ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
- Thread starter
-
- #101
Eti na wewe ni great thinker dah! ume think nini katika uzi huo sasa.
Thread imeshakuwa ya kijinga
kwa kuwa KADIMA ni chama cha kiliberali huko Israel, kumbe wamarekani wanajua kuwa akina slaa ni waliberali
1.CCM ndio walaghai
2.CDM ilikua bado haijasajiliwa..Kama ni hivyo tuzungumzie 'KILIMO KWANZA'
Sio cha msimu ..tulitegemea cha umwagiliaji..
Mwita,
Kadi yako ya KADIMA ni namba ngapi?
Slaa amekuta Marekani sera za CCM zinasifiwa na yeye amebadilisha msimamo. Sasa hivi anazisifia sera za CCM alizozunguka maeneo mbalimbali nchini kuziponda majukwaani.
Hizi ni siasa za kilaghai.
Ni kweli ccm ina sera nzuri sana na mojawapo ni sera ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai!
Sasa maajabu ya dunia ni kwamba hadi sasa Kigoma haina uwanja wa ndege unaotumika kipindi chote cha mwaka. Kigoma haina usafiri wa treni/reli wa kuaminika. Kigoma haina mtandao wa barabara za lami za kuiunganisha na mikoa ya jirani na nchi za jirani. Kigoma haina meli za kisasa za kuiunganisha na mikoa ya jirani na nchi za jirani.
Kigoma ina meli za M.V. Liemba na M.V. Mwongozo zilizotengenezwa miaka ya mwishoni mwa 1800s ambazo ni makaburi yanayotembea majini, ndio zinabeba watu kwenda Rukwa/ Katavi, DRC, Burundi na Zambia!
Hapo hakuna kuthink ni kutoa taarifa kama ilivyo.
Kama ukiona mti umeanguka kuna kuthink nini? Si kutoa taarifa tu kuwa mti umeanguka.
Usilaghaike na siasa za Slaa...
Ni kweli ccm ina sera
nzuri sana na mojawapo ni sera ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai!
Sasa maajabu ya dunia ni kwamba hadi sasa Kigoma haina uwanja wa ndege
unaotumika kipindi chote cha mwaka. Kigoma haina usafiri wa treni/reli
wa kuaminika. Kigoma haina mtandao wa barabara za lami za kuiunganisha
na mikoa ya jirani na nchi za jirani. Kigoma haina meli za kisasa za
kuiunganisha na mikoa ya jirani na nchi za jirani.
Kigoma ina meli za M.V. Liemba na M.V. Mwongozo zilizotengenezwa miaka
ya mwishoni mwa 1800s ambazo ni makaburi yanayotembea majini, ndio
zinabeba watu kwenda Rukwa/ Katavi, DRC, Burundi na Zambia!
Mshukuru sana Mungu kwa kumleta Dkt. Slaa hadi umepata ajira hapo mtaa wa lumumba. Vinginevyo sasahivi ungekuwa aidha unabwia sembe au unapiga watu roba za mbao hapo mwananyamala!
Mti ulioanguka unaotolewa taarifa ni aidha umeangukia mtu au nyumba. Na katika hili Dkt. Slaa amewafunika ccm na misukule yake yote ndio maana buku saba fc mnapiga kelele kwa nguvu sana hapa ili mpate msaada wa kuwanasua. Bahati mbaya hakuna wa kuwanasua mtaendelea kuangukiwa hadi mfe kabisa mpotee katika uso wa dunia!
Mshukuru sana Mungu kwa kumleta Dkt. Slaa hadi umepata ajira hapo mtaa wa lumumba. Vinginevyo sasahivi ungekuwa aidha unabwia sembe au unapiga watu roba za mbao hapo mwananyamala!
Mti ulioanguka unaotolewa taarifa ni aidha umeangukia mtu au nyumba. Na katika hili Dkt. Slaa amewafunika ccm na misukule yake yote ndio maana buku saba fc mnapiga kelele kwa nguvu sana hapa ili mpate msaada wa kuwanasua. Bahati mbaya hakuna wa kuwanasua mtaendelea kuangukiwa hadi mfe kabisa mpotee katika uso wa dunia!
mi na cdm yangu tu we marcopolo sema usemayo,aje ritz, na yule dada enu! tunaipebda cdm na tutazidi kuipigania
mi na cdm yangu tu we marcopolo sema usemayo,aje ritz, na yule dada enu! tunaipebda cdm na tutazidi kuipigania
Kwahiyo sera ya kuibadilisha Kigoma kuwa Dubai ndiyo aliyosema Slaa kuwa Chadema inataka kuitekeleza?
Mimi kazi yangu ni kukukumbusha sera nzuri za ccm suala la utekelezaji ni lenu huko lumumba.
Sera nyingine ni kuifanya Dodoma kuwa kitovu cha uvuvi nchini na serikali ya ccm itanunua meli kubwa na kuipeleka bwawa la mtera kwa ajili hiyo.
Sera nyingine nzuri ni Tanzania kuuza umeme nchi za nje wakati hadi sasa ni asilimia 14 tu ya watanzania walioweza kufikiwa na Tanesco na kusambaziwa umeme.
Hizi sera za ccm ni kiboko, mwendawazimu tu ndiye anayeweza kutozikubali.
unamaanisha KADIMA?
Mwita,
Unajua kwanini Aweda siku hizi anaona aibu kushiriki mijadala ya KADIMA?
"Sera za CCM ni nzuri sana, sisi Chadema tunachotaka kukifanya ni kuzitekeleza ipasavyo" - Dr. Slaa.