Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza?

Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza?

nikifungua computer yangu, nitawamwagia kisa changu, coz nahisi hapa ndo mahala pekee pa kuxpress dat xclusive day...it wl never come back hd mtu unaondoka...4 sure jf thnx 4 taking us back...OLD Z GOLD
 
Poa mkuu,tunasubiri.
 
loh.....

Sasa nimetishika.....
Nimegundua vijana wengi humu wamejifunzia kwa house girls.....
Sijui niwafiche wapi hawa hg dhidi ya vijana wangu....... Wasijekuharibiana.....

Mkuu huna ujanja,zaidi wawekee box la zana chumbani kwao.
 
Ukajifanya ndama, au?ha ha ha
Duuuuuuuuuuuuuuuuu!
Hapa patamu!hahahahahaha

nakumbuka alisababisha nikatambaa kwenye banda lang'ombe nikaloa mavi ya ng'ombe mwili mzima na kuchubuka magoti.
Hii ilitokea bahada ya kwenda kwao usiku na kumchomoa ndani na kumpeleka nyuma ya banda lao lang'ombe baada ya dakika kama 30 baba yake alianza kumtafuta uku akiita jina lake:....smile,smile,smile lakini alivyo ona kimya! Akaanza kuja kwenye banda la ng'ombe huku anaita smile,smile.
Nilitetemeka sana na alipo karibia tulipo nilizama kwenye banda la ng'ombe na giza lote lile na shukuru ng'ombe hakunikanyaga!
Na yule mzee angenishika kwa kweli angenipiga sime.

Huwa nikiona zizi la ng'ombe na cheka sana.
 
kipi kinaharibika?acha watoto wabandue, cha msingi nakushauri uwatafutie mahousegirl wazuri
loh.....

Sasa nimetishika.....
Nimegundua vijana wengi humu wamejifunzia kwa house girls.....
Sijui niwafiche wapi hawa hg dhidi ya vijana wangu....... Wasijekuharibiana.....
 
amebaki akua rafiki yangu tu FB...she was my first kiss..daamnn..it was so sweet..we kissed 4 hours nilikua 4m 4 yeye 1.. , ukizingatia kua wote tulikua totoz za geti kali..nd nyumba ya jirani yetu ndio ilikuwa safe haven yetu..alikua anaaga anakwenda kusoma huko na mimi naaga like wise we meet there, jirani anatupa nafasi, tunajimwaya 4 hours...mapenzi yakaendela mpaka nilipohama na kwenda mbali kwa masomo, mambo yakaharibika hapo...till then ..nakumbuka mabusu yake matamu...
 
Huyu ni yule uliyeanza nae mambo yale ya kikubwa, je unamkumbuka kwa lipi? Dondosha............

Aisee sipendi hili swali coz i dont remember.. Sijui anafananaje na hata nikipishana nae njiani simkumbuki i think i was about 13/14 yrs at the time.. Ningependa nimjue tho
 
Alikuwa anaitwa mwajabu mhina, tulikuwa wote 4m3 darasa moja. Alikuwa amakuja geto kwangu kila ijumaa. She was vry cute to me. Ilifika hatua tukawa kama tumesahau shule lkn tulifaulu wote 2006 baada ya hapo me nilienda kibiti yy korogwe gals, na huo ndio ulikuwa mwisho wa mahusiano yetu. Namkumbuka sana coz nilimpenda sana na naahidi kumtafuta frm next yr. Mtoto wa kitanga yule ni zaidi ya utam.
 
woouuuuhh.......
 
Back
Top Bottom