KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Wadau wa jukwaa hili naomba niwaombe radhi kwa wale waliotegemea uwepo wangu kule tanga, ila kila binadamu akipanga na mungu naye anapanga hivyo naomba mniwie radhi kwa hilo,najua kama bado tuna mengi ya kufanya!Mimi nina mengi ya kuongea ila nimeshukuru kukutana na watu ambao sikutegemea nashukuru kukutana na hao pili napenda kushukuru uongozi wa JF hasa kwakipindi mimi nilikuwa katika kipindi kigumu!Nawashukuru JF,na zaidi sitaweza kuwataja kwakila mmoja ila kwa ujumla nawapongeza wana Chit chat wote,MMU wote na wanasiasa wote nawaomba kuwatakia mwaka mpya wenye mafanikiao mema na zidi na wapenda wote.