Nainua sana vijana wenzangu kwenye riziki ila wao hawafanyi kwangu hii imekaaje

Sea Beast

JF-Expert Member
Aug 5, 2022
1,888
4,052
Kwanini mimi nimekuwa mtu wa kufanyia watu wema ila mimi sijawahi kufanyiwa wema hadi sasa, richa ya kuwa sijawahi kuwa na kazi ya maana lakini hadi sasa nimesaidia watu wanafika watano kuwapa connection sehemu mbalimbali za kazi hasa nilipokuwa nafanya kazi watatu rafiki zangu ninao wajua na wawili ni watu tu kitoka mtandaoni hapa JamiiForums nimeona wakilalama wanatafuta kazi yoyote nikawap connection na kupata kazi.

Hawa woote hakuna aliyeniomba kwamba nipe connection bali nimewapa connection bila kuombwa, mimi ikitokea sehemu napofanya kazi kukahitajika mfanyakazi basi cha kwanza niaangalia majina kwenye Phone Book yangu au nitaangalia Jukwaa la Ajira JF nani muhitaji hasa.

Mpaka sasa richa ya kuwa na moyo huu nature hainilipi malipo nayostahiri kabisa hakuna rafiki yangu yeyote aliyewai siku nipigie tu kuniambia kuna connection hii wala mtu wa online tu aliyewai nipa connection sehemu kama navyofanya connection napambana mwenyewe fro scratch, nature hainilipi kuwa na moyo woote wakuinua wenzangu kwenye riziki bado Karma inifanyie wepesi kuinua wenzangu nami niinuke japo kwenye kazi nazofanya ila wapi, hakuna malipo in both way.

Au ndio malipo siku ya mwisho
 
Katika maisha hata ukakesha unasali au unaomba Ila ukiwa hauna Good conscience , hautopata matokeo yoyote chanya.

Dhamira yako ya ndani ndo itakuletea matokeo Kwa njia tofauti na sio kusubiri kuwa nampa MTU kitu ili na Mimi nipewe I promise you nothing will happen.

Nature au universe inafanya kazi na WATU wenye good conscience ,.
 
Kwanini mimi nimekuwa mtu wa kufanyia watu wema ila mimi sijawahi kufanyiwa wema hadi sasa, richa ya kuwa sijawahi kuwa na kazi ya maana lakini hadi sasa nimesaidia watu wanafika watano kuwapa connection sehemu mbalimbali za kazi hasa nilipokuwa nafanya kazi watatu rafiki zangu ninao wajua na wawili ni watu tu kitoka mtandaoni hapa JamiiForums nimeona wakilalama wanatafuta kazi yoyote nikawap connection na kupata kazi.

Hawa woote hakuna aliyeniomba kwamba nipe connection bali nimewapa connection bila kuombwa, mimi ikitokea sehemu napofanya kazi kukahitajika mfanyakazi basi cha kwanza niaangalia majina kwenye Phone Book yangu au nitaangalia Jukwaa la Ajira JF nani muhitaji hasa.

Mpaka sasa richa ya kuwa na moyo huu nature hainilipi malipo nayostahiri kabisa hakuna rafiki yangu yeyote aliyewai siku nipigie tu kuniambia kuna connection hii wala mtu wa online tu aliyewai nipa connection sehemu kama navyofanya connection napambana mwenyewe fro scratch, nature hainilipi kuwa na moyo woote wakuinua wenzangu kwenye riziki bado Karma inifanyie wepesi kuinua wenzangu nami niinuke japo kwenye kazi nazofanya ila wapi, hakuna malipo in both way.

Au ndio malipo siku ya mwisho
Pambana na hali yako.

Acha kulia lia mtoto wa kiume, utauponza shauri yako.
 
Sema nini, Ngoja niwe Mkweli..

Nilimkonect Dogo flani aliyekua choka mbaya Kazi flani,
Dogo asaivi anamawe balaa, kuachana na Salary, kila Siku anaondoka na SI CHINI ya 100k, kwa ufupi anaiba, na inakua ngumu kujua maana Ni kampuni kubwaaaaa, na kwa sasa ndio yupo pale Juu....

Achilia mbali kua hana kitu ananipa na hata ukiomumba hatoi, hio sio hoja kabisa, Maana sio mapatano, Yey matumizi yake ya Pesa ni kwenye watu/ya sifa..

Hizo sio sbb, Ila tuu mimi kama Binadamu Karoho kananiuma anavyoogelea zile pesa nakati mimi ndio nilitafutwa, nikawaambia ngoja kwanza niwataftie mtu..

Sitaki nipate dhambi mbili,
Yaani nimuonee mtu Wivu halafu Niwe mnafki Nidanganye eti kweli nafurahia mafanikio yake???
Aaaa Nooo way, hata kama ni karoho ka kichawi, ila si nimeepuka unafki na uongo🤣🤣, natamani afukuzwe
Uchawi upo.
 
Dunia Ndio ilivyo bora kuwa mkatili tu
 
Sema nini, Ngoja niwe Mkweli..

