Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Nilipendana na huyo kaka kipindi nakua nilikaa nae miaka miwili, nilikua hata nikikosana nae kidogo mambo mengine hayaendi kiufupi nilimpenda alinipenda pia.
Siku nimekaa nyumbani nilimpigia simu nimjulie hali aliniambia 'Nipo nanyoa nywele saluni nitakupigia' baada ya muda nilisindikizwa na ujumbe ' Naona tuachane naona siwezi tena kuendelea na wewe' Sitaisahau hii siku nilipagawa nililia sana na kila nikiuliza sababu anasema amechoka tu na mahusiano yetu.

Nilijikaza maisha mengine yakaendelea ila cha moto ndio nilikipata hadi shule sikuwa nafanya vizur tena maisha mengine nayo yakawa ovyo tu lakini nashukuru nilikuja nikasahau na maisha mengne yakaendelea. Kuachwa ni mtihani kwa kweli. Wewe kaka popote ulipo ubarikiwe sana ingawa uliniacha lakini ulikua na vitu sijawahi kutana navyo popote pale hadi leo hii.
Alikuwa na mpini wa uhakika
 
Nilimpenda binti mmoja wa kichaga Old Moshi,lkn kilichosababisha tukaachana kipindi cha mahusiano yetu kuna siri alinificha,kwa kifupi alinidanganya baada ya mm kugundua nikaona ni heri tu break up mahusiano sababu yale mahusiano yangeendelea lazima angenidharau....
 
Ulitaka nijikazee ninywe sumu au Wewe umiaa sikitikaa alafu kubali yaisheee.
Umetuangusha sana dingi,ndio maana mwanaume umepewa koromeo,likitokea jambo unalizuia then unatafuta jinsi gan utadeal nalo,lkn ww unaenda mlilia bi mkubwa,i can't imagine!,
 
Wee paka elewa maza alishtukia sipo ok ndo akaanza kuchunguza shida ni nini...!!
Hawaelewi Hao mkuu kila mtu ana namna Yake

Me na ungangari wangu nilishinda chooni usiku mzima halafu hakitoki kitu kulia sikulia Ila Ila kwikwi napaliwa nakohoa Kama sikufa siku zile sifi tena kwa ajili ya Malaya

Huyu malaya popote alipo Mungu atamlipa tu
 
Umetuangusha sana dingi,ndio maana mwanaume umepewa koromeo,likitokea jambo unalizuia then unatafuta jinsi gan utadeal nalo,lkn ww unaenda mlilia bi mkubwa,i can't imagine!,
Endelea kujiongelesha bhasi fwala wewe...!!
 
Hawaelewi Hao mkuu kila mtu ana namna Yake

Me na ungangari wangu nilishinda chooni usiku mzima halafu hakitoki kitu kulia sikulia Ila Ila kwikwi napaliwa nakohoa Kama sikufa siku zile sifi tena kwa ajili ya Malaya

Huyu malaya popote alipo Mungu atamlipa tu
Me form 3 hiyo aisee..!! Ilikuwa noma sana sasa huyu falaa naona ananishikia bango musengee tu..
 
Sory bro
Nilimpenda kweli, ni story ndefu, alikuwa mmanga hawa wa ki-Oman, ndugu zake hawakunitaka na waliloamini ni kwamba ningemuharibia masomo yake na hatimae maisha yake.

Katika harakati za hapa na pale ikatokea safari ya kimasomo kwenda nchi flani hivi, nlifanya yote yaliyowezekana akawemo safarini maana mimi nlikuwa na nafasi tayar, alinishkuru sana for that lakini alikuwa kuungana na kukubaliana na matakwa ya ndugu zake kwamba aachane nami. Kipindi cha rehearsal kilikuwa ndio kipindi cha kutuweka karibu but she always avoided me. I was never happy at school na kila safari ilivyokaribia ndivyo hakunielewa ba kujaribu kuji-distance from me.

Siku ya safari ikafika, ndege yetu saa nne asubuhi mpaka saa mbili hajafika. I started worrying na nkataka kugoma pia, kama haendi nami sitokwenda, fikra zangu ziliniambia ndugu zake wamemzuia. Around saa mbili na nusu alitokea, nlikumbatiana na kaka yake aliemsindikiza na akaninong'oneza kuwa he believes I will protect his sister. I gave him my words that she was in a safe hands.

Mmanga yule hakutaka kuongea nami mpaka tulipofika Amsterdam alipopata matatizo na suitcase yake. She was crying and calling me "my love". I had some courage and strength to do whatever I had to ili vitu vyake vyote tupate kusafiri navyo.

In Norway, she gifted me her ............

We enjoyed our time, and she promised me that she will be mine no matter what.

As we reached Tanzania, out of the flight, she pulled me, hugged me, kissed me and said it was over between us. And it was over.
 
Aseee break up ya kwanza ilinitesa sana nilikuwa sili wala silali nyumbani nasema naumwa kumbe naumwa mapenzi si unajua ndo mwanaume wa kwanza tena bikra kaitoe yeye tena daaa. ..mumu ulijua kunitesa jamaani hila sa hivi washikaji kweeli kweli
 
Niliachwa mwaka 2011 wakati Miranda kusaka maisha huku nyuma jamaa likatumia nafasi ya kutumia simu yake kuwasiliana na mimi likaanza kula mzigo matokeo yake naambiwa sina changu nilichanganyikiwa hadi nikawaza kijiua mara mbili ikabdi nirudi home kumsaka labda tukionana na kutumia rafiki yake nitamrudisha kwenye kidume nikagonga mwamba ili nichukua miezi 6 kukubali matokeo ingawa jamaa lilimzalisha na kumtema kurudi kwangu nami nikaweka ngumu sema FIDE ulinijenga toka kipindi hicho mpaka neno maumivu nschalifuta wanaliaga wao tu
 
Daah uzi umenikumbusha mbali sana. 1st love aliniacha baada ya yeye kuingia form 5, alijitangulia darasa moja. Sikuumia sana at first, badala yake nikapambana sana ili na mimi niende advance pengine angerudisha moyo. Nilihisi pengine anahitaji mtu aliyejitambua.

Siku matokeo ya form 4 yametoka tu na nimefaulu nikamrukia hewani. Looooh asalaleeee, baada ya mazungumzo akanitxt move on dude, mi moyo wangu upo kwa mtu mwingine. Daaah niliumia sana, nikachana kadi, barua na kuchoma moto picha zake zote.

Mwaka huu kati kati nilikuja kuonana baada ya muda mrefu, akanipa stori nyingi kuwa kapitia kutendwa sana hapa katikati and lastly akaja kuomba nimuoe. Impossible, nikamwambia na mimi ni wale wale tu nikishapita sikurudii tena, bora utafute mwingine.

 
Kifupi sijawahi achwa wala kumuacha mtu, distance tu ndio umaliza mahusiano yangu.
Binti mmoja alinipenda sana sana kiukweli, alikua akisafiri kunitembelea kila hapatapo nafasi, haji mikojo mitupu hataniletea t-shirt, tai suruhali na boxer kwa pesa zake, nami nilimpenda sana pia.

Baadae nikahamia mbali zaidi umbali ukazidi ongezeka penzi likaanza fifia baadae likazima kabisa.

Namuombea maisha mazuri yule binti.
 
Kuumiza watu maksud ulikuwa na roho ya kikatili Sana vp sasa bado unayo
Ah nilishaacha zamani aisee...saiv ni mtu safi kabisa...alafu hata siyo roho ya kikatili kwani si maamuzi tu ndy yanayotendeka?,....saiv ni mtu sf kbx.....sina longo longo maumivu yake nayajua vzr sn...afu usinilaumu sbb hujui situation ilikuwa vipi mpk nikawa naacha...mi cpnd mizinguo ata kdg
 
Ah nilishaacha zamani aisee...saiv ni mtu safi kabisa...alafu hata siyo roho ya kikatili kwani si maamuzi tu ndy yanayotendeka?,....saiv ni mtu sf kbx.....sina longo longo maumivu yake nayajua vzr sn...afu usinilaumu sbb hujui situation ilikuwa vipi mpk nikawa naacha...mi cpnd mizinguo ata kdg
Okay sawa bibie
 
Nilipogundua anataka kuniacha nikamuwahi akajifanya bado ananipenda kumbe ananilia timing anifanyie suprise ya kuniacha, siku anataka kukamilisha mpango wake nilimtandika makofi hatosahau maishani

Yaani nikipiga upande huu narudia upande wa pili ndo nahesabu kofi moja.


Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom