Kazi gani za kimkakati.! Wanaacha kuboresha kilimo wanaenda kununua ndege, nani azipande wakati theluthi mbili ya watu wanaishi chini ya dola moja kwa siku. It's nonsense.Wewe unajuwa nini kuhusu uchumi? Choo cha nyumba yako chenyewe imeshindwa kujenga, unakunya kwa jirani, halafu unakuja kubeza kazi za kimkakati za taifa