Unamfahamu Sukubasi (Succubus/Succubi)?

Unamfahamu Sukubasi (Succubus/Succubi)?

Kwa mtazamo wangu tena usiobadilika au kubadilishwa na yeyote siku zote naamini na kuelewa kuwa hakuna jambo linafanyika au linafanywa au linatokea bahati mbaya humu duniani. Kila jambo liko planned litokee km linavyotokea aidha kwa kujua au kutokujua. Na km ni bahati mbaya basi hiyo bahati mbaya ilipangwa pia makusudi iwe hivyo.malengo.Miaka ya nyuma kulikuwa hakuna hii aina ya mapenzi lkn sasaivi imeshika kasi so siyo bahati mbaya ni mpango mahususi.kuna nguvu nyingi zisizoonekana ambazo zinatudrive ktk utendaji wetu bila kujua japo mtu unaona uko sawa.
 
Sukubasi ni shetani juke ambalo hutokea kwa njia ya ndoto na huwa na umbo la kuvutia sana la mwanamke mrembo kijana ili aweze kutongoza wanaume nakufanya nao ngono....! Lakini kiuhalisia ukiachana na sura na shape ya kuvutia viunge vyake vingine vina utofauti na viungo vya kawaida vya mwanamke mrembo... Mfano ana...
. Kucha zake zimechongoka mfano wa kucha za ndege
. kichwani licha ya nywele zake ndefu lakini ana pembe za kishetani
. Nyuma juu ya makalioni pale mfereji wa matako unapoanzia ana mkia wa joka...
Neno hili Sukubasi linatokana na kilatini cha karibuni SUCCUBAE.. "Malaya" (kutoka succubare.. 'Kulala chini ya...) Kwa mara ya kwanza neno hili lilithibitishwa mwaka1387.....
Kulingana na mafundisho ya Zohar, Lilith alikuwa mke wa kwanza wa Adam, ambaye baadae alikuja kuwa Malaya (Sukubasi)
Alimwacha Adam na akakataa kurudi bustani ya Eden baada ya kujamiiana na malaika mkuu SAMAEL.... Inasemekana tendo hilo la kumwingilia Sukubasi linafanana na Kuingia pango la barafu... Pia simulizi zinasema kuwa Sukubasi alikuja kuongeza Sukubasi wengine ambao kazi yao kubwa ni kuwalazimisha wanaume wanyonye /warambe nyuchi zao(kuzama chumvini) zinazotiririsha haja ndogo na ugiligili mwingine wa kuchukiza....
Sukubasi wapendwa kunyonywa na kurambwa nyuchi zao imekuwa ni utamaduni maarufu sasa duniani kwa juhudi za Morrigan na Lilith Aensland kutoka wanyapaji wa giza ambao pia ni wasukubasi....

Je umeelewa nini hapa?
Lilith kwa jina la Sukubasi (Malaya) yupo na kizazi chake hakijawahi kufa bali kimeongezeka mara dufu....
Dalili za Sukubasi ni zipi?
Ndoto nyevu na mwanamke mrembo
Mwanamke mrembo mwenye kupenda mikucha mirefu iliyochongwa...
Wanachura na wanapenda sana staili za ajabu wa nywele
Wananogewa na wanapenda sana kunyonywa nyuchi zao mpaka zitoe ugiligili..
Ndugu zangu wa BK na katerero sijui mnasemaje hapa... Maana si kwa ugiligili ule wenye kemikali kali......

Jr
Mbona sifa zote za demiss a.k.a mama kalimanzila@ mshana Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtazamo wangu tena usiobadilika au kubadilishwa na yeyote siku zote naamini na kuelewa kuwa hakuna jambo linafanyika au linafanywa au linatokea bahati mbaya humu duniani. Kila jambo liko planned litokee km linavyotokea aidha kwa kujua au kutokujua. Na km ni bahati mbaya basi hiyo bahati mbaya ilipangwa pia makusudi iwe hivyo.malengo.Miaka ya nyuma kulikuwa hakuna hii aina ya mapenzi lkn sasaivi imeshika kasi so siyo bahati mbaya ni mpango mahususi.kuna nguvu nyingi zisizoonekana ambazo zinatudrive ktk utendaji wetu bila kujua japo mtu unaona uko sawa.
Yeah uko sahihi sana ni kama siku hizi watu kupenda sumaku eti kutafuta ladha... Yani naiona kabisa Sodoma hii hapa inarudi

Jr
 
Back
Top Bottom