Unamkumbuka kwa yapi Abdul-Rahman BABU?

..hivi kwanini Babu na Wakomunisti wenzake hawakwenda kuishi China,Cuba,N.Korea,...?

..hivi huo Ukomunisti wanauamini kweli au wana-experiment tu? kwamba it is just an academic exercise?

Mkuu jokakuu,

Heshima mbele, mimi nime-conclude kwamba Mwalimu na Babu walikuwa ni wamoja, ila walikuwa wanatugirini tu wananchi!
 
Jokakuu,
Mkuu kwanza tunafanya makosa makubwa ku judge hii habari ya kina Babu na Nyerere kwa nini hawakwenda kuishi huko kwenye Ukomunist..
Mkuu nilishasema kwamba Ukomunist ni pinzani ya Ubepari, ni itikadi inayotokana na kuishi ktk mazingira ya kibepari na ukaona unyama wa Ubepari hivyo mbinu za itikadi mpya dhidi ya Ubepari ikavumbiliwa.... Wafuasi wa itikadi hii waliitwa Wakomunist.. Sawa na wakati wa kupigania Uhuru kuondokana na Ukoloni waliitwa freedom fighter, leo hii huko Iraq na Afghanstan wapiganaji haohao wanaitwa Insugents na kadhalika..
Kwa hiyo sisi kizazi kipya ambao hatukuwahi kushuhudia Ubepari ndani ya nchi yetu wakati ule tunashindwa sana kuelewa mengi. Ni pamoja na sababu za Mwalimu kuitaka kuikomboa Afrika nzima...Sababu za kumwondoa Sultan Zanzibar na kadhalika, hatuwahi kuonja machungu ya watawala wale..

ninachoshangaa mimi ni Babu kutokana na matatizo yake ya kisiasa kukimbia Tanzania, na kwenda kuishi ktk nchi ya Kibepari, ukizingatia kwamba yeye ni Mkomunisti.
..it made more sense kwa Kambona kukimbia Ujamaa Tanzania, na kwenda kuishi Uingereza kwa mabepari.
..of course mabepari uchwara wa Tanzania, na nchi nyingine za Kiafrika, huficha fedha na mali zao walizoiba, Ulaya kwa mabepari wenzao, au???

Hapana mkuu hapa unakosea.. kumbuka Obama kjasema nini.. Hivi kwelim mzungu akiwa kazama baharini na kuna mtu mweusi kamtupia kamba kumwokoa utaacha kuipokea kwa sababu ya rangi yake...
Kuishi ktk nchi ya Kibepari ambayo asilimia chini ya 10 ndio maskini haiwezi kulinganishwa kabisa na nchi zetu zenye asilimia 80 ya raia wake maskini.. Kisha, Babu hakupinga Ubepari kwa ajili yake mwenyewe ama Ubepoari kuwepo duniani isipokuwa ni matumizi ya Ubepari ktk mazingira na watu wa bara hili..
Mkuu mimi hapa ni mfuasi wa NDP (Demokratik) ktk nchi na naukubali Ubepari ktk misingi ya chama hicho, lakini kama nitakuwa Tanzania bila shaka mimi ni mfuasi wa Conservative..na maisha yangu nyumbani nadhani naishi kama Liberal,.....sina hakika labda nimuulize Bi mkubwa! - haaa! haaa! haaa!
Binadamu wote tuko hivyo kwa sababu kila hisia hutokana na WATU na MAZINGIRA yaliyopo.
 
Zakumi,
Naamini kila kizazi kina nabii wake. Sasa hivi tunawasubiria akina Zakumi na Companero wachukue jukumu la kutoa uongozi wa kizazi cha leo. Mwangalie Obama anavyomwaga vitu. Acha bwana!

Jasusi:

Ni kweli kila kizazi kina nabii wake lakini kizazi chetu kina-miss something fundamental. Pamoja na watu kwenda shule, watu wamekuwa wavivu kusoma au kuandika.

