Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Mi naumiaga sana alafu nachelewa kurecover lakini nikashapenda sehemu nyengine yani wewe nisahau kabisa hatakukumbuka inakuwa ni issue
 
Hapa yenyewe saivi niko single kuna demu nimebreak up naye nimetulia mwezi kama wa nne huu naskilizia ntadondokea wapi
 
Alipoanza tu kunambia nimpe mama yake 150k afanyie biashara ndipo nilipoona huyu n muuaj japo nilimpenda ilinibid nimteme japo bado nampenda ila napenda pia maisha yangu
 
Niliamua kuhama shule ili nimfuate ile niwe karibu na shule anayosoma ile nafika tu sina ata wiki nikapigwa chaga.....mbwa yule lengo lake anifelishe na akafeli yeye malipo ni hapa hapa duniani
 
Kupigwa Chaga ndio kupigwa Pumbu au?
 
mkuu pole sana,tuliopitia hio kitu ndio tunaelewa machungu,jamiiforums nzima 70% ya wanaume wanaweza kuwa wameshaumizwa ila 10% ndio tunajua machungu ya kupigiwa simu na msenge anasema yeye ndio anamiliki demu wako
last year kuna manzi kampa jamaa yake simu anipigie afu anipige biti,mi siku mzingua msela nikamblock tu maisha yakaendelea,ila ile dharau iliniuma sana,juzi demu huyo kanitafuta akaomba msamaha nikamwambia hajanifanyia kosa lolote

Mkuu hii isikie kwa mtu me jamaa alinitukania mama kabisa wakati sijaongea shit yoyote demu kampa mshikaji ake simu ili anichane

Poa imepita miaka kadhaa yule mwana alipata ajali akavuta na alimwacha yule demu na mtoto sasa hivi naona simu nyingi na text kibao ooooh mtoto wetu anakusalimia sijui nini..me naitikia poa tu ila kiukwel sina hisia na yule manzi
 
Mh
Yule ms*nge aliniacha jumapili ambayo jumatatu yake tulikuwa na test...sababu yake mammmae zake nikachafua CV ya kuzungusha ile paper (nilipata zero)

Nilikuwa siwezi kula
Siwezi kulia japo natamani kulia lakini machozi hayaji
Nilikuwa mchekaji mzuri lakini siku hizi sicheki kabisaaaa

Popote ulipo ama kama unasoma hapa ujue tu nakuchukia kuliko kawaida!!!na kwa taarifa yako ninae baby mpya nampenda sanaaaaaa

#povu

Halafu bado nakupenda
 
Okay naitwa Ngareroo natoka pande za hapa Ngarenaro..Aah kwa upande wangu mimi kuna manzi anaitwa Angel nilimfatilia zaidi ya miezi6 hadi ndala zangu zikaisha pia nilitengeneza kibarabara kabisa maana daily nilikua napita pale karibu na kwao,manzi alinikubalia leo alafu kesho akanibamiza et tuachane daah!!ata sijamla yaani,kipindi ananipigia simu akinambia tuachane nilikua nakula nyama lakini ile nyama niliiona kama likiazi tu haina ladha yoyote akati ilikua tamu kinyama.
Aisee , ulikwama wapi dingii
 
Mkuu hii isikie kwa mtu me jamaa alinitukania mama kabisa wakati sijaongea shit yoyote demu kampa mshikaji ake simu ili anichane

Poa imepita miaka kadhaa yule mwana alipata ajali akavuta na alimwacha yule demu na mtoto sasa hivi naona simu nyingi na text kibao ooooh mtoto wetu anakusalimia sijui nini..me naitikia poa tu ila kiukwel sina hisia na yule manzi
mkuu , nimefurahi sana kusikia jamaa alifariki,bila shaka huyo manzi ana hali ngumu kimaisha,nimefurahi sana
pili nikupongeze kwa kuwa na moyo mweupe,mi nimegundua kukaa na chuki moyoni ni kujiumiza mwenyewe,endelea nae tu kuongea but usiingie kwenye mtego tena,huyo hafai,ukipata matatizo atakukimbia
 
