Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza?

Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza?

Mama yangu. madame b you can't b serious

Arushaone,
serious kabisa tena enzi zile alikuwa ni Mwenyekiti wa UVCCM tawi la Kinondoni B.
Tena mpaka anaenda kuapishwa pale Golden Tulip kuwa mkuu wa wilaya niliambatana nae,nadhani kama yupo humu Jf,akisoma post hii atanikumbuka.
Ila ndo hvo tena umri wangu na wake ndio ulikuwa sababu ya ku-separate.
 
Last edited by a moderator:

Mbona napata wivu mwalimu wangu?
 
Mbona napata wivu mwalimu wangu?

He!! mwanafunz wangu Kaizer unanichungulia hadi huku?
Ndo hvo tena,tunakumbushana mapenzi ya ujanani.
Wewe wako je unamkumbuka au ndo yuleyule?
 
Last edited by a moderator:
Huyu ni yule uliyeanza nae mambo yale ya kikubwa, je unamkumbuka kwa lipi? Dondosha............

Magie shitindi,huyu sitamsahau kamwe,ila alidanganywa na hali ya maisha ya kwao kuwa duni,nilifunguaga mwenyewe tukiwa form 2,yeye akisoma Mazengo Sec mimi Nikiwa Dom sec.
Ni mwalimu wa sec wilaya ya kilolo huko,
 
hahaaaaaaaa!hapo wengine watatoka na bando la wapenzi wa kwanza cjui itakuwaje tena hii hasa kwa wanaume ndo wako juu sana kudungua vidada
No mate,it's a one to one function.Tegemea kwamba anafanya ile kitu ana partner hivyo wote ni sawa kiuzinzi.
 
Magie shitindi,huyu sitamsahau kamwe,ila alidanganywa na hali ya maisha ya kwao kuwa duni,nilifunguaga mwenyewe tukiwa form 2,yeye akisoma Mazengo Sec mimi Nikiwa Dom sec.
Ni mwalimu wa sec wilaya ya kilolo huko,

Mazengo Sec si ilikuwa boys tu?
 
Namkumbuka mpenzi wangu wa kwanza alikuwa anaitwa Martin Shigella,kipindi hiko tumepanga nyumba moja Kinondoni B,Dunga Street.
Ni Martin huyuhuyu wa Chama Cha Magamba.

Ha ha haa....hii kali...
 
Arushaone,
serious kabisa tena enzi zile alikuwa ni Mwenyekiti wa UVCCM tawi la Kinondoni B.
Tena mpaka anaenda kuapishwa pale Golden Tulip kuwa mkuu wa wilaya niliambatana nae,nadhani kama yupo humu Jf,akisoma post hii atanikumbuka.
Ila ndo hvo tena umri wangu na wake ndio ulikuwa sababu ya ku-separate.

Umri hauna shida,sema ulikuwa unaanza aka hujawa mzoefu.
 
alikuwa binam, nakumbuka nlkuwa 4m2 yeye alikuwa margoret 4m6, alkiwa mdada mkubwa...niliambiwa nkakae nae kwao coz wazee wake walsafr kdogo...ilianza kwa kubshana uku aknidharau cwez kuduu nkamwambia naweza ili kuprv 2ljarbu...
 
Ulianza na nduguyo,dah kali kweli.
 
hahaaaaa hii topic imenikumbusha sana, I was in form five sema huyo mwanaume hakuwa gentle kabisa na nilimwambia kwamba it was my first time yeye alifanya tu kujifurahisha mwenyewe. hii ilinifanya nichukie sana kitendo hicho, nilijua mapenzi hata hayana utamu wowote watu huwa wanadanganya, am trying to overcome it.
 
Back
Top Bottom