Yani mimi Yani mimi nilikuwa maarufu ktk kuumiza watu, kiasi kwmba kumwambia mtu tuachane ni kitu chepesi sana tena sana, nilikuwa sijali machoz ya watu lkn siku nilipoachwa mimi, apo ndipo mafikirio ya watu wa nyuma yaliponijia, eeeh hv kumbe maumivu ndivyo yalivyo ivi?, yani kumbe moto wa mapenz ndo upo ivi ukiachana na mtu ?, afu ss amenila kbs yani amenila ...nikasema ngoja..nkarudiana nae yule mtu ingawa nilikuwa nampenda lkn tukizinguana kidg tu namuacha bila huruma..cjui ata anaumiaje uko..namuacha kabisa , mpk ss nimeshamuacha zamani tu lkn nikiwa nishamlipizia kisasi....muda mwngne huwa nasema yale ndo yalikuwa malipo au mana kha maumivu siyo mchezo...mpk ss nimekoma kuumiza watu wenye upendo wa kweli kwangu.