Unajua kutongozaa?

nampa one week
hii sasa natoa altimatam
asipofanya tukio?!
i will be charged and convicted na m.o.l.le.s.t.l.i.n.g big boys
Hivi Kongosho huyo jamaa kwenye avatal yako ananyonya au...maana mi simuelewi anachokifanya hapo
Teh
 
mbona avatar kuuubwa
afu hamna mistari

azima hata kwa sharobaro
game nyingi napata miteremko kabla sijaanza kitu kimeingia line sasa wale mademu wasionunua sura wakiweka uso wa mbuzi na kama nimezimika playmaker lazma ahusike!!!
 
"Dada samahani,"
"Habari yako..... Habari zenu kina dada" ...(marafiki zake)

"Naomba usinielewe vibaya, nimevutiwa sana na sura na umbile lako..... Unadhani unaweza kunipa nafasi au hata muda kidogo ili mimi na wewe tufahamiane kwa undani zaidi"?
"Tunaweza kuanza kwa kubadilishana namba..... nitafurahi sana kama utakubali ombi langu".
Nawagekia rafiki zake kama wapo...."Samahani kina dada, nimeshindwa kuvumilia.."
 
Nakupenda kama ulivyo,
na ww nipende kama nilivyo,
usilete usista du sababu mm ni msela!
Napenda dem msela atayenipenda hata napokosa hela,
na tunapolala, nimwimbie we re in love kama......
tuwe pamoja forever kwa penzi la kweli sio la kitapeli!
Mapenzi sio ajabu, sababu yako toka enzi za mababu,
popote unapokwenda, jua nakupenda, nataka uwe wangu, uwe mamake mwanangu,
njoo kwangu baby!
 
MashaAllah, mwana, kama avatar ndio wewe huyo, basi huna haja hata ya kunyanyuwa kope, watajipanga mstari wenyewe. Tingisha kiberiti mwana, wala usiyumbishwe. Tena umchaguwe kwa vigezo hivi:

Kwa mali zao,
Kwa uzuri wao,
Kwa nasaba zao,
Kwa dini zao (wacha Mungu).
 
pima uwezo wako wako mwaga mistari huwez jua labda utatoka na kimwana ama mkaka wa haja.
Mambo vip mdada
ww: Poa!
mm: sasa inakuwaje?
ww:mambo flani poa, ni ww tu!
mm: short time shs ngapi?
ww:10000/-
mm: aah! mbona nyingi hivyo, mm nina elfu tano!
ww: ongeza buku basi!
mm:poa twenzetu!!!
teh teh teh!
 
Halafu nimegundua ni rahisi...namdedicate WIMBO... wa INA MAANA wa MB DOGGY hapo kazi kwishinei kiurainiiii
 
Back
Top Bottom