unamfahamu yeyote ambaye ni jf member?

unamfahamu yeyote ambaye ni jf member?

Status
Not open for further replies.
Halafu members wengi wanaofahamiana ni wa jukwa la MMU na MAMBO YA WAKUBWA

hapo kwenye blue slogan ya "JF is beyond keyboards" ndipo inapoapply......hapo red ninaweza kukubali na kukataa vilevile......
 
hapo kwenye blue slogan ya "JF is beyond keyboards" ndipo inapoapply......hapo red ninaweza kukubali na kukataa vilevile......
jukwaa la wakubwa labda watu wanaogopana.
 
hapana....watu hawaogopani kule....ha ha ha.....kule vitendo zaidi ya maneno....
tatizo ukipost sana watu watakuchukulia unapenda sana makubwa.
 
ah.... maranyingi nikienda group ya
jf - Facebook .... zile post za kule zinafanana na baadhi ya avatars za humu.
kuna baadhi profile photos zao ndio avatars...
 
ah.... maranyingi nikienda group ya
jf - Facebook .... zile post za kule zinafanana na baadhi ya avatars za humu.
kuna baadhi profile photos zao ndio avatars...
aisee,ngoja nijaribu huko fb kucheki hiyo group!nina miaka kadhaa nje ya fb
 
Aseee!
Duh!
Is that a compliment? Hahaha,take it easy fabinyo! Maisha yenyewe yako wapi, achana na kujuana na watu wasiokupa ugali. Kujuana humu,kucheka na kushauriana ndo mpango kamili!lol
 
member kibao nawafahamu huku... Wenyewe hawajui kuwa nawafahamu... Ngoja nirudi nitawafichua wooote.
 
Nimekuwa nasoma threads mbalimbali za members hapa jf,jinsi watu tunavyojadili huwa naona kuna wengine wanafahamiana physically!hii imenisukuma kuuliza hilo,mimi binafsi simfahamu yeyote hata kama tukikutana kwa sababu wengi humu tunatumia majina fekiiiiii!nakufahamu wewe tu hapa mtandaoni,je wewe unamfahamu nani na nani?

Mi nawafahamu watatu, mmoja kati yao ndiye aliyenihamasisha kujoin JF kwa kujifanya anajua kila kitu kumbe anasoma humu. Juzi nilimwona mtu kavaa sawasawa na FaizaFoxy mitaa ya Shekilango, nikashtukia nataka kumwita. Nahisi ni FF.
 
simfahamu yeyote, lakini napenda sana siku moja nikutane na member wa jf.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom