Unakijua Chama Cha KADIMA?

Kiongozi yeyote wa chadema asipotukana hana hoja nyingine ndiyo maana kila mwanachadema alipo na matusi yamemzungu ni aibu kwa mtu kama slaa kuwa na hotuba za jazba na matukano.
 
Slaa keshaisha ndiyo basi tena tuandae sherehe za kumbukumbu ya slaa aliyewahi kuwepo kwenye siasa.
 
Wewe uko mbali na TZ sana...
Anayekula 'hela' kwa sasa hapa TZ ni huyu hapa...

Wewe uliza mshahara wake kwa mwezi, uambiwe jamaa 'anakunja' kiasi gani...



Mbona ana macho MEKUNDU hivyo? Naye kwani anapikia kuni?

Huyu na macho yake mekundu hayo akipita pande zile za Shinyinga, sitaki kubashiri kitakachompata.

Lakini tukumbuke mauji ya VIKONGWE wenye macho mekundu kule Shinyanga kwa tuhuma za UCHAWI. BTW, huyu anatoka kule Sumbawanga kuliko ungua jembe ukabaki mpini!
 
Lazima umfuatilie Slaa bwana Le Mutuz kwa sababu moja tu,unaelewa anavyohatarisha maendeleo yako binafsi,familia na wahujumu uchumi wote.
Malizia kuzichanga kwenye kambi za warembo wa Redds then gharika lipo kwa hapo nyuma yako kaka!
 

Najaribu kuchangia hii thread lakini nimeshindwa kuona uzito wa hoja zakoo.. mara kakosea kutamka chadema akasema kadima, aliyetakiwa kusema africa now akasema afrika one, cd ya mwangosi imepitwa na wakati, ametia aibu, sera za ccm zinasifiwa.... Naomba utueleweshe nini hoja yako, kukosea kutamka matamshi (jambo ambalo lilitokea kwa mwandishi na slaa), kuongelea mwangosi (huonyeshi na huoni haja ya kusympathize), slaa kusema ccm ina sera nzuri ila utekelezaji mmbovu (weewe hupendezwi na slaa kukiri hilo) au slaa kutia aibu (hili najua ndio furaha yakoo)?!!!!!!!!!!!

HUSOMEKI KIONGOZIII
 

Kama wewe unavyotaka kuwala wajinga wenzako na udaku wako.Utawala wajinga wenzako tu werevu hutawapata.
 

Ze Makopoz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Inawezekana una hoja ila umejawa na hisia zaidi ......

''Tone ya mtangazaji ilionyesha wazi kuwa amechukizwa na lack of memory ya Slaa. Kwa wamarekani, kukosea jina la mtu ni offence ndio maana huyu mtangazaji alijisikia offended slaa kukoseakosea jina la kipindi chake''..

- Yaani kwako mtu kukosea kutamka neno moja hiyo unatafsiri kuwa ni ''lack of memory''?!Vipi Waziri wetu wa elimu aliyekosea Majina ya Nchi yanayounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado akakosea mwaka wa Muungano?!
- Una-generalize mambo kwamba kwa ''Wamarekani''...Are u sure about this brother?!
- Bado unamsemea mtangazaji kwamba ''alijisikia offended''

''Mtangazaji alidhihirisha kuwa hamuamini Slaa kwa porojo zake mpaka akamwambia hapo inabidi tupate upande wa serikali nao tuusikie unasemaje. Slaa alizidisha chumvi''

- Bado unaendelea kutoa hisia za mtangazaji ili ku-justify unachotaka wasomaji wa thread hii kuamini.

Nadhani ifike wakati watu wakubali kuwa Jf sio CCM na CHADEMA kuna watu humu ndani ambao hawana Vyama lakini tuna interest ya kuona na kushiriki kwenye mijadala ya kisiasa ambayo haina ushabiki ndani yake bali ukweli.
 

Slaa alitia aibu sana aisee!!!
 
Kiongozi yeyote wa chadema asipotukana hana hoja nyingine ndiyo maana kila mwanachadema alipo na matusi yamemzungu ni aibu kwa mtu kama slaa kuwa na hotuba za jazba na matukano.
mbona hiyo kwake kawaida sana, kumbuka pia hivisasa anamatatizo ya uzee. ukiacha hayo pia ubavu wake haumshauli vizuri kazi yao ni kulumbana tu. pia babu amegundua Jose na kaka yake wanaajenda ya siri "Ben saanane" ndiomaana mda mwingi amekuwa na jazba.
 
Napeee...mpe huyo kijana buku saba zake, kamaliza kazi.
 
Kiingereza ni lugha kama ilivyo Kichaga cha Old Moshi, Kilimanjaro.

Turudi kwenye mada. Kwanini Dr. Slaa anadanganya kwenye vyombo vya habari?

kwanini Tanzania ni masikini?
 

Bado KADIMA hawajatanabahi? Dr. Slaa alishasema chama chake bado hakijakuwa imara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…