Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ulimakafu, Jul 18, 2012.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,024
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 180
  Huyu ni yule uliyeanza nae mambo yale ya kikubwa, je unamkumbuka kwa lipi? Dondosha............
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,814
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Alikuwa mnene, kifua kikubwa....na zaidi alikuwa mfanyakazi wa ndani aka houcgel,beki3....baada ya promc sikuwa na sehemu ya kwenda bali porini.
  Nakumbuka ilikuwa mida ya 1 usiku, kiza cha kutosheleza and sunlight was totally failed, nikaaingia nae kichakani....Hii ilikuwa baada ya kumaliza tu form 4..hapa naomba msinicheke!!
  Dah mwanaume nguvu nguvu nikatoa gwanda, nikaingia king....sasa bahati mbaya nyumba za karibu na hata alipokuwa anakaa huyu dada walikuwa wanafuga sana m-mbwa,tena wakali. Basi zile vurugu pale kichakani, Mmbwa wakazistukia.

  Hazikupita dakika mara hao...dah,nakumbuka ilikuwa kitimtimu balaa....kizuri ni kwamba wale mbwa walivuta harufu ya yule binti kwa hiyo hawakumletea noma coz walimzoea, kivumbi ilikuwa kwangu sasa.!! Mamamaaaaa weeee...nilipiga makelele, kale kabinti kakawa kanawakemea wale mbwa wasilete noma!!

  Kikubwa ambacho sipendi kukisema.....huyu binti wakati na-do nae nilipigwa na harufu flani kali sana kutoka maeneo...lol, nilichukizwa sana kale kaharufu, nadhani iilikuwa ni suala zima a usafi ni F/....lakini ndo hivyo tena, kale kaharuhu kalichukua muda kweli kumingle na wadada/mdada mwingine...na ilichukua muda...nadhani baada ya kumaliza Form 6 ndio nikawa na 2nd gf...hadithi inaishia hapo!!
   
 3. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,029
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Hivi inawezekana ukado na mtu halafu baada ya miaka kadhaa ukiulizwa useme "simkumbuki"?
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Inawezekana kabisa, na wala si ajabu!
   
 5. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145

  Mhhhh, lengo nini hapa? Maana kila mtu ana-kahistoria ka ajabu!
   
 6. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Siwakumbuki sababu nilikuwa sifanyi kihalali.
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,966
  Likes Received: 6,515
  Trophy Points: 280
  Kha, mi hakuwa wa kwanza ila nilikoswa koswa na panga kwene kichaka,
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,024
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 180
  Mkuu hii looks to be a true story..,haha haaa..........
   
 9. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,317
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  duh...umenikata stimu zote.
   
 10. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,665
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kama List ndefu je?
   
 11. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 2,960
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hapa mnaweza kuwaongelea wake zetu
   
 12. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,735
  Likes Received: 896
  Trophy Points: 280
  YEEEEEuuuuuuuuuuuwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiii, ctaki hata kumkumbuka!
   
 13. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,024
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 180
  Kumkumbuka juu ya 'lile tukio' mjomba.
   
 14. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,339
  Likes Received: 991
  Trophy Points: 280
  hata zile za kinguo nguo?
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,024
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 180
  Taja yule wa kwanza tu mkuu.
   
 16. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,024
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 180
  Ndo zipi hizo mkuu?
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,957
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  wala si miaka.....wiki tu kazaa....
  micn u.....
   
 18. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,665
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  unajua wengine tulianza haya mambo hata hatujui tunafanya nini mara mchezo wa baba na mama kujificha na watotot wa shangazi mara niingizie msumari wako huku...lol...ngumu sana kukumbuka labda kama unamaanisha yule niliyempiga darasa na akili zangu timamu na tukaenda tukapanda mlima...haijalishi kama wote tulifika kwenye summit ya mount kilimanjaro lakini kazi ilifanyika....ufafanuzi kwanza mkuu...au ukipenda...Kuhusu utaratibu...
   
 19. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,905
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  jana mchana nilikutana na demu wa mia na hamsini na moja na usiku nilikua na wa hamsini
  na mbili sasa nafanya mchakato wa kutafuta mtu wa kesho na ameshapatikana ila kituko cha
  demu mmoja niliyekutana nae nikiwa form 5
  aliniambia hajakojoa kwa hiyo nikawa nasubiri mara akanikojolea mkojo suruali ikaloa chapachapa ikabidi nile vichochoro kwani ilikua sehemu za nyumba ambalo halijaisha weweeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 20. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,203
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nakumbuka kipindi hicho kulikuwa na ule mchezo wa kubaishiana unamvizia msichana then unaenda kusimama nyuma yake basi unajiona shujaa.
   
Loading...