Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza?

Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza?

loh kwa hiyo inabidi niwaelekeze jinsi ya kuzitumia? uwiiii

We ziweke tu na wala usiwaelekeze,ila hakikisha umeziweka sehemu ambayo wataziona kwa urahisi kisha baada ya kama wiki anza kupitia kuziangalia,ukiona zinapungua basi rudi kwangu ni PM kwa ushauri zaidi.Ila kama zitakuwa hazipungui basi usiwe na shaka kwani nina hakika hakutakuwa na mchezo unaoendelea..
 
Ile siku itabaki kuwa peke yake hapa duniani, haitakaa itokee siku kama hiyo tena.

Paka mweusi unataka niseme, alinifuatilia tangu nikiwa std 6 lakini alikuja kunipata nikiwa form 2, ni kweli nilimng'ata kwenye mkono, pamoja na kumng'ata hakuniachia alienda hadi alipomaliza. Ilikuwa ni chumbani kwake na alikuwa ametandika shuka jeupeee,jiulize hilo shuka lilikuwa na rangi gani baada ya hapo

Baada ya kupotezana miaka mingi, tumekuja kuwasiliana siku za hivi karibuni, ni rafiki yangu sana kwa sasa. Nilimkumbushia issue ya kumng'ata, alicheka sana yaani tukakumbuka miaka 20 iliyopita

Funguka basi la aziz, hakuna anayekuona hapa,ulimtafuna au alikutafuna yeye?
 
We ziweke tu na wala usiwaelekeze,ila hakikisha umeziweka sehemu ambayo wataziona kwa urahisi kisha baada ya kama wiki anza kupitia kuziangalia,ukiona zinapungua basi rudi kwangu ni PM kwa ushauri zaidi.Ila kama zitakuwa hazipungui basi usiwe na shaka kwani nina hakika hakutakuwa na mchezo unaoendelea..

Lazima uwashtue, maana wanaweza kuzivaa vidoleni, teh teh...
 
Ile siku itabaki kuwa peke yake hapa duniani, haitakaa itokee siku kama hiyo tena.

Paka mweusi unataka niseme, alinifuatilia tangu nikiwa std 6 lakini alikuja kunipata nikiwa form 2, ni kweli nilimng'ata kwenye mkono, pamoja na kumng'ata hakuniachia alienda hadi alipomaliza. Ilikuwa ni chumbani kwake na alikuwa ametandika shuka jeupeee,jiulize hilo shuka lilikuwa na rangi gani baada ya hapo

Baada ya kupotezana miaka mingi, tumekuja kuwasiliana siku za hivi karibuni, ni rafiki yangu sana kwa sasa. Nilimkumbushia issue ya kumng'ata, alicheka sana yaani tukakumbuka miaka 20 iliyopita

We mkali, 3 yrs.........
 
Kwangu ilikuwa ni kumbukumbu mbaya sana sitaki hata kuikumbuka
Ingawa ilishatokea ...zamani nilikuwa nasema alaaniwe popote alipo ila sasa nasema mungu amsamehe dhambi zake
 
Alikuwa mnene, kifua kikubwa....na zaidi alikuwa mfanyakazi wa ndani aka houcgel,beki3....baada ya promc sikuwa na sehemu ya kwenda bali porini.
Nakumbuka ilikuwa mida ya 1 usiku, kiza cha kutosheleza and sunlight was totally failed, nikaaingia nae kichakani....Hii ilikuwa baada ya kumaliza tu form 4..hapa naomba msinicheke!!
Dah mwanaume nguvu nguvu nikatoa gwanda, nikaingia king....sasa bahati mbaya nyumba za karibu na hata alipokuwa anakaa huyu dada walikuwa wanafuga sana m-mbwa,tena wakali. Basi zile vurugu pale kichakani, Mmbwa wakazistukia.

Hazikupita dakika mara hao...dah,nakumbuka ilikuwa kitimtimu balaa....kizuri ni kwamba wale mbwa walivuta harufu ya yule binti kwa hiyo hawakumletea noma coz walimzoea, kivumbi ilikuwa kwangu sasa.!! Mamamaaaaa weeee...nilipiga makelele, kale kabinti kakawa kanawakemea wale mbwa wasilete noma!!

Kikubwa ambacho sipendi kukisema.....huyu binti wakati na-do nae nilipigwa na harufu flani kali sana kutoka maeneo...lol, nilichukizwa sana kale kaharufu, nadhani iilikuwa ni suala zima a usafi ni F/....lakini ndo hivyo tena, kale kaharuhu kalichukua muda kweli kumingle na wadada/mdada mwingine...na ilichukua muda...nadhani baada ya kumaliza Form 6 ndio nikawa na 2nd gf...hadithi inaishia hapo!!

Umejitahidi sana. Hongera.
 
jana mchana nilikutana na demu wa mia na hamsini na moja na usiku nilikua na wa hamsini
na mbili sasa nafanya mchakato wa kutafuta mtu wa kesho na ameshapatikana ila kituko cha
demu mmoja niliyekutana nae nikiwa form 5
aliniambia hajakojoa kwa hiyo nikawa nasubiri mara akanikojolea mkojo suruali ikaloa chapachapa ikabidi nile vichochoro kwani ilikua sehemu za nyumba ambalo halijaisha weweeeeeeeeeeeeeeeeee

Kaaaaa.
 
FL1, Kwani alikubaka?

Kwangu ilikuwa ni kumbukumbu mbaya sana sitaki hata kuikumbuka
Ingawa ilishatokea ...zamani nilikuwa nasema alaaniwe popote alipo ila sasa nasema mungu amsamehe dhambi zake
 
Umenikumbusha Mary wangu soo sweet and innocent.....hadi nimemiss leo
 
Kwangu ilikuwa ni kumbukumbu mbaya sana sitaki hata kuikumbuka
Ingawa ilishatokea ...zamani nilikuwa nasema alaaniwe popote alipo ila sasa nasema mungu amsamehe dhambi zake

pole FL1!maneno yako machache lakini yanaonyesha mwanaume anaweza kuacha kumbukumbu mbaya sana ktk moyo na akili ya mwanamke!pole once again
 
Back
Top Bottom