leo(me&miaka 22)hali bado ni tete...niliwahi kumshuhudia mgonjwa aliekuwa na upungufu wa kinga mwilini pindi niko drs la 6 jinsi alivyo kuwa akiteseka mpaka kuaga dunia....naogopa sana ku-du kila nikimkumbuka.
Duuu!kumbe hadith ..........uongo njoo utamu kolea
Hivi inawezekana ukado na mtu halafu baada ya miaka kadhaa ukiulizwa useme "simkumbuki"?
Inawezekana kabisa, na wala si ajabu!
Nilikuwa Primary school, Std VI na yeye (binti) St. V. Siku hiyo hatukurudi home kula lunch, binti kwao walikuwa wanajiweza; hivyo alikuja na Juice pamoja na biscuit. Wanafunzi walipotawanyika sisi tukaingia chumba cha darasa ili tuka-do! Mi nikaogopa kuwa tunaweza kuonwa. Nikamshawishi tuchukue madumu twende mtoni kufuata maji. Akakubali - tulipofika huko kwa kuwa ilikuwa mida ya lunch tukasogea mbali na kuanza ku-do! Kabinti kalikuwa kanajua - mi ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza. Wakati tunarudi shuleni - mwalimu mmoja alitushtukia kwa jinsi tulivyokuwa na wasiwasi. Alitutenganisha ofisi tofauti na kutuhoji kila mmoja kwa mda wake ....... bahati kauli ilikuwa moja tu. Nilikubali kuwa huyo ni rafiki wangu wa kike lakini hatutendi mambo hayo ... na mwenzangu alisema vile vile. Tukasamehewa.
Tangu siku hiyo tuliweka ahadi ya kuoana ..... lakini .... duh! aliolewa na litajiri fulani ..... japo tunawasiliana kwa ukaribu .. nilitemeshwa donge mdomoni.
Ha haa haa..hapo kwenye red noma.lol!..nakumbuka ni miaka kama 18 iliyopita..
Unajua nimelelewa kwenye familia ya kisabato..so, hizi mambo ilikuwa hazikubaliki..
Nakumbuka ilikuwa niko likizo ya muhula wakt huo niko form2..braza wangu yy alikuwa ananisisitiza kuvidungua videmu coz the guy was smart kwa mambo hayo..so, alini'expose' kwa mdada mmoja ambaye alikuwa mdg wa demu wake..lol..salale..tuliingia chumbani na binti aliyeonekana mzoefu..kimbembe kikabaki kwangu naanzaje?..Nakumbuka tulitizamana kama nusu saa hivi..na kama zali lilinitoka neno moja NATAKA ILE KITU..kwa kuzijua hisia zangu alinivuta na 'kwa kweli ile kumgusa tu pale kunako..siku nyingi nilishaumwaga'..Alichofanya alisonya tu!! na mimi kubaki nimepagawa!!!
hahaaaaaaaa!hapo wengine watatoka na bando la wapenzi wa kwanza cjui itakuwaje tena hii hasa kwa wanaume ndo wako juu sana kudungua vidadaSongíto;4340090 said:mi najiulizaga hivi kwa mfano leo tukatangaziwa kila mmoja arudi akamtafute mpenzi wake wa kwanza hali ingekuwaje? tungewakuta kweli? maana wakati anaweza kuwa wa kwanza kwako wewe, kwake unaweza kuwa wa 20..