Unalala na ch.upi kwani mimi ndugu yako ?

mi sihusiki hapa, bado nipo nipo. wacha nipite nasubiria jua lizame nikahamshe popo.
 
Mwaka huu naona umeamua kuja kivingine kabisa
ahsante kwa ushauri

tuacheni maskhara kabisa jamani, mkiwa kama wanandoa au wapenzi mnaoishi pamoja chupi ya nini kitandani??? Kwani unataka kuninyima nini?

Achia mamboz yawe free to air nikijisikia napanda ukijisikia unapanda, sio mzuka umepanda halafu tunaanza kuambiana vua basi, haipendezi hatuna undugu sisi ni wapenzi

sanasana vaa kinite dress chako chepessss baas, nami ntavaa kibukta changu angavu vikipendana tusipate shida ya kuvikutanisha

ukilala nayo ntaichana
 
hahahaha huo nao ni ukatili? Kwanza mwanamke unalala na kyupi ili iweje? Unainyima uhuru kei yako isipumue vizuri na kuongeza madini mengine kwa ajili ya kuifanya iendelee kuwa tamu zaidi ya asali
toka huko mwone kwanza mbaya kama nini
 
Tuacheni maskhara kabisa Jamani, mkiwa kama wanandoa au wapenzi mnaoishi pamoja chupi ya nini kitandani??? Kwani unataka kuninyima nini?

Achia mamboz yawe free to air nikijisikia napanda ukijisikia unapanda, sio mzuka umepanda halafu tunaanza kuambiana VUA BASI, haipendezi hatuna undugu sisi ni wapenzi

Sanasana vaa kinite dress chako chepessss baas, nami ntavaa kibukta changu angavu vikipendana tusipate shida ya kuvikutanisha

Ukilala nayo ntaichana

kama ningekuwa na tarakilishi mpakato yangu hapa ni lazima ningelike hii sredi cuz imenifurahisha sana.
 
Du hakuna maandalizi unapanda tu. Kuvua chu*i napo panautamu wake Na kuongeza mahanjam
 
Kum-undress mtoto wa kike kuna raha yake ujue raha ya kahawa ifunikwe ikiwa wazi inapoteza harufu yake mm natamani nimvue nikiikuta wazi naona kaninyima raha.
 
Tuacheni maskhara kabisa Jamani, mkiwa kama wanandoa au wapenzi mnaoishi pamoja chupi ya nini kitandani??? Kwani unataka kuninyima nini?

Achia mamboz yawe free to air nikijisikia napanda ukijisikia unapanda, sio mzuka umepanda halafu tunaanza kuambiana VUA BASI, haipendezi hatuna undugu sisi ni wapenzi

Sanasana vaa kinite dress chako chepessss baas, nami ntavaa kibukta changu angavu vikipendana tusipate shida ya kuvikutanisha

Ukilala nayo ntaichana

hii ilikua ni post ya j.f au ni meseji ulikua unamtumia mupenzi??? usijekuta umejisahau umetoa kama post kumbe ni meseji ulikua unamwandikia mtu!!!
 
Tuacheni maskhara kabisa Jamani, mkiwa kama wanandoa au wapenzi mnaoishi pamoja chupi ya nini kitandani??? Kwani unataka kuninyima nini?

Achia mamboz yawe free to air nikijisikia napanda ukijisikia unapanda, sio mzuka umepanda halafu tunaanza kuambiana VUA BASI, haipendezi hatuna undugu sisi ni wapenzi

Sanasana vaa kinite dress chako chepessss baas, nami ntavaa kibukta changu angavu vikipendana tusipate shida ya kuvikutanisha

Ukilala nayo ntaichana

Mhh, POPO BAWA bado wapo, atakumalizia!!
 
Back
Top Bottom