Na kama wanaandika basi wanaandika kwa sababu ya kupata kazi au kama kwa ajili ya shule. Lakini sijaona wanaoandika au kusoma kwa ajili ya mapenzi.

Obama ni profic writer. Na ameandika kwa mapenzi.
 
Zakumi Wakati Mwanakijiji anajiandaa kukujibu, na mimi naongezea: Kwa nini Zitto Kabwe, Muthoni Wanyeki na Tundu Lissu wamepatikana sasa na sio wakati wa mkoloni?

Dogo:

Ujaacha kuboronga tu. Kuna watu wana guts za kupiga makelele ya kisiasa (Zitto) lakini hawana intellectual curiosity ya kuandika au kutoa idea yoyote ya kichambuzi.

Mazingira ya kutawaliwa yaliwapa na kuonewa yaliwapa baadhi ya watu curiosity fulani ya ku-prove that we can.
 
Jasusi:

Ni kweli kila kizazi kina nabii wake lakini kizazi chetu kina-miss something fundamental. Pamoja na watu kwenda shule, watu wamekuwa wavivu kusoma au kuandika.

Na kama wanaandika basi wanaandika kwa sababu ya kupata kazi au kama kwa ajili ya shule. Lakini sijaona wanaoandika au kusoma kwa ajili ya mapenzi.

Obama ni profic writer. Na ameandika kwa mapenzi.

Zakumi,
Hiyo ndiyo changamoto kwenu. Kusoma mmesoma sasa kinachokosekana ni nini? Mnaona jinsi nchi inavyokwenda mrama and you have ideas of what can be done to put it right. Changamkieni tenda!
 
Dogo:

Ujaacha kuboronga tu. Kuna watu wana guts za kupiga makelele ya kisiasa (Zitto) lakini hawana intellectual curiosity ya kuandika au kutoa idea yoyote ya kichambuzi.Mazingira ya kutawaliwa yaliwapa na kuonewa yaliwapa baadhi ya watu curiosity fulani ya ku-prove that we can.

Kama kuna kitu kinanikera ni kutoa hoja na kuhitimisha vitu bila kuwa na ushahidi. Nitakutumia rejea ya mada za uchambuzi alizoandika Zitto kwa ajili ya umma. Matatizo yenu watu mliokimbia Tanzania mnadhani mnaijua Tanzania na Watanzania wazalendo tuliobaki nchini kuliko tunavyojijua wenyewe.
 
Ni kweli kila kizazi kina nabii wake lakini kizazi chetu kina-miss something fundamental. Pamoja na watu kwenda shule, watu wamekuwa wavivu kusoma au kuandika.

Na kama wanaandika basi wanaandika kwa sababu ya kupata kazi au kama kwa ajili ya shule. Lakini sijaona wanaoandika au kusoma kwa ajili ya mapenzi.

Obama ni profic writer. Na ameandika kwa mapenzi.

Utawaonea wapi wanaoandika kwa ajili ya mapenzi wakati hauko pamoja nasi huku Tanzania? Hata huyo Obama si umemuona kwa sababu uko naye huko na/au kwa sababu amekuwa mtu maarufu duniani. Nasisitiza tena tusihitimishe vitu bila kuwa na ushahidi wa kutosha. Kama ushahidi wako ni kutoona basi tuambie hukuona wapi na lini maana inawezekana ulifika kijijini kwenu huko Ruvuma alafu hukuona kumbe ukienda kijijini kwetu utakuta watanzania waliojisomesha wenyewe kwa moyo na wanaoandika kwa mapenzi ya dhati. Hivi na hawa wote wanaoandika 'marshal plans' na 'policy alternatives' humu JF nao wanaandika kwa sababu ya kupata kazi au/na kwa ajili ya shule?
 
Wakuu,

Ukimbizi wa Uhuru kwenda kubeba maboksi umenifanya nikose uhondo na hata kushiriki kuchangia mada.

