Unamfahamu Sukubasi (Succubus/Succubi)?

Unamfahamu Sukubasi (Succubus/Succubi)?

Lilith yupo na tunaishi naye ndio maana hawapendi mpenzi jini atajwetajwe... Hivi unadhani wale wanaume wanaooa majini wanaoa nani? Si Sukubasi hao?!
Lilith ana majina 17 lakini majina yanayozua mjadala ni mawili
1. Odam! Wachambuzi wanasema aliitwa hivyo kwasababu mumewe alikuwa Adam
2. The remaining (aliyebakishwa!) Mmh...! Kwanini abakishwe... Opoeni tu warembo vigoli wakali, wapendeni sana ila kuna siri kubwa nyuma yake...
Tunaposema wanawake warembo hawaolewi na wengi huwa Malaya pengine tafsiri yake ni hii hapa... Ni Sukubasi hawa...! [emoji87][emoji87][emoji85][emoji23][emoji124]

Jr[emoji769]
Huwa naelewa sana Post zako Kiongozi Mshana Jr , binafasi ningependa pata nondo zaindi haswa vitabu unavyosoma kupata stori za masukubasi
 
Halafu bro hii ni idd, tupo na majibapa na nyama choma, huyo demu jini akijichanganya tunamwambia hakunaga kutafakari .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom