Unamiliki nini katika Umri huu?

Unamiliki nini katika Umri huu?

Mimi mwamume umri 35,Namiliki wake wawili watoto wanne,vitanda 5 na godoro zake Sina nyumba sina gari sina kiwanja,sina kazi,sina pesa Natunzwa tu na wake zangu.Kwa sasa hivi natafuta mke wa tatu awe na miaka 30 anayejiweza.
Dah, wee jamaa ni nomal!
 
magroup 8 ya whatsapp mademu sita na 'sabufa' godoro moja nimenunuliwa na shemeji
 
miaka 24 ,, na miliki roho yangu, bolo langu mwili wangu,, nguo : suruali 2, mashati 4, boxer 1 (kauka nikuvae ), soksi pair 2, simu tecno spark k7 basi na kukaa kwa ndugu hapa dsm .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom