Mie demu wangu wakwanza nlikuwepo nae nikiwa cjui hata kupiga mashine. sasa sikumoja nikaomba na nikapewa, mi nlidhani kupewa utani kumbe utaalam. ilikuwaje sasa. nilishindwa kucheza na dogo akavaa na tukakimbiana kwa aibu. ila nlipokutana nae mara ya pili alikubali mziki kwani nlikuwa nshapata shule kamili. usipime!
Duh! Siwezi kusahau ya siku ya kwanza, maana kwa kweli nilipata maumivu huko chini, mapaja yaliniuma, nikapata tabu hata kutembea! Mmh! Nilikuwa na miaka 26 lakini wakati huo so sikuwa mdogo!
Katika visa vyote wewe ndo mshindi wangu.Duuuuuuuuuuuuuuuuu!
Hapa patamu!hahahahahaha
nakumbuka alisababisha nikatambaa kwenye banda lang'ombe nikaloa mavi ya ng'ombe mwili mzima na kuchubuka magoti.
Hii ilitokea bahada ya kwenda kwao usiku na kumchomoa ndani na kumpeleka nyuma ya banda lao lang'ombe baada ya dakika kama 30 baba yake alianza kumtafuta uku akiita jina lake:....smile,smile,smile lakini alivyo ona kimya! Akaanza kuja kwenye banda la ng'ombe huku anaita smile,smile.
Nilitetemeka sana na alipo karibia tulipo nilizama kwenye banda la ng'ombe na giza lote lile na shukuru ng'ombe hakunikanyaga!
Na yule mzee angenishika kwa kweli angenipiga sime.
Huwa nikiona zizi la ng'ombe na cheka sana.
MIE BAHATI MBAYA YULE MBUZI ALICHINJWA..~! R.I.P kaaaa!
Dah...!nimependa visa vyenu,lkn kwa upande wangu mpaka leo(me&miaka 22)hali bado ni tete...niliwahi kumshuhudia mgonjwa aliekuwa upungufu wa kinga mwilini pindi niko drs la 6 jinsi alivyo kuwa akiteseka mpaka kuaga dunia....naogopa sana ku-du kila nikimkumbuka.
Disguting!
Hivi kwani huyo mtu aliongea seriously kabisa??
Hahahahahahahah lol! duh!...Ahsante sana Mkuu Sizinga yaani nimecheka ile mbaya lol!....You have just made my day.
Uwii jamani mbavu zangu.sasa mkuu Sizinga wenzie wanasema kale ka-smell kana qualities za 'aphrodisia'.
dah mkuu hii ni kali kuliko zoteMIE BAHATI MBAYA YULE MBUZI ALICHINJWA..~! R.I.P kaaaa!
mimi alikuwa binti mmoja tulikutana kwa mara ya kwanza kabisa tuition ilikuwa mwishoni mwa mwaka 2002 kwenda 2003 but then hatukufanya kitu tukawa marafiki tu na yeye alikuwa anasoma Kilakala secondary so baada ya kuachana ilikuwa ni barua tu kwa kwenda mbele na ahadi tele,ilikuwa ni mwaka 2006 ndio tulikula tunda baada ya kumaliza form 6 wakati wa applications za chuo.
ila sasa hivi sijui yupo wapi tena maana 2007 ndio ilikuwa mwisho wa mwasilano yetu ila stil ataendelea kubakia katika memory zangu kuwa ndie the first girl ever kwangu.:israel:
Hahhahaaa, wangu alikuwa house gel.Alikuwa anapenda mti huyooo, yaani alikuwa anaweza toka jikoni kifuatacho ni mdudu mpaka mboga zinaungua, ila nilikuwa nakula chakula kitambo yaani top layer.