Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Na show anapiga kama kawaida
Aseee break up ya kwanza ilinitesa sana nilikuwa sili wala silali nyumbani nasema naumwa kumbe naumwa mapenzi si unajua ndo mwanaume wa kwanza tena bikra kaitoe yeye tena daaa. ..mumu ulijua kunitesa jamaani hila sa hivi washikaji kweeli kweli
 
Mnaokuwa mnasema kuumizwa unaumizwa mara moja mkatafiti tena hiyo kitu. Nimewahi kuumia mara mbili katika mahusiano na zote niliachwa.
Hii ya kwanza aliniacha baada ya kuingia chuo semister ya pili mwaka wa kwanza na tulipanga akifika mwaka wa pili tuwafikie wazazi watujue rasmi ingawa kwetu karibu wote walikuwa wanamjua.
Huyu wa pili alikuja kuniacha baada ya kuanza kuhusiana na mshikaji niliyekua nae mtaa mmoja. Jamaa was more than a friend, i use to take him as a brother to me ila akaamua alichokiamua na demu niliyependana nae. Niliumia, niliumia sanaa, ilifikia hatua nikampigia simu jamaa nikamuomba aniachie yule dem sababu nilitaka kutulia nae niwe na malengo nae, jamaa nilipokuwa naongea nae akanikatisha akanambia, oya.......................(akaniita jina), akanambia Umelewa, ntakupigia kesho.
Hiko kipindi nakumbuka hom tulikuwa na hali tete ya kiuchumi hatari, nilishawasamehe wote wawili na nina furaha na maisha yangu sana.
pole mkuu imawezekana unapendazima mzima
 
"you are too good for me,i think you deserve better" sisahau hizo sentensi za mwanzo,yaliyofuata baada ya hapo ni maumivu tu.
Ni huyo huyo aliyewahi nambiA anahisi ananipenda kuliko anavyojipenda yeye.Ndo hivi watu wanaamua kuwa players wanaonekana wabaya.
 
Nilimpenda binti mmoja wa kichaga Old Moshi,lkn kilichosababisha tukaachana kipindi cha mahusiano yetu kuna siri alinificha,kwa kifupi alinidanganya baada ya mm kugundua nikaona ni heri tu break up mahusiano sababu yale mahusiano yangeendelea lazima angenidharau....
alikuwa ana mtoto nini???
 
Mnaokuwa mnasema kuumizwa unaumizwa mara moja mkatafiti tena hiyo kitu. Nimewahi kuumia mara mbili katika mahusiano na zote niliachwa.

Hii ya kwanza aliniacha baada ya kuingia chuo semister ya pili mwaka wa kwanza na tulipanga akifika mwaka wa pili tuwafikie wazazi watujue rasmi ingawa kwetu karibu wote walikuwa wanamjua.

Huyu wa pili alikuja kuniacha baada ya kuanza kuhusiana na mshikaji niliyekua nae mtaa mmoja. Jamaa was more than a friend, i use to take him as a brother to me ila akaamua alichokiamua na demu niliyependana nae. Niliumia, niliumia sanaa, ilifikia hatua nikampigia simu jamaa nikamuomba aniachie yule dem sababu nilitaka kutulia nae niwe na malengo nae, jamaa nilipokuwa naongea nae akanikatisha akanambia, oya.......................(akaniita jina), akanambia Umelewa, ntakupigia kesho.

Hiko kipindi nakumbuka hom tulikuwa na hali tete ya kiuchumi hatari, nilishawasamehe wote wawili na nina furaha na maisha yangu sana.
"Oya Baraja umelewa, nitakupigia kesho" Dah! Huyo Mwana sio kabisa
 
"you are too good for me,i think you deserve better" sisahau hizo sentensi za mwanzo,yaliyofuata baada ya hapo ni maumivu tu.
Ni huyo huyo aliyewahi nambiA anahisi ananipenda kuliko anavyojipenda yeye.Ndo hivi watu wanaamua kuwa players wanaonekana wabaya.
I can feel how painful it was for you to accept it
 
Dahh tukadate toka la sita mpaka 4m 4 mm nikiwa shule x na yeye shule y majib kutoka nikapagwa advanc yy akazingua akafanyaga mpango wa kwenda chuo dahh akabadilika sanaaa mm huku hata sielewi nakomaa na pcb yang nakumbuka ilikuwa siku ya pasaka mchana muda wa msosi nikatumiwa msg kuwa nisiwe na mazoea na wasichana wa watu mhh nikaona nipige maana ilikuwa namba ngen akapokea jamaa akanipiga biti kali wakat huo nasikia mwanadada anacheka sana machoz yananilengalenga mwanadada akachukua simu akasema hawez date na watu wanaovaa uniform dahh mbaya zaid wakiwa bado hawaja kata simu nikasikia yule jamaa anamwambia mwanadada anahamu anataka waendelee achen nyie watu acheni kabisa hii ndo ilikuwa siku yangu ya kwanza kunywa konyagi na kuingia club nakula malaya kiukwel iliniharib akili

Aseeh j popote ulipo ww ni mbwa uliniharibia sana mamaeee dahh omba tusikutane miaka 10 imeshapita ila nikikumbuka naumia mamaee

Duuuh ila
 
Binafsi hakuniacha ila mm ndo nilimuacha baada ya kugundua kaliwa na mshikaji aliekafaulu vzur kuliko wte tena alimtongoza siku moja na akamla kabisa

Tena isitoshe mm nilikuwa sijamla bdo kwahy nilimuacha kwa kujikaza tu japo nliumia sana roho

Na tangu hapo nikasema kupenda sana hapan na nmefanikiwa adi leo mademu hawanisumbui man siwapendi bali nawaigizia
 
S
Nilimpenda kweli, ni story ndefu, alikuwa mmanga hawa wa ki-Oman, ndugu zake hawakunitaka na waliloamini ni kwamba ningemuharibia masomo yake na hatimae maisha yake.

Katika harakati za hapa na pale ikatokea safari ya kimasomo kwenda nchi flani hivi, nlifanya yote yaliyowezekana akawemo safarini maana mimi nlikuwa na nafasi tayar, alinishkuru sana for that lakini alikuwa kuungana na kukubaliana na matakwa ya ndugu zake kwamba aachane nami. Kipindi cha rehearsal kilikuwa ndio kipindi cha kutuweka karibu but she always avoided me. I was never happy at school na kila safari ilivyokaribia ndivyo hakunielewa ba kujaribu kuji-distance from me.

Siku ya safari ikafika, ndege yetu saa nne asubuhi mpaka saa mbili hajafika. I started worrying na nkataka kugoma pia, kama haendi nami sitokwenda, fikra zangu ziliniambia ndugu zake wamemzuia. Around saa mbili na nusu alitokea, nlikumbatiana na kaka yake aliemsindikiza na akaninong'oneza kuwa he believes I will protect his sister. I gave him my words that she was in a safe hands.

Mmanga yule hakutaka kuongea nami mpaka tulipofika Amsterdam alipopata matatizo na suitcase yake. She was crying and calling me "my love". I had some courage and strength to do whatever I had to ili vitu vyake vyote tupate kusafiri navyo.

In Norway, she gifted me her ............

We enjoyed our time, and she promised me that she will be mine no matter what.

As we reached Tanzania, out of the flight, she pulled me, hugged me, kissed me and said it was over between us. And it was over.
Sipati picha ya maumivu uliopata katika hii scenario.Dah!
 
Hapa ndo nilithibithisha kuwa mapenzi ni yanauma,
Maumivu nilioyapata sijawahi kuyapata tena na naomba yasijirudie, yaani huumwi sehemu yoyote ya mwili lakini unaona dunia iko juu chini.

Kwa mara ya kwanza nikashindwa kula. Chozi linatoka, lecture hazipandi.

Sikuwa mpenzi wa nyimbo ila nilijikuta nawafahamu kina Bruno Mars, Celine dion, ibra nation, Adele na wengine wengi.

Nilikuwa nikiangalia picha yake au nikiangalia call history nalia. Sema nilikuwa najikaza watu wasinione dhaifu.
Hakika haya mambo yasikie. Kwa ambae hayajamkuta hawezi kuelewa hii hali
Kumbe kuachika kwako kwa mara ya kwanza ni juzi kati tu hadi bruno mars alikuwepo, mimi niliachika nikaanza msikiliza frank humplik na mbaraka mwinshee, breakup ya pili nikaanza msikiliza mc hummer na kriss kross
 
Jamiiforums in members zaidi ya laki 6, na kila member humu ameshekumbana na heartbreak.

Hapa ndo nilithibithisha kuwa mapenzi ni yanauma,
Maumivu nilioyapata sijawahi kuyapata tena na naomba yasijirudie, yaani huumwi sehemu yoyote ya mwili lakini unaona dunia iko juu chini.

