hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,604
- 73,981
hahaa .. mimi hata hivyo SinaVIUNGO VYANGU VYA SIRINI🙄🙄🙄🙄
hahaa .. mimi hata hivyo SinaVIUNGO VYANGU VYA SIRINI🙄🙄🙄🙄
hahaaMimi nina miaka 23
Sijaoa, sina watoto, kwa sahv namiliki simu, na mawazo ya milioni kichwani
hahaha eti kwaajili ya sifa daah " jf bwanaNina 30, namiliki nyumba mbili moja ipo kibaha kwa mathias, nyingne ipo morogoro nane nane, nina gari nne (ranger nyeusi, harrier, noah , na spacio), sina mke, sina mtoto, sasa hvi najenga ghorofa moja kimara, nina mashamba ekari 22, nina biashara yangu kubwa tu ambayo inasogeza siku, ni machine za kusaga za kukoboa, nina viwanja viwili. Katika elimu nina degree moja, na sasa hv ninatarajia kusoma masters kwaajili ya sifa tu, si unajua sisi wahaya. Ni hayo tu.
hahaaBado miaka 8 ulambe mafao ya hiari
hahahaHutaki mke nipo hapa![]()
![]()
![]()
brother uwe shemeji yangu tafadhali " nina dada anayekufaa bado mbichi umri miaka22" menopause anaisikia tu nadhani hata hajui maana yake ndio nini " hata ukimwambia menopause ni jiji lipo china atakuelewa "... umri wake bado mdogo so hana time yakuwaza mambo yakujipa pressure kama hayoNina 30, namiliki nyumba mbili moja ipo kibaha kwa mathias, nyingne ipo morogoro nane nane, nina gari nne (ranger nyeusi, harrier, noah , na spacio), sina mke, sina mtoto, sasa hvi najenga ghorofa moja kimara, nina mashamba ekari 22, nina biashara yangu kubwa tu ambayo inasogeza siku, ni machine za kusaga za kukoboa, nina viwanja viwili. Katika elimu nina degree moja, na sasa hv ninatarajia kusoma masters kwaajili ya sifa tu, si unajua sisi wahaya. Ni hayo tu.
Vijana by the age of 30, kuchuma mali nyingi inawezekana na kihalali kabisa, kuna makala namalizia kuandika najua itawaunua wengi muno, humu jf approximately 6 to 7 people watafanikiwa sana, nitatoa vionjo vya siri ya kupata pesa hata haitaji formula nyingi na ngumu ni akili ndogo sana... ingawa nitaileta kwa ID nyingine kabisa
Duh!! Hongera sana, una property nimeiona hapo inaitwa mke, huenda hata wenye amali wasiwe nayo na ma range yao
hahhahahaaProperty au shida tupu
hahaah, cheka uongeze siku za kula ubwabwa hapa duniani
Usichanganyikiwe, huo ni utamaduni tu.
Miminimkulimaakackekasana naona umekuja na ID nyingineNINA MILIKI NAFASI KWENYE MOYO WAKE
Kila lA kheri mkuu