Unamfukuzaje mbu?

ivi mbu ndo anafananaje?...au ni jamii ya kangaroo...aaaarrggh nachanganya sasa...yuko kama ngiri....no way!...mbu hawez kuwa ivo....nadhani anataka kufanana na nungunungu...aaaahhh nimeshindwa bana hata simkumbuki tena.!...but i guess ukimsogelea karibu mbu ni kama kambale!...um tired...simjui mbu.
 
kuna mwenzio aliendaga huko ulaya miaka ya nyuma
aliporudi alijifanya hawezi tena hata kumsalimia mama yake kwa
luga ya nyumba,
hata chakula cha home hakijui tena

au ulikuwa ni wewe mkuu.

ivi mbu ndo anafananaje?...au ni jamii ya kangaroo...aaaarrggh nachanganya sasa...yuko kama ngiri....no way!...mbu hawez kuwa ivo....nadhani anataka kufanana na nungunungu...aaaahhh nimeshindwa bana hata simkumbuki tena.!...but i guess ukimsogelea karibu mbu ni kama kambale!...um tired...simjui mbu.
 
Ukisikia mbu anakutembelea, utamfukuza kwa njia gani?
1. Kumbamiza kibao
2. Kwa kummaliza kwa makofi
3. Kwa kumbembeleza na kitambaa au
4. Kwa kumpa ofa feki ya damu ukisikia anakung'ata unambana kwenye ngozi na kumsaga kwa vidole

Wewe njia yako ni ipi?

Hawana shamba wale, miili yetu ndio riziki yao.
Nawacha 'nature' ifanye kazi yake...
 
Kwanza muite Mbu aje hapa tumuulize kwamba anapenda kufukuzwa ama kukaribishwa? Mie siwezi kumuua mbu! lol sana sana ntampulizia manukato ya Rungu au Baygon, akajilalie kwa raha zake
 
ivi mbu ndo anafananaje?...au ni jamii ya kangaroo...aaaarrggh nachanganya sasa...yuko kama ngiri....no way!...mbu hawez kuwa ivo....nadhani anataka kufanana na nungunungu...aaaahhh nimeshindwa bana hata simkumbuki tena.!...but i guess ukimsogelea karibu mbu ni kama kambale!...um tired...simjui mbu.

Ha ha ha una matatizo wewe ha ha ha! Hujawahi kung'atwa na mbu maishani mwako? Au upo majuu kwa wenye ngozi nyeupe?
 
heheeh mbona klorokwini zimewekwa mwisho? itafika zamu yangu lakini? hako kababu kagumu kweli kutoa pasi.

Tatizo la klorolwin mnawafanya watu wawashwe sana tangu asubuhi hadi asubuhi! Ndo maana imewekwa mwishoni kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom