Unakijua Chama Cha KADIMA?

Unakijua Chama Cha KADIMA?

Nimeona una tatizo la kuelewa accent kutokana kukosa exposure + Ignorance yako katika English.

Na single yake ya Mwangosi Wazungu wameshamshtukia Dr. Slaa mtangazaji akamkata juu kwa juu.

Au mtangazaji naye ni gamba nini?!
 
KADIMA ni Chama cha siasa nchini Israel.

Mahojiano ya leo umesumbuliwa na accent kwa kuwa hujazoea kusikia pronounciation kutoka accent mbalimbali.Ushamba unakusumbua.Unahitaji Exposure.!

Jaribu hata kujichanganya kwenye warsha zinazohusisha foreigners basi.
Mkuu, usijisumbue kujibizana na huyu zu.....kuku" anakupotezea muda tu!
 
zd marcopolo acha uwongo, usifikiri umesikiliza peke yako? Afu jifunze kupost mada kumbuka hii ni digital generation,
 
zd marcopolo acha uwongo, usifikiri umesikiliza peke yako? Afu jifunze kupost mada kumbuka hii ni digital generation,

Kipi kati ya nivyoandika hapo ni cha uongo?

Slaa hajakubali kuwa sera za CCM ni nzuri?

Slaa hajakosea jina la kipindi na kukumbushwa?

Mtangazaji hajaiita KADIMA?

Slaa hajasema Chadema (KADIMA) ina wanachama wengi vijijini kuliko mijini?
 
cdm kwa sasa ina wanachama wengi vijijini! Fuatilia chaguz ndogo..ccm mmeshinda ngap?

Kwahiyo kuanzia leo it is official kwamba KADIMA ina wafuasi wengi zaidi vijijini kuliko mijini?

Mdomo wa Slaa unajibadilishia takwimu kadri unavyotaka!!!

Slaa ni mwanasiasa mlaghai.
 
hebu tamka neno chaos au character kwa kizungu!


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Msaidie dada huyo...! I.never knew that period draws brains as well.. Yaani eti ni mada ameileta kada wa ccm.. Huku kujivua nguo huku...!!
 
Mkuu ZeMarcopolo achana na Amitha Bachan kwani yeye haamini kama babu anakosea

Hahahahahaha

Slaa alidhani mtangazaji wa Marekani hajui mambo ya Tanzania. Inaelekea Slaa huko Alabama amewapiga watu marungu sana.
 
cdm kwa sasa ina wanachama wengi vijijini!!!
Na mijini pia Ila vilaza hawawez kuelewa. Mi nashinda vijijini uku!
 
Na single yake ya Mwangosi Wazungu wameshamshtukia Dr. Slaa mtangazaji akamkata juu kwa juu.

Au mtangazaji naye ni gamba nini?!

Kumbe na nyie mmekubali jina lenu 'GAMBA' !!!!....Ha ha ha..
 
Msaidie dada huyo...! I.never knew that period draws brains as well.. Yaani eti ni mada ameileta kada wa ccm.. Huku kujivua nguo huku...!!

Acha kudharau jinsia ya kike.

Leo tumejifunza kuwa chadema kwa kiingereza inaitwa KADIMA.

Sasa tusaidie je, kwa kichina inaitwaje? au mpaka Slaa aende India kuhojiwa ndio tutajua?
 
Kumbe na nyie mmekubali jina lenu 'GAMBA' !!!!....Ha ha ha..

Slaa amesema CCM ina sera nzuri. Chadema inachotaka ni kupata fursa ya kutekeleza sera za CCM. Je wewe unaonaje?
 
Si umekubali kuwa chadema kwa kiingereza ni KADIMA? Sasa si ututajie na kwa kichina inaitwaje, Sumu ameshtaja kwa kiarabu
FaizaFoxy atatutajia kwa kifaransa.

Bado mnadhihirisha CDM ilivyo makini..Ndiyo maana mnaona ajabu kama kuna kosa litajitokeza ...ingekua kawaida yetu msingeongea..
 
Last edited by a moderator:
Kweli nimeamini uzee ni ugonjwa ndio maana hata Mwai kibaki alisahau kuvaa mkanda suruali ikamdondoka kama sio walinzi kumsitili ingekuwa noma sana.
 
Back
Top Bottom