Unakijua Chama Cha KADIMA?

Unakijua Chama Cha KADIMA?

Naona operation kimbunga itakuhusu wewe..Sababu TZ hatuna chama cha KADIMA ..

Narudia tena.. kama mmeshindwa kutekeleza sera ambazo mnahisi ni zenu..Basi sio zenu mme-copy ..

Nimekupa mfano ya kilimo.. Dr.
Alitoa mifano ya kama nchi ya Japan inaweza kuilisha dunia sisi Tz..tunashindwa vipi.
Baada ya hapo akaeleza mikakati ya CDM katika kilimo..

Aaaaaaah..Tatizo ninaemjibu nae GAMBA ..sijui anaelewa????

Tutakunasa kwenye phase two.
 
Wewe mlaghaika, AMKA. Acha kulaghaika hovyo.

Umeshawahi kusikia sentensi "Kilimo ni Uti wa Mgongo?" . Mara ya kwanza ulipoisikia kauli hiyo, chama cha KADIMA kilikuwa kimeshasajiliwa?
 
Kwa kuwa mtoa hoja ni wewe ze!wa lumumba i can't waste waste my time
 
Zemarcopolo ninakupongeza kwa jitihada zako za kuchota busara na hekima kutoka kwa Dkt. Slaa. Kitendo cha wewe kuacha majukumu yako yote na kumsikiliza Dkt. Slaa akihojiwa na radio WPFW ya Washington DC.

Haya mengine unayoyaeleza ni ngonjera tu za kawaidaa mbazo mmeelekezwa hapo lumumba katika kujipatia ujira wenu kwakuwa kumkosoa ama kumuandika kwa ubaya Dkt. Slaa ndio uhakika wa posho zenu buku saba fc!

Mwenyekiti wa chama chenu hana hata uthubutu wa kufanya mahojiano kama hayo kwakuwa kila mara akifungua kinywa chake kuongea anaishia kuiaibisha nchi.

Hebu fikiria raisi anasema hajui sababu za umasikini wa nchi yake na yeye tunaambiwa ni mchumi. Raisi anasema manufacturing of teachers! Hizo ndiyo aibu kubwa tulizowahi kuzipata kutoka kwa raisi JK - tour guide/operator!
 
Mwita,

Kadi yako ya KADIMA ni namba ngapi?

Slaa amekuta Marekani sera za CCM zinasifiwa na yeye amebadilisha msimamo. Sasa hivi anazisifia sera za CCM alizozunguka maeneo mbalimbali nchini kuziponda majukwaani.

Hizi ni siasa za kilaghai.
 
Unaongeleaje kitendo cha Dr. Slaa (Boss wako) kukiri CCM ni chama chenye sera nzuri?
 
ZeMarcopolo

Kuna jamaa anatafuta wafanyakazi amefuga mbwa wengi sasa anatafuta vijana wa kutoambwa wake bandani are u interested na nafikiri kazi hii itakuwa nzuri sana kutoambwa kila siku asubuhi na kuwarudisha jioni
 
Hata ka phonology kameshinda mleta mada!!!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Je, huyo jamaa ni mwanachama wa KADIMA?
 
Hata ka phonology kameshinda mleta mada!!!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Kusema kuwa sera za CCM ni nzuri sio phonology.

Slaa alipofika Marekani amekuta sera za CCM zinasifiwa, mwishowe na yeye ameamua kubadilisha msimamo na kuzisifia sera hizo.

Walaghaika itafika wakati watabaki njia ya panda.

Slaa ni mwanasiasa mlaghai...
 
Leo Slaa alikuwa anahojiwa na redio na WPFW Radio ya Washingyon DC Marekani.

Katika mahojiano hayo Dr. Slaa ametia aibu mno, lakini kilichosikitisha zaidi ni kwamba mtangazaji wa kipindi hicho Mwiza Munthali alishindwa kabisa kutamka neno CHADEMA na kila mara alikiita chama cha Slaa KADIMA.

Kwa lugha nyepesi ni kwamba interview ya Slaa imeshindwa hata kuuza jina la chama!

Kuna mambo kadhaa ambayo Slaa ameaibisha kama ifuatavyo:

1. Mara kadhaa Slaa alishindwa kutamka jina la kipindi anachohojiwa. Jambo hilo lilimfanya mtangazaji kumkumbusha several times kuwa kipindi kinaitwa africaNow baada ya Slaa kukiita AfricaOne. Tone ya mtangazaji ilionyesha wazi kuwa amechukizwa na lack of memory ya Slaa. Kwa wamarekani, kukosea jina la mtu ni offence ndio maana huyu mtangazaji alijisikia offended slaa kukoseakosea jina la kipindi chake.