Sasa Kihiyo kama mimi, natoaga maoni yangu kwa uchambuzi, hivyo nyie wataalamu wa Nadharia za Mchezo au Rafiki hata wewe kenda ongeza mosi msije nikaba koo eti namnukuu nani!

Natamani ningekuwa ngwini kama nyie, lakini wote ni mwendo mdundo kujenga Taifa.

Cha kufurahisha sana katika mada hii, ni ule ufinyu wa hasira za wale waliokuja kule kwenye mada niliyoanzisha kuhusu falsafa za Nyerere Ujamaa na Azimio.

Companero, I wish you could have posted some of the materials posted here kule ambako tuliishia kung'ang'ana hasa yule Farisayo kuwa Nyerere alikuwa katili bin F i r a u n i bin Ibilisi! Hata Kungwi alipokuja na kutoa msimamo tofauti, bado Farisayo na wafuasi wake hawakusikia neno.

La kufurahisha ni kuwa ukienda Amazon.Com kutafuta vitabu vya Nyerere au machapisho yake,Amazon inasema kuna machapisho na vitabu 111! Veil veli interesting!
 
Mwalimu Nyerere and the Ideological Amalgam of African Socialism and Welfare State Liberalism

Frustrated by the elitist development in the 1960s and the heightened educational crises which culminated in the National Service dispute, President Nyerere, who was by now the key education policy maker in Tanzania, decided to formulate education policies which, though radical in their own rights, were anticipated by colonial agricultural-based educational policies which were detested by the majority of Tanzanians. The time was ripe now for Nyerere, who is on Hatch (1976) and Smith (1973) records for claiming that his self-evolved ideas of politics were formed completely at the University of Edinburgh were his strongest subject was philosophy, to implement a synthesis of the liberal ideas to the Tanzanian education system and to the nation as a whole.

Not deviating much from the social democratic liberalism conceptualisations of the father of utilitarianism, John Stuart Mill, whom he admired a lot, Nyerere (1966) came up with ‘a new synthesis of man and society’ which aimed to resolve the tension between the individual and his/her society and paved the way for the creation of a quasi socialist welfare state. His synthesis asserted that man’s existence in society involves an inevitable and inescapable conflict of his own two main desires: the desire for freedom to pursue his own interests/inclination and the desire for the freedoms which can only be obtained through life in society. He further assert that this necessitate the individual to sacrifice, in the interest of the society, certain private freedoms which he could have possessed outside the society if it was at all possible to live outside the society.

To Nyerere, the basic purpose of this society - which is to serve man - could be realised by the establishment of institutions which safeguard and promote both unity and freedom as well as by fostering an attitude - a social ethic – which ensures that these institutions remain true to their purpose and are adapted as need arises. It follows, then, that all social and economic policies were to be formulated with the aim of creating a new society that was founded on these social democratic liberal ideals. However, to Nyerere, these policies were to be distinctively African in the sense that they could synthesize traditional African family values with modern techniques in order to build a relatively well-off egalitarian society. He called this synthesis ‘Ujamaa’ i.e. the Kiswahili word for ‘familyhood’ and he institutionalized it in his 1967’s Arusha Declaration.

The Declaration, Nyerere asserted, “supplied the need for a definition of socialism in Tanzanian terms, and provided the necessary sign-post of the direction in which the nation must travel to achieve its goals” (Nyerere 1968: viii). This need, as he further noted, arose from the fact that for a long time the meaning of this philosophy in the Tanzanian condition was left vague even though the ruling party had been officially committed to the building of a socialist society since 1962. This lack of ideology, as he further asserts, did not prevent TANU and its government from pursuing policies which were in fact socialist. However, “the absence of a generally accepted and easily understood statement of philosophy and policy was allowing some Government and Party actions which were not consistent with building socialism, and which even encouraged the growth of non-socialist values and attitudes” (Nyerere, 1968, pp. vii- viii).

