Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,938
Unaweza hisi unapaa yaani dunia yooote ni yakoo... Vipi kuna mtu amependa? Tuyajenge
Ila ukipenda unapopendwa,.. daah ni raha sana
Ila ukipenda unapopendwa,.. daah ni raha sana
Sio Nunda, wanasema ukiona mapenzi hayakuumizi ujue umekuwa.............................?mara ya kwanza inauma ila baada ya hapo huumii unakua nunda😀
Sio Nunda, wanasema ukiona mapenzi hayakuumizi ujue umekuwa.............................?
Hii inaonesha haina muda mrefuYule ms*nge aliniacha jumapili ambayo jumatatu yake tulikuwa na test...sababu yake mammmae zake nikachafua CV ya kuzungusha ile paper (nilipata zero)
Nilikuwa siwezi kula
Siwezi kulia japo natamani kulia lakini machozi hayaji
Nilikuwa mchekaji mzuri lakini siku hizi sicheki kabisaaaa
Popote ulipo ama kama unasoma hapa ujue tu nakuchukia kuliko kawaida!!!na kwa taarifa yako ninae baby mpya nampenda sanaaaaaa
#povu
Halafu bado nakupenda
We jamaa si ulisema umeoa?Ile msg ya Naona tuachane tu aisee nilihisi Gizaa flani hivi nikataka kuzimia..!! Sikuweza kuongea na mtu yani nililia kama mtoto ila mama akajua tatizo aisee alinitia moyo na kunipa shule kuhusu wanawake yani toka siku ilee mwanamke hawezi isumbua akili yangu hata Kama Nimpende vipii... akizingua namuacha dak sifuri kitu kingine siwezagi Kumbembeleza mwanamke kabisaa.
Sasa form three nilikuwa nimeoa????We jamaa si ulisema umeoa?


Kwamba waliooa hawana maex waoo...
wewe ushakua nunda😂😂😂😂Yule ms*nge aliniacha jumapili ambayo jumatatu yake tulikuwa na test...sababu yake mammmae zake nikachafua CV ya kuzungusha ile paper (nilipata zero)
Nilikuwa siwezi kula
Siwezi kulia japo natamani kulia lakini machozi hayaji
Nilikuwa mchekaji mzuri lakini siku hizi sicheki kabisaaaa
Popote ulipo ama kama unasoma hapa ujue tu nakuchukia kuliko kawaida!!!na kwa taarifa yako ninae baby mpya nampenda sanaaaaaa
#povu
Halafu bado nakupenda
uwiii😂😂😂😂😂Nilipogundua anataka kuniacha nikamuwahi akajifanya bado ananipenda kumbe ananilia timing anifanyie suprise ya kuniacha, siku anataka kukamilisha mpango wake nilimtandika makofi hatosahau maishani
Yaani nikipiga upande huu narudia upande wa pili ndo nahesabu kofi moja.
tayari mkuu😃😃Unaweza hisi unapaa yaani dunia yooote ni yakoo... Vipi kuna mtu amependa? Tuyajenge
tayari mkuu![]()
daaah 😂😂😂😂😂😂😂nlipoachana nae kesho akanijia na Kiwembe eti anilarue uso
wanawake wa buza sio poa
Break ups sikia kwa mtu, ule muda unatamani ungekuwa na uwezo uuchomoe moyo uutupe jalalani, sijui kwa nini Mungu aliweka upendo moyoni maana mambo yanapobuma inakuwa ngumu kuuchomoa. Angeuweka hata kwenye nywele tungekuwa tunakata kuondoa maumivu. Lakn alipoweka upendo unatutesa sana pale tunapotokea kupenda wrong person.
Nakumbuka ile msg nilikuwa nakula jioni mtu akasema wew umeshapata kaz mim bado nasoma nahis nitakupotezea muda wako wew endelea na maisha yako huko mim usinitafute tn na kweli aliniblock, sikula vzur siku tatu kazn nilikuwa naenda narudi nadanganya naumwa. Kwakweli niliteseka sana nilikuwa nakaa na simu muda wote nikitegemea kuona ht bip yake tu.
Niliumia ila ni bora alivyoniacha maana now nina better person than him na nisingempata km ningeendelea kumg'ang'ania f*la yule