Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza?

Mie demu wangu wakwanza nlikuwepo nae nikiwa cjui hata kupiga mashine. sasa sikumoja nikaomba na nikapewa, mi nlidhani kupewa utani kumbe utaalam. ilikuwaje sasa. nilishindwa kucheza na dogo akavaa na tukakimbiana kwa aibu. ila nlipokutana nae mara ya pili alikubali mziki kwani nlikuwa nshapata shule kamili. usipime!
 
Kongosho Akiku'turn-down basi wengine tupotupo!
Watu wengine hao hawajui kupendwa, atakupekua kitabu wee, kisha anakuja kulimwaga kojo hapa majamvini!..achaneni na watoto wa dizain ya Bishanga na Erickb52
Hahahaaaaa PakaJimmy mi ndio nafikiria kuanza mchakato wa kutest mautam siunajua tena ukisikia kitu unatamani kujaribu.....Nitafutie basi wa kujifunza nae kama unaweza
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa mnene, kifua kikubwa....na zaidi alikuwa mfanyakazi wa ndani aka houcgel,beki3....baada ya promc sikuwa na sehemu ya kwenda bali porini.
Nakumbuka ilikuwa mida ya 1 usiku, kiza cha kutosheleza and sunlight was totally failed, nikaaingia nae kichakani....Hii ilikuwa baada ya kumaliza tu form 4..hapa naomba msinicheke!!
Dah mwanaume nguvu nguvu nikatoa gwanda, nikaingia king....sasa bahati mbaya nyumba za karibu na hata alipokuwa anakaa huyu dada walikuwa wanafuga sana m-mbwa,tena wakali. Basi zile vurugu pale kichakani, Mmbwa wakazistukia.

Hazikupita dakika mara hao...dah,nakumbuka ilikuwa kitimtimu balaa....kizuri ni kwamba wale mbwa walivuta harufu ya yule binti kwa hiyo hawakumletea noma coz walimzoea, kivumbi ilikuwa kwangu sasa.!! Mamamaaaaa weeee...nilipiga makelele, kale kabinti kakawa kanawakemea wale mbwa wasilete noma!!

Kikubwa ambacho sipendi kukisema.....huyu binti wakati na-do nae nilipigwa na harufu flani kali sana kutoka maeneo...lol, nilichukizwa sana kale kaharufu, nadhani iilikuwa ni suala zima a usafi ni F/....lakini ndo hivyo tena, kale kaharuhu kalichukua muda kweli kumingle na wadada/mdada mwingine...na ilichukua muda...nadhani baada ya kumaliza Form 6 ndio nikawa na 2nd gf...hadithi inaishia hapo!!

dah wee mkaree
 
Wa kwanza kabisa kwangu alikuwa beki 3 wetu. Tena nakumbuka siku hiyo wakati anamshika tu babu ili amuweke mahala pake mi nkamaliza kila kitu mkononi mwake na mashine ikalala, akaishia kuvaa kwa hasira na kusepa.

uuuuuwi!mbavu zangu!ha ha
 
Nilikuwa form three, nilikua nalala chumba kimoja na mdogo wangu, kuna mdada alikuwa amepanga home alitembelewa na kind of mdogo wake fulani ambaye mimi alikuwa ananizidi umri sana tu naweza kusema,siku hiyo usiku mdada mkubwa akapa kibuzi ikabidi aje kuomba mdogo wake alale geto, nikakubali, tukalala mzungu wa nne yeye anaangalia upande wake mimi na dogo upande wetu lakini mimi nilikuwa center. du!! mdada alikuwa wajoto si mchezo baada ya kama saa zima za kugeukageuka kitandani akaniuliza mbona haulali wewe na mimi nikamuuliza mbona yeye hajalala, kimya kikarudia, sikumbuki nini kilifuatia baada ya hapo, ila mwishoni nilijikuta niko kifuani kwake napiga kazi,baada ya hapo ikawa ni kamchezo ketu kwa muda mrefu sana, na tulitokea kupendana sanaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hivi inawezekana ukado na mtu halafu baada ya miaka kadhaa ukiulizwa useme "simkumbuki"?

I can assure you ni wanaume wachache sana tena sana ambao wanakumbuka kila mwanamke waliyelala naye maishani,actually saa ingine unaweza jikuta unatongoza upya mwanamke uliyemmega 15/20 years ago,its common.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom