Unajua kutongozaa?

Unajua kutongozaa?

mmwagie yule jamaa leo
kila siku unaniuliza utapata wapi nafasi ya kutoa dukuduku lako.

Akaa!!
Mwanzisha mada mwenyewe kaanzisha kwa malengo, sitaki kumharibia.Sijui anaogopa PM.
 
Hii kwa kwa nanii nanii, dah napata kigugumizi hata tamka jina lake.

Ila anajijua,

When I see you,
my heart freezes,
my body shakes,
b'coz you taste like a banana cake,
you are my first candidate.
 
Mie yule,
nimeamua ku-renew statement
maana kasahau naona

acha tumsaidie
mie nilimwelewa siku nyingiii
kuanzia kwenye usupastaa

Akaa!!
Mwanzisha mada mwenyewe kaanzisha kwa malengo, sitaki kumharibia.Sijui anaogopa PM.
 
Back
Top Bottom