Adamjuma94
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,292
- 4,752
kwanini boss usiniungie mimi, au huyo sista wako hapendi wakulima.brother uwe shemeji yangu tafadhali " nina dada anayekufaa bado mbichi umri miaka22" menopause anaisikia tu nadhani hata hajui maana yake ndio nini " hata ukimwambia menopause ni jiji lipo china atakuelewa "... umri wake bado mdogo so hana time yakuwaza mambo yakujipa pressure kama hayo
Saraphina demu wangu namumiliki kihalari umuri 31 yrs
Dongo langu nimelipokea Mtani. 😀Huu uzi wa kuumbuana.maana wengine hata kijiko kumiliki ni mtihani[emoji124][emoji124][emoji124]
Aisee, unamiliki mke. Hivi mke nae ni miongoni mwa mali?
Kwani wewe mwenzetu unamiliki nini?Kumbe Jeiefu wengi ni bongo lala...yaani mtu anamiliki liabilities kibao eti naye anakuja kujitapa humu?
Wanao miliki assets ni wachache sana wallahi
[emoji23][emoji23][emoji23]Flat skirini ya mwilini...[emoji17][emoji17]
Nakuchangia tofali 500 uanze kupandisha kuta 2020Namiliki Msingi wa nyumba niliouanza 2015..
Natumaini mshaoanaHutaki mke nipo hapa[emoji12] [emoji12] [emoji12]
😀Nina 30, namiliki nyumba mbili moja ipo kibaha kwa mathias, nyingne ipo morogoro nane nane, nina gari nne (ranger nyeusi, harrier, noah , na spacio), sina mke, sina mtoto, sasa hvi najenga ghorofa moja kimara, nina mashamba ekari 22, nina biashara yangu kubwa tu ambayo inasogeza siku, ni machine za kusaga za kukoboa, nina viwanja viwili. Katika elimu nina degree moja, na sasa hv ninatarajia kusoma masters kwaajili ya sifa tu, si unajua sisi wahaya. Ni hayo tu.
Kumbe Jeiefu wengi ni bongo lala...yaani mtu anamiliki liabilities kibao eti naye anakuja kujitapa humu?
Wanao miliki assets ni wachache sana wallahi
hiyo nyumba inaonekana kubwa sana.mzee kwa nini unazaa watoto wengi hivyo?Miaka 58
Mke mmoja watoto wa ndoa 6
Watoto wa pembeni 5 niliwachukuaga ninao home - jumla ya watoto 11
Nina kiwanja...tofali zipo site mwaka wa pili sasa ila kupandisha mambo yamegoma
Nimepanga nyumba nzima...Tandare kwa Mtogole
Sijawahi kumiliki gari...ila nina pikipiki wa ajili ya safari zangu na familia
Nina kibarua Tshs 540,000 kwa mwezi
Watoto 3 wasichana wamezalia home....wapo
Watoto wengine 3 wa kiume, mmoja Dj kwenye bar, Mwingine bodaboda na mwingine yupo home tu hata sijui shughuli zake
Shemeji zangu wawili kaka za wife nipo nao, mmoja dereva wa daladala, mwingine bajaji wana wake zao..wote tunao home
Wadogo wa wife wasichana wamemaliza la saba mwaka jana, ninao home pia - mmoja anajifunza cherehani na mwingine anafanya kazi ya kibanda cha Tigo / Mpesa -
Nina wadogo zangu wawili wa mwisho, wote wanasoma VETA changombe - ufundi magari.
Watoto wengine bado wapo shule......kayumba sina uwezo wa kuwapeleka FM Academia.
Kila ikifika jioni tunakutana wote - tunafanya donee ili tuweze kuwa ha hela ya kuhemea siku inayofuata, kulipa umeme na maji.
Cha moto nakipata !!! na Corona hii kukaa home kichwa kinaumaa!!
Namili pumambu mkuu ndio namilikiHuu uzi wa kuumbuana.maana wengine hata kijiko kumiliki ni mtihani[emoji124][emoji124][emoji124]