Unakijua Chama Cha KADIMA?

Unakijua Chama Cha KADIMA?

Wewe inaelekea hujasikiliza majadiliano ila uko hapa kutetea ajira yako tu.

Endelea kumlea mtoto wa Josephine mpaka mwenyewe atakaporudi kutoka mapumzikoni Marekani.

Ulidhani ulisikiliza peke yako?Hiyo mipasho mingine sitakujibu.Tujadili huu Uongo wako!
 
KADIMA ni Chama cha siasa nchini Israel.

Mahojiano ya leo umesumbuliwa na accent kwa kuwa hujazoea kusikia pronounciation kutoka accent mbalimbali.Ushamba unakusumbua.Unahitaji Exposure.!

Kwa hiyo kwa accent ya kimarekani Chadema ni KADIMA? Akija Mr. Smith kutoka Marekani muite Simithi uone kama atakubali kuwa accent ya kiswahili ndio jina lake hilo. kama wewe unajitajidi kutamka Smith mmarekani anapaswa kujitahidi kutamka Chadema.

Kushindwa kutamko Chadema ni ishara kuwa mtangazaji just didnt care about what he says. Usidanganyike kuwa wamarekani hawawezi kusema Chadema.
 
KADIMA (kachama ka demokrasia na maendeleo) KDM sounds good ukilinganisha na CDM ambayo ni copy ya CCM ukiondoa D
 
Kadima=chadema
Africaone=africa now
Alafu wamarekani wanachukia mtu akikosea jina???????mbna sielewi hapa!!mleta mada ebu jifkilie kabla ya kuleta mada hapa.

Hapo lilikuwa ni jukumu la Slaa kumrekebisha mtangazaji. Lakini Slaa kama alivyo kijana wake ben Snaanane anaamini kuwa ulimi wa mmarekani una haki ya kuamua kuyataja majina ya watu na vitu unavyotaka kwa hiyo Slaa akaridhika kuwa KADIMA ndio Chadema kwa accent ya kimarekani. hahahahahahahhahaha
 
Kadima=chadema
Africaone=africa now
Alafu wamarekani wanachukia mtu akikosea jina???????mbna sielewi hapa!!mleta mada ebu jifkilie kabla ya kuleta mada hapa.

Usipoelewa omba ueleweshwe.

Ni kwamba, Dr. Slaa alikuwa anasahau kila mara jina la kipindi badala ya kutamka AfricaNow yeye anasema AfricaOne. Na hii inatokana na uzee wake.

Umeelewa?
 
Umemsikia katibu mkuu wa KADIMA?

Anayetamka hivyo si Dr. Slaa ni mtangazaji kwa lafidhi yake masikio yako yanayowaza kivyake. Msikilize mtanzangazaji anatamka "Chama cha Demokrasia na maendeleo"
 
leo slaa alikuwa anahojiwa na redio na wpfw radio ya washingyon dc marekani.

Katika mahojiano hayo dr. Slaa ametia aibu mno, lakini kilichosikitisha zaidi ni kwamba mtangazaji wa kipindi hicho mwiza munthali alishindwa kabisa kutamka neno chadema na kila mara alikiita chama cha slaa kadima.

kwa lugha nyepesi ni kwamba interview ya slaa imeshindwa hata kuuza jina la chama!

Kuna mambo kadhaa ambayo slaa ameaibisha kama ifuatavyo:

1. Mara kadhaa slaa alishindwa kutamka jina la kipindi anachohojiwa. Jambo hilo lilimfanya mtangazaji kumkumbusha several times kuwa kipindi kinaitwa africanow baada ya slaa kukiita africaone. Tone ya mtangazaji ilionyesha wazi kuwa amechukizwa na lack of memory ya slaa. Kwa wamarekani, kukosea jina la mtu ni offence ndio maana huyu mtangazaji alijisikia offended slaa kukoseakosea jina la kipindi chake.

2. Slaa alishindwa kujibu chadema itafanya nini tofauti na ccm. Slaa aliishia kusema kuwa ccm ina sera nzuri sana na kwamba wao watakachofanya ni kuhakikisha sera za ccm zinatekelezwa kwa ufasaha zaidi. Wasikilizaji wa marekani wakisikia hadithi kama hizo wanaona mtu anayesema hivyo is just a job seeker. Wamerakani wanataka kusikia tofauti ya sera, sio siasa za kusema mimi ndio ninajua zaidi kutekeleza sera za mwenzangu!!! Hapa slaa kaabisha big time.

3. Mtangazaji alidhihirisha kuwa hamuamini slaa kwa porojo zake mpaka akamwambia hapo inabidi tupate upande wa serikali nao tuusikie unasemaje. Slaa alizidisha chumvi.

4. Mtangazaji amefanya home work yake. Anajua composition ya parliament. Slaa alimdanganya mtangazaji kuwa chadema (kadima) ndio chama chenye absolute majority nchini tanzania. Mtangazaji akamwambia lakini bungeni mko wachache na chama chenu hakijapenetrate vijijini. Slaa akadanganya tena kuwa eti chadema (kadima) ina wafuasi wengi vijijini kuliko mijini. This is not true.
Kadima haina absolute majority kwenye bunge wala mitaani. Slaa alidhani mtangazaji wa marekani hajui mambo ya tanzania, kumbe mtangazaji kajiandaa.

5. Slaa alianza kuongea hadithi za mwangosi. Mtangazaji akamdhihirishia kuwa anaijua hadithi ya mwangosi kwa undani na akamtajia jina la mwangosi kabla hata slaa hajalitaja. Mtangazaji alishajua kuwa mwangosi ndio single anayotumia slaa ughaibuni kutafuta sympathy. Hata hivyo mtangazaji alibadilisha topic na kumuuliza slaa mambo mengine kabla hajamaliza kusimulia hadithi yake pendwa ya mwangosi.

Kiujumla slaa katika majadiliano ya leo ametia aibu na ameshindwa kuinadi kadima kabisa!!!

ulivyo kilaza kama mtangazaji mwenyewe alishindwa kutaja jina chadema iweje akasirike kwa dr.slaa kukosea jina la kipondi
 
Hapo lilikuwa ni jukumu la Slaa kumrekebisha mtangazaji. Lakini Slaa kama alivyo kijana wake ben Snaanane anaamini kuwa ulimi wa mmarekani una haki ya kuamua kuyataja majina ya watu na vitu unavyotaka kwa hiyo Slaa akaridhika kuwa KADIMA ndio Chadema kwa accent ya kimarekani. hahahahahahahhahaha

Unahitaji exposure na lugha ya kiingereza ni tatizo kubwa kwako.
 
Anayetamka hivyo si Dr. Slaa ni mtangazaji kwa lafidhi yake masikio yako yanayowaza kivyake. Msikilize mtanzangazaji anatamka "Chama cha Demokrasia na maendeleo"

Slaa ameshindwa kuiuza Chadema leo. Mmarekani aliyesikiliza mahojiano akiulizwa Chama kikuu cha upinzani Tanzania kinaitwaje atatoa jibu ambalo sio sahihi!!!
 
Anayetamka hivyo si Dr. Slaa ni mtangazaji kwa lafidhi yake masikio yako yanayowaza kivyake. Msikilize mtanzangazaji anatamka "Chama cha Demokrasia na maendeleo"

Precisely my point,Sir!
 
Kwa hiyo kwa accent ya kimarekani Chadema ni KADIMA? Akija Mr. Smith kutoka Marekani muite Simithi uone kama atakubali kuwa accent ya kiswahili ndio jina lake hilo. kama wewe unajitajidi kutamka Smith mmarekani anapaswa kujitahidi kutamka Chadema.

Kushindwa kutamko Chadema ni ishara kuwa mtangazaji just didnt care about what he says. Usidanganyike kuwa wamarekani hawawezi kusema Chadema.

Nimeona una tatizo la kuelewa accent kutokana kukosa exposure + Ignorance yako katika English.
 
hapo lilikuwa ni jukumu la slaa kumrekebisha mtangazaji. Lakini slaa kama alivyo kijana wake ben snaanane anaamini kuwa ulimi wa mmarekani una haki ya kuamua kuyataja majina ya watu na vitu unavyotaka kwa hiyo slaa akaridhika kuwa kadima ndio chadema kwa accent ya kimarekani. Hahahahahahahhahaha

ili lijamaa lipo kama le mutuz ni lenyewe nini? HA HA HA HA1 HA1 NIMEPATA STORY AMEAJIRIWA KWA KAZI YA KUPAMBANA MTANDAONI NA VIJANA KADHAA MUDA SI MREFU NITALETA HABARI KUWAHUSU MAEASILIANO YAO NA MIPANGO YAO YA KUPAMBANA KWENYE MTANDAO NA CDM HASA KUMSHAMBULIA DR SLAA
 
Back
Top Bottom