ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
- Thread starter
- #241
Isee..!!
Unaanduka kwa jazba kweli ndugu... na unaendelea kushabikia 'makosa' ya mwandishi as if ni deal kubwa sana kwa nchi yetu.Tanzania haitaendelea kwa kushabikia spelling mistakes za waandishi wa nchi za nje.
Naona wote sasa mmepata msamiati mpya hapa JF as if msamiati huu utaleta maendeleo Tanzania.
KADIMA ni moja ya vyama vya siasa nchini Israel.
Sasa jamaa hapa JF wameshikilia kuwa ni moja ya vyama vya siasa hapa Tanzania.
Okay, labda mkitaja-taja KADIMA, ndio Tanzania itaondokana na umaskini wa kutisha.
Back to takwimu,
Hebu niambie nchi gani ina uchumi mzuri na imara kati ya Tanzania na Kenya ??
Nchi gani ina huduma nzuri za kijamii (maji, umeme, hospitali, barabara, n.k) kati ya Tanzania na S. Africa..??
Copy: ZeMarcopolo
Maswali yako yana uhusinao gani na kinachojadiliwa kwenye thread hii?