Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Why not?
Unaongea mno badala ya ku-hit point
Unaongea mno badala ya ku-hit point
can i uz the same line on u?
can i uz the same line on u?
Wanaume wanafunzwa? kabla ya Balehe weshajua zamaani?pima uwezo wako wako mwaga mistari huwez jua labda utatoka na kimwana ama mkaka wa haja.
huyo ni hotelia
anaangalia kama chakula cha mtoto kiko sawa
si unajua kila hotel lazima kuwe na mtu wa kutest msosi kama upo sawa?
Hii thread nimeipenda... 🙂
we ni spika wa MTM
....yaani hayo majibu yako, sijui huwa unayatoa kwenye jamii gani!
Mi nataka kumwaga mistari kwako na najua utalainika tu........Teh tehpima uwezo wako wako mwaga mistari huwez jua labda utatoka na kimwana ama mkaka wa haja.
Ukiwa na mwanamke kama kongosho ndani hakukaliki. Mwanamke anajua kupunch vitu sijawahi ona!!....yaani hayo majibu yako, sijui huwa unayatoa kwenye jamii gani!
Ukiwa na mwanamke kama kongosho ndani hakukaliki. Mwanamke anajua kupunch vitu sijawahi ona!!
Ukiwa na mwanamke kama kongosho ndani hakukaliki. Mwanamke anajua kupunch vitu sijawahi ona!!
..huyu ni pasua kichwa tu, hata sentence zake zina maumbile ya kiume, tofauti na anavyojinadi.
Nahisi majibu ayatoayo huyafikiria na kuyatoa akiwa amepinduka kichwa miguu juu, ni mkao huo tu humuwezesha mwanadamu kuwa hivyo.
pima uwezo wako wako mwaga mistari huwez jua labda utatoka na kimwana ama mkaka wa haja.
kula kwa wengine utakacho kula ni thibibitisho chafaa kuliwa au sio?