Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Nilimpenda kweli, ni story ndefu, alikuwa mmanga hawa wa ki-Oman, ndugu zake hawakunitaka na waliloamini ni kwamba ningemuharibia masomo yake na hatimae maisha yake.

Katika harakati za hapa na pale ikatokea safari ya kimasomo kwenda nchi flani hivi, nlifanya yote yaliyowezekana akawemo safarini maana mimi nlikuwa na nafasi tayar, alinishkuru sana for that lakini alikuwa kuungana na kukubaliana na matakwa ya ndugu zake kwamba aachane nami. Kipindi cha rehearsal kilikuwa ndio kipindi cha kutuweka karibu but she always avoided me. I was never happy at school na kila safari ilivyokaribia ndivyo hakunielewa ba kujaribu kuji-distance from me.

Siku ya safari ikafika, ndege yetu saa nne asubuhi mpaka saa mbili hajafika. I started worrying na nkataka kugoma pia, kama haendi nami sitokwenda, fikra zangu ziliniambia ndugu zake wamemzuia. Around saa mbili na nusu alitokea, nlikumbatiana na kaka yake aliemsindikiza na akaninong'oneza kuwa he believes I will protect his sister. I gave him my words that she was in a safe hands.

Mmanga yule hakutaka kuongea nami mpaka tulipofika Amsterdam alipopata matatizo na suitcase yake. She was crying and calling me "my love". I had some courage and strength to do whatever I had to ili vitu vyake vyote tupate kusafiri navyo.

In Norway, she gifted me her ............

We enjoyed our time, and she promised me that she will be mine no matter what.

As we reached Tanzania, out of the flight, she pulled me, hugged me, kissed me and said it was over between us. And it was over.
Imekaa ki Kuch kuch hota hai hii🤣🤣
 
dah siku nikiachwa ntacheka sana maana kabla hajawaza kuniacha mm nshamuacha siku ntingiiii. kuna kidem nilikipenda ila kikazingua bila kujua kwamba kishazingua na mm nkakiacha siku zukaenda siku anakuja kuniambia tuachane nkamwambia nlikua nasubiri uongee ww ili usilaumu kua nlikuacha kidada cha watu kililia sana nadhundwa kuelewa kwann alilia kiasi kile ila nahisi alikuja kutingisha kiberiti kumbe kinalipuka mpka leo tukikutana hanisemeshi na nikimkuta sehem lazma atoke na mbaya zaidi kila nkikutana nae nakua na mwanamke mpya awe rafiki au mpenzi ila kwake alzima ahisi nabadili madem
 
Hiyo kitu inauma
Mimi siku hiyo ilikuwa Mida ya jioni,nikampigia simu kama kawaida,nikamkumbusha cha kufanya kuhusu mahusiano yetu nilimuahidi kuwa ntamuoa,mara nikasikia umeshachelewa ,nina mtu wangu tayari .

Roho iliniuma mno ,nikawa mpweke sana.

Wana jf ,mimi sjui nina gundu gani na wanawake at the some time,leo hii naandika comment hii Kuna mwanamke kashaniban ,wewe mwanamke popote ulipo Mungu anakuona, muda mwingine natembea naona nyota nyota tuuh ,daaah haya maisha sio poa.
 
Nyie acheni mpaka saivi sinaga hamu kula ,kwa siku nakula mlo mmoja ,nimekonda sio mchezo ,za chini wanasema nishaunasa ,lakini sio kweli ni hawa wanawake , daaah nimeachwa na watatu mpaka saivi ,Mungu anawaona popote mlipo.
 
Yaani nyie mnaachana kwenye simu? Enzi zetu landline wanazo wakishua tu basi yule kima akawabeba shosti zake aje kuniacha ile kufika tu naskia we kaka sikutaki tena, alikula mtama huo hadi mimi niliyempiga nikashangangaa binadamu anawezaje kupaaa kiasi kile, alitua chini kama furushi kuinuka hawezi wenzie wawiwili wakatimua mbio akabaki mmoja nikamuuliza " nawewe nikufumue" akajibu hapana nisamehe.
Ila paulina still nakupenda ingawa ni miaka zaidi ya 20 sasa imepita, kalitaka eti kaniabishe kwa mashosti zake
Sasa si keshaolewa na wewe ushaoa?
 
aseeehhh daaaaa
 
Aloooo
 
watu wababe jamani
 
🤣🤣🤣
 
kipindi hicho nilienda likizo kumtembelea shangazi yangu zanzibar.

Katika harakati nikakutana na sister mmoja amenizidi umri kidogo, asee ni bonge la demu mazee, bonge la chura,lips na rangi moja swafi sna yaani linavutia si mchezo

Basi bana nikatengeneza mazingira ya ukaribu demu aliweka vipingamizi na dharau nyingi sana kwamba mm ni mdogo sana kwake sina cha kumfanya, roho iliniuma ile kiume nikapunguza mawasiliano

Weekend moja nikaanza kumchatisha akawa anajibu sms vizuri, nikaona mambo si ndo haya sasa, tukafikia kwenye sms za mapenzi, kumbe demu alkuwa ana nyeege za kutosha, nikamshawishi aje getto akakubali, ile kibaharia nilikamia sana shoo ili kumkomoa nikawa hata si-enjoy maana lengo nikumkomoa kumbe upande wa pili demu anafurahia sana, akaweka heshima penzi likawa zito

Yale mahaba yangu kumpenda yakaisha demu ndo akawa yeye ananipenda ni mkubwa kwangu lakini nikawa namuendesha navyotaka

Bana bana si ndo nikajiona bingwa, demu akaswitch batani uchizi ukahamia kwangu, asee yule demu nilimpenda kama tahira na akajua kabisa, aliniletea madharau moja na kunipuuzia sana, nikaona maisha hayana umuhimu bila ya huyu mwanamke pale aliponitamkia kuwa“sikutaki tena fanya maisha yako”

Wakuu niliumia sana, nilkuwa namfikiria kuliko hata mama yangu,ila mwisho wa siku nikamsahau malaya yule
 
Vijana wametiririka aseee. Sometimes kuacha ni jambo jema. Milango inafunguka kwa wote. He/she or both mnapata watu bora kabisa kwenye maisha
 
Me mtu wa kwanza aliniacha siku moja naingia kweny mtihani wangu wa taifa wa form four..... Maumivu yake acheni nlikua nalia hadi msimamizi akaniuliza unashida gani.... Ila sa hv mtu ajichanganye aseme tuachane... Mhhh naona kama nmetuma mzigo

Pole, je haikukuathiri kwenye mtihani?
 
Pole sana! Nahisi pia perfomance ya wananafunzi hasa kidato cha 4 huwa inaathiriwa sana na mambo yahusuyo mapenzi.
Kabisa kabisa..... Yani kila siku me namwambia mdogo angu asubili afike hata chuo ndo aanze kutafuta vi boyfriend..... Me nilikua vzuri darasani.... Nilianza kujiingiza kweny mahusiano nikiwa kidato Cha nne... Nlikua wa moto sana..... Huyo mkaka wa ndoto zangu ndo akanifanyia hivo... Lkn mwisho wa siku kapalala sa hv anataka turudiane
 
Back
Top Bottom