These Arusha Declaration policy statements were then complemented by Nyerere’s (1968) 'Socialism and Rural Development' and Nyerere’s (1968) 'Education for Self-Reliance' (ESR) Policy booklets. The former text called for the establishment of cooperative communities. In the latter text, he offers an alternative to the inherited capitalistic colonial education system which limited the expansion of educational facilities and inculcated values that were irrelevant to the needs of Tanzania. Sensing that the low rate of social-economic development meant that post-primary education will remain elitist, He called for a relevant and complete universal primary schooling. Since he viewed the traditional African family, which was mainly rural and agricultural, as the natural embodiment of this new society he was trying to create and that the school was an important socializing institution, Nyerere asserted that schools should become farming communities.

Nyerere’s state also initiated programs to educate illiterate adults who were mainly peasants and tied it to his concept of self-reliance and school farm programs. This articulation of his policies aimed to break with the legacy of colonial education by creating egalitarian values among the youth of Tanzania and their parents, who were struggling for social mobility that elitist education system seemingly promised to provide. Since school children were meant to be an integral part of the peasant society, it was expected that the practical knowledge they get from school would also trickle to the illiterate peasants. Thus, Tanzanian farmers and their children, including those who were still practicing individualistic small-scale capitalistic farming, were urged to live in Ujamaa villages (co-operative socialist community) in line with the policy statements of the above-mentioned three policy booklets. In favouring the collective over the individual, Nyerere was increasingly lining himself with social democratic liberalism and sidelining himself from the classical liberalism of Adam Smith that was to influence neoliberalism significantly in the last years of Nyerere’s life. However, throughout his life this liberal tension between individualism and collectivism remained within and between Nyerere the person and Nyerere the statesman/policymaker as the following response -given few months before his death - to the contention that one should let the individual develop and let the nation-states be secondary implies:

"It cannot be. I’m telling you, Bill [Sutherland], if the blessed Lord had wanted a planet for myself, He would have done it. He could have made a planet for every single individual but He never did it. He puts us in community, and we jolly well have to live as part of it. Of course, I’m an individual and I respect my own individuality. But I am an individual and a member of a community. And the community has conditions. All the commandments – Thou Shalt Not – are about community. Now there is an anarchism that is called democracy, but rejects the community. But I don’t accept that, I don’t accept anarchism. I wish we had a chance to develop Ujamaa because I don’t believe we have failed in Ujamaa. I believe it is in the spirit…i ndividuals, yes – but individuals in the community. Individuals, yes – because I myself am an extremely assertive individual. Nobody can doubt my own commitment to my own individualism, but I am still an individual within the community" (Nyerere quoted in Sutherland & Meyer 2000: 88-89)

Mwalimu Companero,

Ma-Rapper huwa wanasema "this is deep" kuonyesha uzito na ukoshaji wa roho wa kitu. Nami juu ya mimbari nasema "This is Deep"

Nchi hujengwa na falsafa za kisiasa. Ikuangalia hiki kilichoandikwa hapo juu (iwe ni maoni yako mwenyewe au uchambuzi wa mzungu fulani ili GT asikutoe macho:p) kinaonyesah wazi kuwa si falsafa au misingi ya Ujamaa ambayo ilishindwa, bali ni watu na utekelezaji wake.

Inabainika wazi kama jinsi Azimio la Arusha lilivyosema kuwa kamaTaifa changa tulishaanza kujijenge amatabaka ya Wazungu Weusi ambao ni Wasomi (Elitist) ambao wengi walikuwa katika nyadhifa na sehemu za kuongoza Taifa letu.

Kilichojengwa ambacho Mwinyi na hata majuzi Kikwete wamekilalamikia kuwa kigezo cha kushindwa Ujamaa ni kule kuondolewa kwa Umwinyi na Ubwana kati yetu.

Najiuliza, kama tulikuwa na wachumi mahiri kama tunavyojigamba, walishindwa nini kuunda mfumo mzuri wa Uchumi kwa kuzipima zile principle za uchumi na mechanism zake na kuzioanisha na Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea?