Nimeishia ukurasa wa 21 siwezi kuendelea naumia sana na maelezo ya humu ndani hakuniacha sikumuacha tulitenganishwa alianiambia ukiondoka naacha kazi narudi kwetu alihangaika Sana kuokoa penzi.letu, alifikia kutuma Askari wakasimamisha bus nililopanda wakaangalia hawakuniona nikuwa nawaza mengi Kati ya wazazi na yeye nilikuwa bado mdogo kiumri 16 na yeye 22 ndio Kwanza kaanza kazi alikuwa na nafasi nzuri kazini (cheo)kuliko umri wake hakuwahi kunigusa kimwili aliahidi kunioa, polisi wakateremka bus likaondoka baada ya miezi mitatu nilirudi kule sikumkuta aliacha kazi na kurudi kwao sijamuona tena na sina mawasiliano naye, kama yupo humu ajue mume wangu alikuwa yeye hapa duniani imeshindikana najua ipo sehemu itawezekana japo si duniani tena. Najua mume alikua yeye, hakuna anayenibabaisha kwa sasa wanasema naringa, jeuri, wa matawi, sijali langu la moyoni nimelitoa JF, siwezi kuendelea kuusoma tena huu Uzi, pia naomba tafadhali nisiulizwe swali najuta kuusoma
 
Hii thread kwa sisi mabaharia tulioanza kugonga nyapu/papuchi/kitumbua/pussy/kibumbusoft haituhusu kabisaa mana tuna options nyingi hadi nyingine tunazikachaaa kiainaaaa
 
Yule ms*nge aliniacha jumapili ambayo jumatatu yake tulikuwa na test...sababu yake mammmae zake nikachafua CV ya kuzungusha ile paper (nilipata zero)
Nilikuwa siwezi kula
Siwezi kulia japo natamani kulia lakini machozi hayaji
Nilikuwa mchekaji mzuri lakini siku hizi sicheki kabisaaaa
Popote ulipo ama kama unasoma hapa ujue tu nakuchukia kuliko kawaida!!!na kwa taarifa yako ninae baby mpya nampenda sanaaaaaa
#povu

Halafu bado nakupenda
Mpaka mwili wangu umevibrate. Pole sana halafu nakuomba unisamehe bure.
 
mkuu , nimefurahi sana kusikia jamaa alifariki,bila shaka huyo manzi ana hali ngumu kimaisha,nimefurahi sana
pili nikupongeze kwa kuwa na moyo mweupe,mi nimegundua kukaa na chuki moyoni ni kujiumiza mwenyewe,endelea nae tu kuongea but usiingie kwenye mtego tena,huyo hafai,ukipata matatizo atakukimbia

Sure mkuu kusamehe ni dawa sasa hivi namuona wa kawaida sana nasikia anauza bar sijui huko ata muda wa kumfatilia sina
 
Nimeishia ukurasa wa 21 siwezi kuendelea naumia sana na maelezo ya humu ndani hakuniacha sikumuacha tulitenganishwa alianiambia ukiondoka naacha kazi narudi kwetu alihangaika Sana kuokoa penzi.letu, alifikia kutuma Askari wakasimamisha bus nililopanda wakaangalia hawakuniona nikuwa nawaza mengi Kati ya wazazi na yeye nilikuwa bado mdogo kiumri 16 na yeye 22 ndio Kwanza kaanza kazi alikuwa na nafasi nzuri kazini (cheo)kuliko umri wake hakuwahi kunigusa kimwili aliahidi kunioa, polisi wakateremka bus likaondoka baada ya miezi mitatu nilirudi kule sikumkuta aliacha kazi na kurudi kwao sijamuona tena na sina mawasiliano naye, kama yupo humu ajue mume wangu alikuwa yeye hapa duniani imeshindikana najua ipo sehemu itawezekana japo si duniani tena. Najua mume alikua yeye, hakuna anayenibabaisha kwa sasa wanasema naringa, jeuri, wa matawi, sijali langu la moyoni nimelitoa JF, siwezi kuendelea kuusoma tena huu Uzi, pia naomba tafadhali nisiulizwe swali najuta kuusoma

Pole sana bibie ila usikate tamaa..
Kumbuka tu sometimes life doesn't give u what u want bt it gives u what u need...utapata tu hitajio lako
 
Pumbavu zao kabisa, wasaliti wakubwa, japo niliwaacha mie kwa sababu zinazofanana ila inauma mno jamani, popote mlipo jueni jehanam inawasubiri
 
Back
Top Bottom