Unakijua Chama Cha KADIMA?

Unakijua Chama Cha KADIMA?

Hii Mada Mufilisi, Avalishwe Pampas Akalale, Haiwezekani Useme Mtangazaji Ali Jiandaa Vizuri! Akataja Jina La Mwangosi, Sasa Inakuwaje Ashindwe Kutaja Chademe? Wee Jamaa Uwezo Wakutransulate Darasa La Pili, Ndio Tatizo Lako! Himwiko Kumfananisha Slaa Na Yule Anae Dai Zanzibar Ili Ungana Na Zimbabwe! Kalale

Kwa mmarekani kumjua Mwangosi amejitahidi sana.

Uliza wamarekani wangapi wanaijua Dodoma.

KADIMA sio kosa lake, ilibidi Slaa ndio amueleweshe jinsi inavyotamkwa, sasa Slaa ameogopa kumuelekeza. Lakini Slaa alipokosea jina la kipindi, mtangazaji alimuelekeza bila woga, ingawa Slaa alikosea tena na tena...
 
JK kwenye press conf na Obama alisema "This question is asked one by one to me" yaani hili swali limeulizwa moja kwa moja kwangu. Hebu tuachane na hayo, ZeMarcopolo soma neno hili hapa chini:
Characteristic.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa. Kama kungekuwa na uwajibikaji katika kazi na kukamata mafisadi kama wewe, ningerudi ccm. Hiyo ndiyo ccm ninayoijua mimi. Sio hii yenu ya magamba mafisadi na dhaifu.

Dah, kumbe kauli ya Slaa imewarudisha wengi CCM...
 
Yuko chimbo anajifunza namna ya kutekeleza BRN ili kumaliza tatizo la walimu nchini bila kuboresha maslahi yao!

Baada ya hapo atakwenda kuandaa paper kwa ajili ya utekelezaji wa sera ya ujenzi wa fly overs za Dar es slaam!

Mwita,

Wewe ni raia mwema. Huwa sipendi kukuudhi kabisa. Nakushauri ukapumzika for now.

Waache vijana wengine wa Bavicha a.k.s Bavika wanendelee na mjadala...
 
Slaa alitakiwa kumrekebisha mtangazaji kuwa Chama Chake sio KADIMA ni Chadema ila tatizo la Slaa ni lack of confidence anadhani ni sahihi kwa mmarekani kukosea jina la chama chake!!!
tatizo vingereza vilikua vingi mpaka kashindwa kuelewa kama imetamkwa kadima au chadema..wazee wa kadima
 
Kwa hiyo CHADEMA kutamkwa Kadima siyo kosa, kama charac......cs inatamkwa ka.... Hakuna cha ajabu hapo.

Mkuu,

Hapo naona unataka kubadilisha lugha kuwa hesabu.

Unaujua mji wa Uingereza unaoitwa Reading? na je, unajua tendo la kusoma kwa kiingereza linatwaje? - Reading.

Je Reading hizo mbili zinatamkwa sawa?

Kwahiyo Chadema kwa Kiingereza ni KADIMA?
 
Udhaifu wa ccm mtaji kwa vyama vya upinzani. Asante Mungu kwa kutupa raisi dhaifu.

Soma ulichoandika uone kama utakielewa. Kama wewe mwenyewe hukielewi, unategemea wengine waelewe vipi?
 
Mtu ambaye anaweza pandwa na wazimu mapaka Dr Slaa atakapo maliza ziara zake huko Us ni the marcopolo
 
Last edited by a moderator:
makopo weka link tusikilize hapa huitaji kutuelezea wakati mtu kaongea, audio and video ipo nini tatizo au kuna aliyekutuma kuwatafsiria???
 
makopo weka link tusikilize hapa huitaji kutuelezea wakati mtu kaongea, audio and video ipo nini tatizo au kuna aliyekutuma kuwatafsiria???

Kuna mdau kaweka clip hapa. Ukiitafuta utipata. Slaa katia aibu sanaa!!!
 
Leo Slaa alikuwa anahojiwa na redio na WPFW Radio ya Washingyon DC Marekani.



1. Mara kadhaa Slaa alishindwa kutamka jina la kipindi anachohojiwa. Jambo hilo lilimfanya mtangazaji kumkumbusha several times kuwa kipindi kinaitwa africaNow baada ya Slaa kukiita AfricaOne. Tone ya mtangazaji ilionyesha wazi kuwa amechukizwa na lack of memory ya Slaa. Kwa wamarekani, kukosea jina la mtu ni offence ndio maana huyu mtangazaji alijisikia offended slaa kukoseakosea jina la kipindi chake.

..[/COLOR]

acha ukilaza wewe hivi kati ya Slaa aliyekuwa anasema AfricaOne badala ya AfricaNow ma huyo mtangazaji aliyekuwa anasema KADIMA badala ya CHADEMA nani alikuwa anakosea zaidi na nani unadhani alitakiwa kukasirika zaidi?
 
Iii wapiii??? jibu kwa kuniwekea link hapa otherwise huna unaloongea, nothing

Nikikuwekea link nitapata dhambi ya kusambaza uongo na ulaghai wa Dr. Slaa. Sitaki kushiriki kwenye dhambi hiyo.

Wewe fungua threads za Jukwaa la Siasa utaikuta interview yote.

Ukiisikiliza ingawa uko wewe na redio tu, lakini utaona aibu kwa jinsi Slaa alivyoaibisha!!!
 
Kadima na Likud ni vyama vya taifa la Israel, hivyo si ajabu mtangazaji ku kukosea na kufananinsha moja ya chama kikubwa kama Kadima
 
acha ukilaza wewe hivi kati ya Slaa aliyekuwa anasema AfricaOne badala ya AfricaNow ma huyo mtangazaji aliyekuwa anasema KADIMA badala ya CHADEMA nani alikuwa anakosea zaidi na nani unadhani alitakiwa kukasirika zaidi?

Wote wamekosea lakini mtangazaji amekuwa na ujasiri wa kumrekebisha Slaa wakati Slaa amekuwa akitetemeka huku jina la chama chake likifinyangwa...
 
Kadima na Likud ni vyama vya taifa la Israel, hivyo si ajabu mtangazaji ku kukosea na kufananinsha moja ya chama kikubwa kama Kadima

Hapo ndio unamdhalilisha zaidi Slaa. Inamaana mtangazaji alikuwa anasahau Slaa ametoka nchi gani?!!!
 
Back
Top Bottom