Kwa mara ya kwanza nikashindwa kula. Chozi linatoka, lecture hazipandi.

Sikuwa mpenzi wa nyimbo ila nilijikuta nawafahamu kina Bruno Mars, Celine dion, ibra nation, Adele na wengine wengi.

Nilikuwa nikiangalia picha yake au nikiangalia call history nalia. Sema nilikuwa najikaza watu wasinione dhaifu.
Hakika haya mambo yasikie. Kwa ambae hayajamkuta hawezi kuelewa hii hali

Hapa ndo nilithibithisha kuwa mapenzi ni yanauma,
Maumivu nilioyapata sijawahi kuyapata tena na naomba yasijirudie, yaani huumwi sehemu yoyote ya mwili lakini unaona dunia iko juu chini.

Kwa mara ya kwanza nikashindwa kula. Chozi linatoka, lecture hazipandi.

Sikuwa mpenzi wa nyimbo ila nilijikuta nawafahamu kina Bruno Mars, Celine dion, ibra nation, Adele na wengine wengi.

Nilikuwa nikiangalia picha yake au nikiangalia call history nalia. Sema nilikuwa najikaza watu wasinione dhaifu.
Hakika haya mambo yasikie. Kwa ambae hayajamkuta hawezi kuelewa hii hali
Maumivu ya Mapenzi baki kuyasikia tu kwa watu usiombe yakukute.

Nakumbuka kipindi Niko skonga kidato Cha pili nilitokea kufall in love demu fulani piss Kali Sana.
Tulipendana Sana haswa Mimi Nilikuwa nimekufa nikaoza kwa yule binti na kila mtu alikuwa na ufahamu wa mahusiano yetu ya dhati.

FAST FORWARD...Kuna jamaa alikuwaga kidato Cha nne nikaanza pewa za chini ya kapetu na wanangu kwamba jamaa anamtongoza demu wangu.Nilikuwa na ukakasi juu ya Hilo mpaka ilipofika siku Moja nikawastukia( jamaa na demu wangu) wanapetiana katika Kona Moja ya form 4 class,Yaani demu kamfata jamaa darasani kwao.

Baada ya kugundua Hilo niliumia Sana kiukweli,nikamuuliza demu akasema Kweli anadate na jamaa na wanapendana Sana.Maumivu niliyoyapata sio ya sayari hii wakahi.

Moyo uliniuma,akili zimasimama,chakula hakipandi mixer kuwa na mawazo mabaya mabaya.Nilimuomba Mungu akanisaidia maumivu yakapita salama nikawa normal.
 
Eti jamani!
Inauma sana,
Aliniambia ana maongezi muhimu na familia yangu akaniomba niwape taarifa na kuwasisitiza mama na ndugu zangu wawepo siku ya kikao. Nilijitahidi sana kuandaa mazingira mazuri ya kufanyia kikao bila kujua naandaa panga la kunichinjia! Niliachwa mbele ya ndugu zangu.
Sitaisahau siku ile,
Mama watoto popote ulipo Mungu akubariki na akupe umri mrefu na mafanikio wewe na mwanetu, najua ipo siku ukweli utaujua na Mungu atakurudisha mikononi mwangu hata kama itapita miaka 20.
#Evln
 
Okay naitwa Ngareroo natoka pande za hapa Ngarenaro..Aah kwa upande wangu mimi kuna manzi anaitwa Angel nilimfatilia zaidi ya miezi6 hadi ndala zangu zikaisha pia nilitengeneza kibarabara kabisa maana daily nilikua napita pale karibu na kwao,manzi alinikubalia leo alafu kesho akanibamiza et tuachane daah!!ata sijamla yaani,kipindi ananipigia simu akinambia tuachane nilikua nakula nyama lakini ile nyama niliiona kama likiazi tu haina ladha yoyote akati ilikua tamu kinyama.
Yaani nyie mnaachana kwenye simu! Enzi zetu landline wanazo wakishua tu basi yule kima akawabeba shosti zake aje kuniacha ile kufika tu naskia we kaka sikutaki tena, alikula mtama huo hadi mimi niliyempiga nikashangaa binadamu anawezaje kupaa kiasi kile, alitua chini kama furushi kuinuka hawezi wenzie wawili wakatimua mbio akabaki mmoja nikamuuliza " nawewe nikufumue" akajibu hapana nisamehe.
Ila paulina still nakupenda ingawa ni miaka zaidi ya 20 sasa imepita, kalitaka eti kaniabishe kwa mashosti zake
 
Back
Top Bottom