Tume Haki Binadamu(THBUB)
Member
- Sep 17, 2024
- 26
- 28
Wewe kama raia una wajibu wa kuhakikisha unadumisha uhuru,amani na umoja katika nafasi mbalimbali ili kuimarisha huduma za kijamii na kiuchumi.
Kama raia unatakiwa kudumisha uhuru,amani,umoja na kulinda rasilimali za nchi
Ikiwa raia hatalinda hatotekeleza wajibu huo basi anaweza kushtakiwa kwa mujibu wa Sheria ya Utekelezaji wa Haki na Wajibu wa Msingi (Basic Rights and Duties Enforcement Act).