2. Slaa alishindwa kujibu Chadema itafanya nini tofauti na CCM. Slaa aliishia kusema kuwa CCM ina sera nzuri sana na kwamba wao watakachofanya ni kuhakikisha sera za CCM zinatekelezwa kwa ufasaha zaidi. Wasikilizaji wa Marekani wakisikia hadithi kama hizo wanaona mtu anayesema hivyo is just a job seeker. Wamerakani wanataka kusikia tofauti ya sera, sio siasa za kusema mimi ndio ninajua zaidi kutekeleza sera za mwenzangu!!! Hapa Slaa kaabisha big time.

3. Mtangazaji alidhihirisha kuwa hamuamini Slaa kwa porojo zake mpaka akamwambia hapo inabidi tupate upande wa serikali nao tuusikie unasemaje. Slaa alizidisha chumvi.

4. Mtangazaji amefanya home work yake. Anajua composition ya parliament. Slaa alimdanganya mtangazaji kuwa Chadema (Kadima) ndio chama chenye absolute majority nchini Tanzania. Mtangazaji akamwambia lakini Bungeni mko wachache na chama chenu hakijapenetrate vijijini. Slaa akadanganya tena kuwa eti Chadema (Kadima) ina wafuasi wengi vijijini kuliko mijini. This is not true.
Kadima haina absolute majority kwenye Bunge wala mitaani. Slaa alidhani mtangazaji wa Marekani hajui mambo ya Tanzania, kumbe mtangazaji kajiandaa.

5. Slaa alianza kuongea hadithi za Mwangosi. Mtangazaji akamdhihirishia kuwa anaijua hadithi ya Mwangosi kwa undani na akamtajia jina la Mwangosi kabla hata slaa hajalitaja. Mtangazaji alishajua kuwa Mwangosi ndio single anayotumia Slaa ughaibuni kutafuta sympathy. Hata hivyo mtangazaji alibadilisha topic na kumuuliza Slaa mambo mengine kabla hajamaliza kusimulia hadithi yake pendwa ya Mwangosi.

Kiujumla Slaa katika majadiliano ya leo ametia aibu na ameshindwa kuinadi KADIMA kabisa!!!

My take:
Tunapowaambia kuwa Chadema (KADIMA) ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya Kilaghai ndio muelewe nini tunamaanisha. Slaa kashaanza kuwageuka, sasa hivi anasema CCM ina sera nzuri.

Nyinyi kama mlikuwa mnaitukana CCM mwishowe mtajikuta kawaacha njia panda.

Ameenda Marekani amekuta sera za CCM zinasifiwa na yeye ameanza kusema ni sera nzuri!!!

Akili Kichwani, safari barabarani. Wajinga ndio waliwao...
Eti na wewe ni great thinker dah! ume think nini katika uzi huo sasa.
 
Zemarcopolo ninakupongeza kwa jitihada zako za kuchota busara na hekima kutoka kwa Dkt. Slaa. Kitendo cha wewe kuacha majukumu yako yote na kumsikiliza Dkt. Slaa akihojiwa na radio WPFW ya Washington DC.

Haya mengine unayoyaeleza ni ngonjera tu za kawaidaa mbazo mmeelekezwa hapo lumumba katika kujipatia ujira wenu kwakuwa kumkosoa ama kumuandika kwa ubaya Dkt. Slaa ndio uhakika wa posho zenu buku saba fc!

Mwenyekiti wa chama chenu hana hata uthubutu wa kufanya mahojiano kama hayo kwakuwa kila mara akifungua kinywa chake kuongea anaishia kuiaibisha nchi.

Hebu fikiria raisi anasema hajui sababu za umasikini wa nchi yake na yeye tunaambiwa ni mchumi. Raisi anasema manufacturing of teachers! Hizo ndiyo aibu kubwa tulizowahi kuzipata kutoka kwa raisi JK - tour guide/operator!

Mwenzako Mohamedi Mtoi ameshakata tamaa na hizi siasa za kilaghai za Chadema.

Leo Slaa amebadilisha Tanzanian demographics ghafla kwa kusema kuwa KADIMA ina wafuasi wengi zaidi vijijini kuliko mijini. This is NEW!!!
 
Wewe mlaghaika, AMKA. Acha kulaghaika hovyo.

Umeshawahi kusikia sentensi "Kilimo ni Uti wa Mgongo?" . Mara ya kwanza ulipoisikia kauli hiyo, chama cha CHDEMA kilikuwa kimeshasajiliwa?

1.CCM ndio walaghai

2.CDM ilikua bado haijasajiliwa..Kama ni hivyo tuzungumzie 'KILIMO KWANZA'

Sio cha msimu ..tulitegemea cha umwagiliaji..
 
Back
Top Bottom