Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Ah ni uongo huo, upendo kwa mtu anayekupenda ni unazidi sana, huwezi kukosa kumpenda anayekupenda kwa dhati eti sbb uliumizwa uko nyuma, huo utakuwa ni ujinga aisee...alafu uatapoteza mtu mwnye upendo wa kweli kwako kwa ajili ya mtu ambaye alishaondoka kwako na hana muda nawe, ss kwnn uharibu uhusiano wako wa ss ...sbb ya huyo mpumbavu mmoja
nasikia huwez kupenda mara mbili, uyo jamaa kaondoka na kale kaupande ka unique
 
Nilipendana na huyo kaka kipindi nakua nilikaa nae miaka miwili, nilikua hata nikikosana nae kidogo mambo mengine hayaendi kiufupi nilimpenda alinipenda pia.
Siku nimekaa nyumbani nilimpigia simu nimjulie hali aliniambia 'Nipo nanyoa nywele saluni nitakupigia' baada ya muda nilisindikizwa na ujumbe ' Naona tuachane naona siwezi tena kuendelea na wewe' Sitaisahau hii siku nilipagawa nililia sana na kila nikiuliza sababu anasema amechoka tu na mahusiano yetu.

Nilijikaza maisha mengine yakaendelea ila cha moto ndio nilikipata hadi shule sikuwa nafanya vizur tena maisha mengine nayo yakawa ovyo tu lakini nashukuru nilikuja nikasahau na maisha mengne yakaendelea. Kuachwa ni mtihani kwa kweli. Wewe kaka popote ulipo ubarikiwe sana ingawa uliniacha lakini ulikua na vitu sijawahi kutana navyo popote pale hadi leo hii.

Nahisi ni mimi vile?
Nikumbushe vzr
 
Kuumiza watu maksud ulikuwa na roho ya kikatili Sana vp sasa bado unayo
Yani mimi Yani mimi nilikuwa maarufu ktk kuumiza watu, kiasi kwmba kumwambia mtu tuachane ni kitu chepesi sana tena sana, nilikuwa sijali machoz ya watu lkn siku nilipoachwa mimi, apo ndipo mafikirio ya watu wa nyuma yaliponijia, eeeh hv kumbe maumivu ndivyo yalivyo ivi?, yani kumbe moto wa mapenz ndo upo ivi ukiachana na mtu ?, afu ss amenila kbs yani amenila ...nikasema ngoja..nkarudiana nae yule mtu ingawa nilikuwa nampenda lkn tukizinguana kidg tu namuacha bila huruma..cjui ata anaumiaje uko..namuacha kabisa , mpk ss nimeshamuacha zamani tu lkn nikiwa nishamlipizia kisasi....muda mwngne huwa nasema yale ndo yalikuwa malipo au mana kha maumivu siyo mchezo...mpk ss nimekoma kuumiza watu wenye upendo wa kweli kwangu.
 
Nakumbuka 2004 nilimpenda binti mmoja chuo kimojawapo hapo Moro.Nilioza kabisa nikawa sisikii.....baada ya miezi 4 hivi akaniambia ana mtu mwingine ambaye ni mbotswana ndio anataka amuoe.Iliniuma sana na ilichukua muda kurudi katika hali ya kawaida.

Pole sanaa
 
Nilipogundua anataka kuniacha nikamuwahi akajifanya bado ananipenda kumbe ananilia timing anifanyie suprise ya kuniacha, siku anataka kukamilisha mpango wake nilimtandika makofi hatosahau maishani

Yaani nikipiga upande huu narudia upande wa pili ndo nahesabu kofi moja.

we noma kk
 
Okay naitwa Ngareroo natoka pande za hapa Ngarenaro..Aah kwa upande wangu mimi kuna manzi anaitwa Angel nilimfatilia zaidi ya miezi6 hadi ndala zangu zikaisha pia nilitengeneza kibarabara kabisa maana daily nilikua napita pale karibu na kwao,manzi alinikubalia leo alafu kesho akanibamiza et tuachane daah!!ata sijamla yaani,kipindi ananipigia simu akinambia tuachane nilikua nakula nyama lakini ile nyama niliiona kama likiazi tu haina ladha yoyote akati ilikua tamu kinyama.
 
Hii naimalizia bar na mupenzi wangu malkia kvant binti pombe kutoka himaya ya watu wa wanakonyagi
Mkuu msaada hii kitu inatestije nataka kujaribu
IMG_1046.JPG
 
Back
Top Bottom