Nia nzima ya Ujamaa ilikuwa ni kujenga mtu na jamii endelevu ambayo inaweza kujizalishia na kujitoshelezea, sasa kwa nini tunashindwa hadi leo hii kuliona hilo na kukimbilia kuegemea kwa tunaloambiwa na Wazungu?

Ulinikasirikia sana niliposema Watanzania ni Wavivu hata majibu yangu ukayapuuzia, sasa ukiangalia nia na maono ya Nyerere kujenga Taifa ambalo liliacha likiwa halina nguvu kutokana na mfumo wa Kikoloni ambao ulitufanya tudumae kifikra na hata kiunyonge na kutuacha tukiwa na mfumo duni wa uchumi, inakuwaje tulipopata Mwanamapinduzi mwenzetu ambaye alitaka kujenga jamii kwa manufaa yetu wenyewe tukashindwa kujniunga nyuma yake na kufanikisha hizo "fikra na njozi"?

Kwa nini Tanzania bado tunaishi kwa mawazo na fikra za Pre-Agrarian Revolution?

Mkandara hupenda kusemaWatu na Mazingira, sasa hata pamoja na mvutano wa kifalsafa kati ya Babu na Nyerere na hasa katika utekelezaji wa Ujamaa kutokana na tofauti zao za mtazamo, je Wasomi wale kiduchu tuliokuwa nao walikuwa wapi basi kuhakikisha kuwa Principle za Adam Smith na Aristotle wetu zinafanikiwa? Iweje wote walimpinga na kutong'amua kuwa tulikuwa tunajijengea Utaifa na kuwa mfano wa pekee?

Naamini kuna Wazungu wengu haswa Mabepari ambao waliliona hili la Nyerere na walisubiri mavuno yake kwa shauku kubwa. Lakini katika Wazungu hao hao, wengine wao walikuwa ni wahujumu, ambao hawakutaka kamwe kuona mafanikio ya Jamii bali mafanikio ya mtu mmoja mmoja na hivyo kuendeleza mirija na ubabe wa Kibepari. Yanayotokea leo Marekani ya kusema udhaifu wa udhibiti ni kithibitisho tosha kuwa bado kuna mvutano ndani ya jamii ya nini kinapaswa kufanywa ili tuishi kama jamii na si kisiwa cha mtu mmoja mmoja.

Bwana Yesu alipotoa ile hotuba/Mahubiri yake maarufu kama "Sermon on the Mountain ilikuwa ni kujenga misingi imara ya mtu mmoja mmoja ndani ya jamii na jamii kwa ujumla.

Hata Dr. Martin Luther King jr. na hotuba yake ya "I have the Dream" FDR ya "what we have to fear" siku akiapishwa, zililenga kumjenga mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla na kuonyesha wazi umuhimu wa kuwa na jamii iliyo na rutuba, afya na nguvu bora.

Leo hii, Tanzania hatuna mwamko wowote ule wa kujijenga kama Taifa au kujipatia utambulisho kama Taifa. Tumepoteza ile hazina tuliyoanza kuijenga kutokana na uofu na ufupi wa maono kutokana na Ubinafsi.

Unaposikia Mwinyi na hata Kikwete leo hii wakiukana Ujamaa na kuoanisha na Umasikini, ni jambo la kutia aibu na kusikitisha sana.

Kwa wengi ambao wanaona Ubepari uchwara au soko huria kuwa ndio kigezo cha kujenga jamii, kujaa kwa bidhaa madukani na kuneemeka kwa nafsi zao na familia zao kutokana na manufaa na matunda ya "kufanikiwa" kwao kupitia mgongo asili wa kulijenga Taifa letu, ndio wanakuona bora.

Lakini kuna faida gani kuwa na bidhaa bwelele madukani ilhali hakuna mwenye uwezo wa kununua?

Tunahitaji kuanza kupanda mbegu mpya ya Wanasiasa na wanafalsafa hata wasomi kwa ujumla ambao wanaweza kutumia elimu zao na usomi na kuzigeuza kuwa matunda ya kweli ambayo yatafanya kazi kutokana na mazingira yetu.

Nashukuru sana kwa kutuletea hizo nukuu na uchambuzi, maana kwa mara nyingine zinatuambia kwa wale ambao tumeweza kumuelewa Nyerere pamoja na udhaifu wake, hatukukosea na hatuna makosa kuwa mashabiki wake na kumtetea!
 
Kasisi,
Umenena!
Amani iwe nawe pia.
 
Zakumi,
Naamini kila kizazi kina nabii wake. Sasa hivi tunawasubiria akina Zakumi na Companero wachukue jukumu la kutoa uongozi wa kizazi cha leo. Mwangalie Obama anavyomwaga vitu. Acha bwana!

Jasusi:

Binafsi nina mapungufu mengi. Kwa miaka mingi shule nilizosoma zilikuwa zinanifundisha kupokea maarifa na sio kuwa mbunifu. Na mazingira yote ya shule yalikuwa yananilazimisha mimi kuwa mtiifu wa serikali.

Waliosoma wakati wa ukoloni walipenda elimu lakini hawakuipenda serikali ya kikoloni. Hivyo resentment yao iliwafanya wao kutaka ku-prove. Wakina Ngugi, Chinua Achebe na wengine tuliowataka huko juu walikuwa na kitu kinachowakeleketa.
 
Kama kuna kitu kinanikera ni kutoa hoja na kuhitimisha vitu bila kuwa na ushahidi. Nitakutumia rejea ya mada za uchambuzi alizoandika Zitto kwa ajili ya umma. Matatizo yenu watu mliokimbia Tanzania mnadhani mnaijua Tanzania na Watanzania wazalendo tuliobaki nchini kuliko tunavyojijua wenyewe.

Zitto atakuwa anachambua rushwa lakini hana theory yoyote ya kumweka katika kundi la wanafalsafa. Kama Zitto unanisikia samahani bwana.

Dogo unachoshindwa kuhusu guts na falsafa. Na kama ni guts za kuandika mambo ya siasa hata Makamba ametoa kitabu cha rushwa lakini Makamba sio Mwanafalsafa.
 
Utawaonea wapi wanaoandika kwa ajili ya mapenzi wakati hauko pamoja nasi huku Tanzania? Hata huyo Obama si umemuona kwa sababu uko naye huko na/au kwa sababu amekuwa mtu maarufu duniani. Nasisitiza tena tusihitimishe vitu bila kuwa na ushahidi wa kutosha. Kama ushahidi wako ni kutoona basi tuambie hukuona wapi na lini maana inawezekana ulifika kijijini kwenu huko Ruvuma alafu hukuona kumbe ukienda kijijini kwetu utakuta watanzania waliojisomesha wenyewe kwa moyo na wanaoandika kwa mapenzi ya dhati. Hivi na hawa wote wanaoandika 'marshal plans' na 'policy alternatives' humu JF nao wanaandika kwa sababu ya kupata kazi au/na kwa ajili ya shule?

Dogo:

Bado u-specialist wa kuboronga ujaacha. Watu hawaandiki vitabu kwa sababu Enlightenment bado haijawa deep rooted katika jamii yetu. Watu wanasoma kwa sababu soko la kazi linasema hivyo. Na kama kuchunga mbuzi kukiwa kunalipa zaidi wanafunzi wa tanzania wataacha kusoma na kwenda kuchunga mbuzi.

Afu wewe sio Ayub Ryoba na mada yako ya Ujamaa uliwatoa tongotongo na kuwasomesha bure.

Elimu inatolewa hila watu watumie akili na vipaji vyao na sio kushukuru serikali.
 