Nilimkonect Dogo flani aliyekua choka mbaya Kazi flani,
Dogo asaivi anamawe balaa, kwa ufupi kuachana na Salary, kila Siku anaondoka na SI CHINI ya 100k, kwa ufupi anaiba, na inakua ngumu kujua maana Ni kampuni kubwaaaaa, na kwa sasa ndio yupo pale Juu....
Achilia mbali kua hana kitu ananipa na hata ukiomumba hatoi, hio sio hoja kabisa, Maana sio mapatano, Yey matumizi yake ya Pesa ni kwenye watu/ya sifa..

Ila tuu mimi kama Binadamu Karoho kananiuma anavyoogelea zile pesa nakati mimi ndio nilitafutwa, nikawaambia ngoja kwanza niwataftie mtu..

Sitaki nipate dhambi mbili,
Yaani nimuonee mtu Wivu halafu Niwe mnafki Nidanganye eti kweli nafurahia mafanikio yake???
Aaaa Nooo way, hata kama ni karoho ka kichawi, ila si nimeepuka unafki na uongo🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
 
Sema nini, Ngoja niwe Mkweli..

Nilimkonect Dogo flani aliyekua choka mbaya Kazi flani,
Dogo asaivi anamawe balaa, kuachana na Salary, kila Siku anaondoka na SI CHINI ya 100k, kwa ufupi anaiba, na inakua ngumu kujua maana Ni kampuni kubwaaaaa, na kwa sasa ndio yupo pale Juu....

Achilia mbali kua hana kitu ananipa na hata ukiomumba hatoi, hio sio hoja kabisa, Maana sio mapatano, Yey matumizi yake ya Pesa ni kwenye watu/ya sifa..

Hizo sio sbb, Ila tuu mimi kama Binadamu Karoho kananiuma anavyoogelea zile pesa nakati mimi ndio nilitafutwa, nikawaambia ngoja kwanza niwataftie mtu..

Sitaki nipate dhambi mbili,
Yaani nimuonee mtu Wivu halafu Niwe mnafki Nidanganye eti kweli nafurahia mafanikio yake???
Aaaa Nooo way, hata kama ni karoho ka kichawi, ila si nimeepuka unafki na uongo🤣🤣, natamani afukuzwe
Uchawi upo.
Dah qmmke!
Acha hizo mkuu kila mtu na bahati yake..!
 
Kwanini mimi nimekuwa mtu wa kufanyia watu wema ila mimi sijawahi kufanyiwa wema hadi sasa, richa ya kuwa sijawahi kuwa na kazi ya maana lakini hadi sasa nimesaidia watu wanafika watano kuwapa connection sehemu mbalimbali za kazi hasa nilipokuwa nafanya kazi watatu rafiki zangu ninao wajua na wawili ni watu tu kitoka mtandaoni hapa JamiiForums nimeona wakilalama wanatafuta kazi yoyote nikawap connection na kupata kazi.

Hawa woote hakuna aliyeniomba kwamba nipe connection bali nimewapa connection bila kuombwa, mimi ikitokea sehemu napofanya kazi kukahitajika mfanyakazi basi cha kwanza niaangalia majina kwenye Phone Book yangu au nitaangalia Jukwaa la Ajira JF nani muhitaji hasa.

Mpaka sasa richa ya kuwa na moyo huu nature hainilipi malipo nayostahiri kabisa hakuna rafiki yangu yeyote aliyewai siku nipigie tu kuniambia kuna connection hii wala mtu wa online tu aliyewai nipa connection sehemu kama navyofanya connection napambana mwenyewe fro scratch, nature hainilipi kuwa na moyo woote wakuinua wenzangu kwenye riziki bado Karma inifanyie wepesi kuinua wenzangu nami niinuke japo kwenye kazi nazofanya ila wapi, hakuna malipo in both way.

Au ndio malipo siku ya mwisho
Mungu ni mwema sana mkuu,hii insfanana ya gu,Mimi nilimefanya kama wewe,Kuna siku Sina hili Wala like kuna jamaa nilimsaidia alinifut machozi mkuu, endelea na moyo huo hutopungukiwa!Amini Ninachokwambia.
 
Sema nini, Ngoja niwe Mkweli..

Nilimkonect Dogo flani aliyekua choka mbaya Kazi flani,
Dogo asaivi anamawe balaa, kuachana na Salary, kila Siku anaondoka na SI CHINI ya 100k, kwa ufupi anaiba, na inakua ngumu kujua maana Ni kampuni kubwaaaaa, na kwa sasa ndio yupo pale Juu....

Achilia mbali kua hana kitu ananipa na hata ukiomumba hatoi, hio sio hoja kabisa, Maana sio mapatano, Yey matumizi yake ya Pesa ni kwenye watu/ya sifa..

Hizo sio sbb, Ila tuu mimi kama Binadamu Karoho kananiuma anavyoogelea zile pesa nakati mimi ndio nilitafutwa, nikawaambia ngoja kwanza niwataftie mtu..

Sitaki nipate dhambi mbili,
Yaani nimuonee mtu Wivu halafu Niwe mnafki Nidanganye eti kweli nafurahia mafanikio yake???
Aaaa Nooo way, hata kama ni karoho ka kichawi, ila si nimeepuka unafki na uongo🤣🤣, natamani afukuzwe
Uchawi upo.
Mkuu we kausha malipo yako yapo sehemu yanakusubiri cha msingi we usiache roho ya kusaidia period
 
Back
Top Bottom