Wakuu,

Ukimbizi wa Uhuru kwenda kubeba maboksi umenifanya nikose uhondo na hata kushiriki kuchangia mada.

Sasa Kihiyo kama mimi, natoaga maoni yangu kwa uchambuzi, hivyo nyie wataalamu wa Nadharia za Mchezo au Rafiki hata wewe kenda ongeza mosi msije nikaba koo eti namnukuu nani!

Natamani ningekuwa ngwini kama nyie, lakini wote ni mwendo mdundo kujenga Taifa.

Cha kufurahisha sana katika mada hii, ni ule ufinyu wa hasira za wale waliokuja kule kwenye mada niliyoanzisha kuhusu falsafa za Nyerere Ujamaa na Azimio.

Companero, I wish you could have posted some of the materials posted here kule ambako tuliishia kung'ang'ana hasa yule Farisayo kuwa Nyerere alikuwa katili bin F i r a u n i bin Ibilisi! Hata Kungwi alipokuja na kutoa msimamo tofauti, bado Farisayo na wafuasi wake hawakusikia neno.

La kufurahisha ni kuwa ukienda Amazon.Com kutafuta vitabu vya Nyerere au machapisho yake,Amazon inasema kuna machapisho na vitabu 111! Veil veli interesting!

Rev:

Kabla ya kuvunjika kwa ukuta wa Berlin, intellectuals wengi wa masuala ya jamii katika nchi za magharibi walikuwa ni watu wenye kufuata siasa za mkondo wa kushoto.

Vyuo vikubwa vya US, Canada, UK na nchi zingine zilizoendelea zilikuwa zimejaza maprofessor wenye siasa hizo. Hivyo basi hata vitabu vya wakomunisti wa africa kama wakina Nyerere vilitumiwa mashuleni lakini hiyo yote ilikuwa ni connection na networking ya wa-komunisti.

Lakini kwenye maisha halisi vitabu vyenyewe vilikuwa havina mpango wowote hule.
 
Ili muungano udumu kazima rais wa Zanzibar awe yupo yupo tuu kama Hayati Karume (Abedi Amani) na hata mwanaye (Amani Abedi) na ajaye ni mtu kama Khatib au Mwinyi au mwingine yeyote ili mradi asiwe intalectual aweze kupelekwa pelekwa na serikali ya muungano asije akahatarisha muungano.
Kauli ngumu Sana hii...
JokaKuu zitto junior Nguruvi3

Ila Babu kama muasisi wa Umma party alikuwa moja ya sababu ya Wamarekani kulazimisha muungano ili kuiepusha Zanzibar kuwa Cuba ya Africa.
 
Kauli ngumu Sana hii...

Ila Babu kama muasisi wa Umma party alikuwa moja ya sababu ya Wamarekani kulazimisha muungano ili kuiepusha Zanzibar kuwa Cuba ya Africa.
Mkuu Proved , usikumbushie hizi posts za jf ile ya 2008, wengine saa hizi ni makada watiifu wa chama, sasa ukifukua tuliwahi kusema nini kule nyuma, unaweza kutuponza tuitwe wahaini!.
P
 
Mkuu Proved , usikumbushie hizi posts za jf ile ya 2008, wengine saa hizi ni makada watiifu wa chama, sasa ukifukua tuliwahi kusema nini kule nyuma, unaweza kutuponza tuitwe wahaini!.
P
Mayala shida kubwa inayokusumbua ni Njaa...JPM aliligundua hilo mapema.

#MaendeleoHayanaChama
 
Thats very true sijawahi kuona hata kitabu kimoja kilichoandikwa na Kambona. Lakini Babu bwana tembelea duka lolote lile la vitabu watakwambia kama hakijaisha basi watakutolea order

Inatia kinyaa kuona nchi ambayo zamani tulikuwa tunatoa magwiji left and right tumebakiwa na ZERO!

Hebu soma hii article sijui iliandikwa lini from Time magazine

Tangibar - TIME
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom